Hakuna nchi nzuri na rahisi kutafuta maisha na kupata hela kama Afrika Kusini

LIKUD

JF-Expert Member
Dec 26, 2012
15,118
27,109
Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa.

Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution.

Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala. Unaonekana sio mwanaume kamili. Unaonekana muoga muoga na usiejiamini.

If you actually want to be rich. Go to South Africa.

Nakupa hii code " According to a classified document owned by the C.I.A, the most richest country on the face of planet earth is South Africa"

Mkombe Luxury wamekurahisishia. Now you can go to South Africa by bus directly from Dar es salaam.
 
South africa ipi hiyo unayosemea!!?
Ile ambayo huko fb kwenye group lao masailors kila siku ni "mzee baba tanzia,mzee baba hana nauli ya kurudi,mzee baba anaumwa yu hoi"!!? au hii wanayochoma mali za wageni kila siku na kuwataka warudi makwao

The same hot water which soften the potato is the same water which hardens the egg, so its all about how you are made"

" Maji yaleyale ya moto yanayo lainisha viazi ndio hayo hayo yanayo fanya yai linakuwa gumu" So it is all about what you are made.

Hizo story za mabaharia zisikutishe mdogo wangu. Sehemu yoyote yenye hela huwaga kunakuwaga na shari, unacho takiwa kufanya ni kujifunza namna ya kuishi na kuwa salama kwenye hiyo shari..

Mahospitalini kila siku watu wanakufa kwenye vitanda, watu waanze sasa kuogopa kulala kwenye vitanda?

Fear no evil
 
Nawashangaa sana wabongo wanaoiponda South Africa. For your information hakuna nchi nzuri ya kutafuta maisha kama South Africa.

Niambie kitu chochote unachokiogopa kuhusu South Africa nikupe solution.

Mtaani kwetu kama hujawahi kukaa Sauzi hata kwa mwezi mmoja r.i hata mademu wanakuona fala. Unaonekana sio mwanaume kamili. Unaonekana muoga muoga na usiejiamini.

If you actually want to be rich. Go to South Africa.

Nakupa hii code " According to a classified document owned by the C.I.A, the most richest country on the face of planet earth is South Africa"
Acha kudanganya vijana!
 
South africa ipi hiyo unayosemea!!?
Ile ambayo huko fb kwenye group lao masailors kila siku ni "mzee baba tanzia,mzee baba hana nauli ya kurudi,mzee baba anaumwa yu hoi"!!? au hii wanayochoma mali za wageni kila siku na kuwataka warudi makwao
Kuna mtu alinijuza hawa vijana wengi ni wezi,walevi na waliokata tamaa...na pia hawana record nzuri hata huku nyumbani
 
Yaani mtaa wenu wote mmeifanyia kazi ripoti ya CIA ?na wote mkaamua kwenda South ....?..
Nope hatujafanyia kazi ripoti ya CIA hayo ni maelezo yangu tu mimi kama Mimi. Lakini hata hivyo huo ndio ukweli. Hata Pastor Joel Osteen amewahi kusema hivyo (i.e the most wealthiest country on the face of planet earth is South Africa)

Dr. Steven Greer ( an expert in Ufologoy and extraterrestrails ame confirm this aspect of South Africa)
Manly P.Hall ame confirm this kupitia reference kwenye maandiko ya kale kabisa ya Mesopotamia.

There is something which a lot of Tanzanians do not know about the " spiritual power of South Africa"

The Zulus are not called the Zulus in vain. Izulu = from Heavens.
 
Back
Top Bottom