Mwakasege na Martha Mwaipaja wamshitaki Mbarikiwa na hivyo account yake YouTube hatarini kufutwa

Mtanzania2020

JF-Expert Member
May 23, 2020
368
763
Anaandika mwakipesile mbarikiwa

Christopher & diana mwakasege pamoja na martha mwaipaya wamemshitaki mbarikiwa youtube na account ya mbarikiwa hatarini kufutwa (huo ujumbe ulio katika picha hapo chini umetoka youtube na umeeleza hayo).

Hawa na wafuasi wao ndio moja ya wahubiri wanaosema kuwa kuchukua hatua za kulalamika pindi unapoonewa au unapoumizwa ni kupigana vita kimwili au unatakiwa umwachie mungu apigane mwenyewe.

Swali ni je,

1. Utamwachia mungu apigane mwenyewe kwa wale ambao ukiwalalamikia watakuua au kukutia ndani au kwa mambo yote?

2. Kwa nini wao wanapoona kuonewa na mbarikiwa hawamwachii mungu apigane mwenyewe??

3. Kwa nini wafuasi wao hawamwachii mungu acomment ila wana comment wenyewe?

Hii ni ajabu kweli kweli. Mbarikiwa akilalamika kuuawa kwa mtoto wake anapigana mwilini ila nyie kulalamika kuwa mbarikiwa anawatukana ni kupigana kiroho. Mkimsikia mbarikiwa analalamikia jambo au kukosoa jambo, ni anafanya vita mwilini, amepotea nk. Ila nyie mkilalamika au kukosoa kwa comment au kwa wenye mitandao mko rohoni au mnapigana rohoni na hamkosei.

Sijaona ajabu kwa sababu iliandikwa kuwa; nanyi mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya jina langu. Nanyi mtasalitiwa na wazazi wenu, na ndugu zenu, na jamaa zenu, na rafiki zenu, nao watawafisha baadhi yenu (luka 21:16-17). Nafahamu fika kwamba dunia yote imekuwa adui wa ninachofanya. Hata kama kuna anayeniunga mkono nje ya watoto wangu ni kwa siri na kwa namna isiyo na nguvu ya kubeba jambo sawa na maumivi yangu. Mimi nafahamu kuwa ni mwanadamu/ mhubiri niliye na haki ya kuongea, kukosoa, kupinga, kukaripia nk. Siamini kwamba ni mtu ambaye ninatakiwa kupingwa tu au kuonewa tu au kutukanwa tu nk. Yaani wengine kuua mwanangu ni kiroho mimi kulalamika ni kimwili. Wengine kunitukana kwa comment na mahubiri ni kiroho ila mimi nikifafanua ni kimwili.

Najua sina mahakama ninayoweza kushitaki. Na mungu wangu ameamua kunyamaza. Mke wangu na watoto wangu tuko katika msiba usiokoma. Tufanye kuwa mimi ni mwanadamu niliyekosea kila kitu duniani ila sijutii. Na ninaamini kuwa sina uwezo wa kufurahisha kila mtu. Na sina mpango wa kuongea kila kitu kwa namna wanavyotaka wote. Zaidi ya hayo najua kuwa hata mnaotukana sana au ku comment kwa namna udhaniyo kuwa ni sahihi si kwamba wewe ndio unafurahisha kila mtu.

Mimi nimefanya niliyotakiwa kuyafanya. Kwamba ni ya kimwili au kiroho hivyo ndivyo nilivyotakiwa kufanya. Najua ni hasara kiasi gani nilipata channel ya kwanza (iliyokuwa na jina mbarikiwa mwakipesile) ilipofutwa na subscribers 65k. Kisha nikaanza moja kwa hii ya kikosi kazi cha injili ambayo sasa ina subscribers 55.6k. Na najua ni hasara kiasi gani nitapata akaunti hii ikifutwa. Na kwamba kwa kigezo hicho kilichowekwa sina uwezo wa kukivuka. Kwani ikiwa mungu analalamikiwa, mimi ni nani nisilalamikiwe? Nafahamu fika kwamba hii ndiyo moja ya akaunti inayofuatiliwa zaidi na watu. Na kwamba tatizo si hilo tu la akina mwakasege.

Nafahamu fika kuwa hapa nimefungwa miguu na mikono na kutupwa katika shimo lefu asimoweza kuniona, kunisikia au kunitoa mtu. Aibu ni yangu, matusi ni yangu, kuhangaishwa polisi, mahakamani na magereza ni kwangu na hatimaye kuuliwa kwa mwanangu na kuuawa mimi na mke wangu ni kwangu.

Mlio salama na mtakaobaki wote ndio watakatifu, wenye hekima nk. Asanteni dunia kwa malipo mliyonilipa. Ila naamini mtakuja kunikumbuka.

View attachment 2763775
 
Haya mambo yanachanganya sana

Hawa wahubiri hawaeleweki, wao wakiwa na shida wanakimbilia kushitakiana, lakini sisi waumini tukiwa na shida wanatuambia tusamehe saba mara sabini na muda mwingine wanatuambia tumwachie Mungu, ni kama tu wakiwa na uhitaji wa magari na nyumba wanatuambia tuwachangie, lakini sisi wanatudanganya wanasema tukeshe tukiomba tutalipwa na Mungu.

Swali
Kama wao walio karibu sana na Mungu na ni watumishi wake kwanini wasimwambie tu hukohuko wanakokutana naye wasiombe mahitaji yao wanakuja kutukamua sisi tulio mbali kabisa na Mungu?
 
Duh! Mbarikiwa Mwakipesile ndio nani huyu kwenye medani za wahubiri injili?
 
Maelezo mengi sana. Kiufupi ya mwilini yatakabiliwa kimwili. Ya rohoni yatakabiliwa kiroho
 
Haya mambo yanachanganya sana

Hawa wahubiri hawaeleweki, wao wakiwa na shida wanakimbilia kushitakiana, lakini sisi waumini tukiwa na shida wanatuambia tusamehe saba mara sabini na muda mwingine wanatuambia tumwachie Mungu, ni kama tu wakiwa na uhitaji wa magari na nyumba wanatuambia tuwachangie, lakini sisi wanatudanganya wanasema tukeshe tukiomba tutalipwa na Mungu.

Swali
Kama wao walio karibu sana na Mungu na ni watumishi wake kwanini wasimwambie tu hukohuko wanakokutana naye wasiombe mahitaji yao wanakuja kutukamua sisi tulio mbali kabisa na Mungu?
Akina Mwakasege.
 
Hata ningekuwa mimi angeniambia ni mtumishi wa Shetani ningemshitaki
Imeandikwa "...Vita si vyenu bali ni vya Mungu",rejea 2Nya.20:15.Kwa hiyo ikiwa kweli wao ni watu wa rohoni wangetulia tu!.Kardinali Pengo aliwahi kutukanwa na kudharirishwa vibaya na Gwajima lkn hakumshitaki Gwajima badala yake alinyamaza kimya,Papa Yohane Paulo wa pili aliwahi kupigwa risasi lkn hakutaka mbaya wake achukuliwe hatua,serikali ikamfunga bali yeye baada ya matibabu na kupona aliamua kwenda kumtembelea Gerezani na kisha kumkumbatia,sasa ktk mifano hiyo utajua mwenyewe nani yupo kiroho na nani hayupo kiroho.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Mwakasege hajamshitaki popote ila wanaompenda mwakasege labda
 
Back
Top Bottom