hatarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Mapenzi mara kwa mara unakuwa hatarini kupata UTI

    Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke Dkt. Ikrah Abdallah ametoa wito kwa Jamii kutofanya tendo la ndoa mara kwa mara badala yake tendo hilo linaweza kufanyika angalau mara Tatu (3) au Nne (4) kwa wiki ili kuondokana na hatari ya kupata UTI...
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania George Weah hatarini kupoteza Urais, mpinzani amzidi kwa Kura chache

    Urais wa Mwanasoka wa zamani na Mwanasiasa wa Liberia, George Weah uko shakani kutokana na Kura za Marudio kuonesha anazidiwa na mpinzani wake Joseph Boakai Hadi sasa inaripotiwa kuwa Matokeo ya kura hizo yanayonesha Boakai ana 50.7% wakati Weah akiwa na 49.3% ya Kura zilizopigwa Awali...
  3. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Ni nani anayetaka kuweka maisha yake hatarini kwa sababu ya kuhoji tu?

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Nauliza hili swali hapa, ila nina uhakika hakuna atakaekuwa tayari kujitokeza kunijibu. Hii ni kwa sababu wengi wanatumiwa ili mkono uende kinywani, lkn umafia wa yule anaewatumia wanaujua vizuri sana. Hapa nazungumzia ule upande wa kondoo kutembea kichwa chini...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Mossad walikuwa wapi nchi inashambuliwa kwa style ile ile kwa mara ya pili? Unguli wao ni propaganda tu?

    Mwaka 1973 Israeli ilishambuliwa na Misri na Syria kwa kushtukizwa wakati wa majira ya sikukuu ya Yom Kippur. Misri walivuka mfereji wa Suez na kuingia Israel(Sinai). Wasyria nao wakaingia huko Golan. Hali ilikuwa tete sana kwa Israel hadi jeshi likaamua kuwa liwaache Wasyria wafanye...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwakasege na Martha Mwaipaja wamshitaki Mbarikiwa na hivyo account yake YouTube hatarini kufutwa

    Anaandika mwakipesile mbarikiwa Christopher & diana mwakasege pamoja na martha mwaipaya wamemshitaki mbarikiwa youtube na account ya mbarikiwa hatarini kufutwa (huo ujumbe ulio katika picha hapo chini umetoka youtube na umeeleza hayo). Hawa na wafuasi wao ndio moja ya wahubiri wanaosema kuwa...
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mke mwenye mimba ya miezi minne hatarini kuachwa, inawezekana?

    Ni jeuri kuliko ujeuri wenyewe! Ujeuri wake hauangalii kamwe usingle mother wake, wala msaada unaofanywa na mumewe wa kuishi na mtoto wake aliyemkuta. Ye ni kumjeuria tu mumewe muda wote tangu mwaka wa kwanza wa kuoana kwao....kasababu kadogo tu maneno ya nyodo mengiiiiii; 'una nini wewe?'...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Wahusika wekeni taa za kuongoza magari Ubungo Kibo, maisha ya watu yapo hatarini

    Ni takribani mwezi mmoja tangu itokee ajali ya lori la mafuta Ubungo Kibo, Dar es Salaam iliyobabisha taharuki kwa wakazi wa eneo hilo sambamba na hasara kwa wafanyabiashara. Ajali hiyo iliyotokea Agosti 6, 2023, iliharibu pia miundombinu ya barabara kiasi cha kuvunja taa za kuongozea magari...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watoto wasiocheza nje (Wanaokaa Ndani Sana) wako hatarini kupata tatizo la Macho kutoona mbali

    Utafiti mpya uliofanywa na Global Myopia Awareness Coalition (GMAC) umebaini kadri Mtoto anavyokaa ndani au kunyimwa fursa ya kucheza nje ya Nyumba, ndivyo anavyopata athari katika Afya ya Macho. Utafiti huo umeonesha kuwa kitendo cha Mtoto kucheza nje angalau kwa Dakika 76 kila siku...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO's) 200 Mwanza hatarini kufutwa

    Mashirika yasiyo ya Kiserikali (NGO's) 200 kati ya 613 mkoani Mwanza, yamewekwa chini ya uangalizi wa Ofisi ya Msajili wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali kutokana na kutowasilisha taarifa za utendaji kazi na kutolipa ada kwa wakati. Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Msaidizi wa usajili wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Nyanya Zinapatikana Kwa Wingi Sana Sokoni Ilala

    Kwa mara ya kwanza Soko la Ilala lililopo Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam limevunja rekodi kwa magari kushusha matenga 4,000 ya nyanya kwa mara moja hali inayoonesha biashara ni nzuri. Kwa kawaida magari yanayoingia kwenye soko hilo hushusha matenga 1,000 hadi 2,000 kwa siku. Akizungumza...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya Hayati Magufuli yaigharimu Tanzania zaidi ya Bilioni 266

    Hivi karibuni, Tume ya Kimataifa ya Kusuluhisha Migogoro ya Uwekezaji, ambayo ni sehemu ya Benki ya Dunia, imefunga usuluhishi dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tume hiyo imetoa adhabu yake, ikiamuru Tanzania kulipa fidia ya zaidi ya Dola za Marekani Milioni 109.5 sawa na takribani...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

    Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations" Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao; 1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Lissu anahujumiwa, CHADEMA imeuzwa

    Nikiwa kama mwandishi wa Habari, nimefanya kazi kwa ukaribu na Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA. Nimefanya kazi na viongozi wake wakuu, Lissu, Mnyika, Mbowe, Lema na wengine wengi. Tangu Mbowe atoke gerezani, nimefanya naye kazi kwa ukaribu sana. Mbowe wa leo sio Mbowe wa 2020, ni...
  14. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Punyeto, Wivu na Uoga vinanitesa. Naona maisha yangu yapo hatarini

    Habari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima. Niende kwenye shida yangu, mm ni kijana nina Miaka 20, shida yangu nimeathirika na masterbation (Punyeto), yaani naona hichi kitendo kama nimeshindwa kuacha kabisa...
  15. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Marekani: Kampuni ya Meta yashutumiwa kuwaweka Watoto hatarini

    Mdhibiti Mkuu wa Faragha wa Data Nchini Marekani ameshutumu kampuni hiyo inayomiliki mitandao ya Facebook na Instagram kuwa haiweki udhibiti mzuri kwa ajili ya kuwalinda Watoto wanaotumia mitandao hiyo. Tume ya Biashara ya Shirikisho (FTC) pia imesema Meta inapaswa kupigwa marufuku kutengeneza...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kama Watanzania tutapuuza kutetea na kutafuta haki za Marehemu, maisha yetu yatazidi kuwa hatarini siku kwa siku

    Moja ya Jambo ambalo mataifa yaliyostaarabika wamefaulu nikuwaakikishia wananchi wake haki ya kuishi. Kwamba hakuna mtu atatoa uhai wa mtu akabaki salama; lazima tu abainike. Kwa Tanzania hali ni mbaya, viongozi hata kapuku anaweza akafa kifo chenye utata tukabaki kusema tunamwachia Mungu. Je...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Ndondi: Pambano la Tyson Fury na Oleksandr Usyk hatarini kutofanyika

    Pambano limepangwa kufanyika kwenye Uwanja wa Wembley, Aprili 29, 2023 lakini halitakuwepo baada ya Oleksandr Usyk kumtupia lawama Fury. Timu ya Usyk imedai licha ya Fury kunufaika katika mgawanyo wa malipo kwa asilimia 70-30 lakini ametoa masharti mengi ambayo yameonekana kumkwaza Usyk...
  18. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mikoa 11 iliyoko hatarini kukumbwa na Tetemeko la Ardhi

    Mikoa 11 inayopitiwa na ukanda wa Bonde la Ufa la Afrika Mashariki imetakiwa kuhakikisha inazingatia viwango halisi vya ujenzi vinavyojumuisha ushauri wa kitaalamu wa jiolojia ya eneo husika, na kuepuka ujenzi wa nyumba katika miinuko yenye mawe na mipasuko ya miamba. Ushauri huo umetolewa na...
  19. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kanye West kuipa hasara Adidas, hatarini kupoteza Pauni milioni 450

    Kampuni ya Adidas ipo hatarini kuzidiwa na wapinzani wao, Puma katika kutawala soko la biashara ya mchezo wa soka kutokana na kuelekea kupata hasara ya Pauni Milioni 450. Adidas inatarajiwa kupata hasara hiyo kubwa kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 30 kutokana na kutouza mzigo wa bidhaa...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano unahitajika zaidi sasa katika kuwalinda wanyamapori walio hatarini

    Siku ya wanyamapori duniani ambayo inaangukia Machi 3 kila mwaka, ni muhimu sana kwani katika siku hii tunapata muda wa kukumbushana uzuri na maajabu ya mimea na wanyamapori waliomo ndani ya sayari yetu lakini vilevile umuhimu wa viumbe hivi duniani. Mbali na wajibu tulionao wa kudumisha na...
Back
Top Bottom