hatarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Neno ‘KOLO’ hatarini kumponza Haji Manara, jela inanukia

    Kutokana na mwendelezo wa baadhi ya watu kutumia 'graphics' za Baraza la Kiswahili Taifa (BAKITA) na kutumia kuweka maneno yao kisha kuandika maana potofu katika Lugha ya Kiswahili, baraza hilo limekuja juu. Haji Manara ni mmoja wa watu maarufu ambao walitumia ufundi kama unaotumiwa na BAKITA...
  2. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania TTCL hatarini kunyang’anywa soko

    Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma, Tanzania imesema Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) liko katika hatari kubwa zaidi ya kunyang’anywa soko na makampuni mengine ya simu kutokana na upungufu wa mtaji. Hayo yamesemwa leo Jumatano Februari 16, 2022 na Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
  3. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Walaji wa nyama ya kitimoto hatarini kuugua kifafa

    Mapema leo asubuhi Dkt. Yusuf Jamnagerwalla wakati akiogiwa na kituo cha clouds 360, alunukuliwa akiyasema haya. Ulaji wa nyama ya kitimoto husababisha ugonjwa wa kifafa, ameenda mbali zaidi na kudai kuwa ulaji wa nyama ya kitimoto unasababisha ugonjwa wa kifafa isipopikwa vizuri. Kazi kwenu...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Usalama wa wateja banki ya NBC moshi uko hatarini

    Umeibuka mjadala mkubwa sana kwa wakazi wa mji wa moshi wengi wakihoji mamlaka za serikali kuwa kimyaa kutokana na Baa moja kubwa kujengwa ikipakana na ukuta wa Banki ya NBC Tawi la Kibo Mjini Moshi. Wapo wanaotilia shaka uwepo wa Baa hiyo wakidai inaweza ikaharisha usalama wa wateja wanaotumia...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania TUVALU:- Nchi iliyopo hatarini kumezwa na bahari.

  6. LIKUD

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wasio kuwa Na makovu/ weusi Kati Kati ya mapaja hatarini kutoweka

    Ndio maana wanaume wengine kabla haja lala Na mwanamke mpya huwa wanaomba watumiwe Kwanza picha za utupu at least waone muonekano WA ndani. Siku hizi imekuwa NADRA Sana kukutana Na mwanamke ambae Hana makovu makovu au maukurutu katikati ya mapaja. Tatizo Ni Nini? HII ishu huwa inanikata sana...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Marekani yaiweka Tanzania katika Mataifa Hatarini

    Iko kama "The Comedy" tu: US puts Tanzania, five other countries on travel red list Beberu sasa katupiga kalamu kama ilivyo kwa France, Portugal, Cyprus au Andorra. Wengine wanapambana na hali zao, ila washupavu sisi. India ilitaarifu abiria kuwasili kwao kutokea kwetu akiwa na kirusi...
  8. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya watumiaji Billion 2 wa Google Chrome wapo hatarini data zao kukusanywa sana mitandaoni

    Browser ya kuperuzi ya Google chrome inatumika na zaidi ya watumiaji Bilioni 2 ambao wanaitumia sana. Hivi karibuni kuna kesi inaendelea baada ya tetesi kuonyesha zaidi ya Watumiaji Bilioni 2 wa Google Chrome wapo katika hatari ya data zao kukusanywa sana mitandaoni kutokana na baadhi ya...
  9. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Wanaokwenda Hospitali kupata matibabu ya kawaida wako hatarini kupata maambukizi ya CoronaVirus

    Data mpya zilizotolewa Nchini Marekani zinasema Watu wanaokwenda hospitali kupata huduma za kawaida (sio za CoronaVirus) wanakuwa kwenye hatari ya kupata Maambukizi ya Virusi hivyo Data hizo zilizotolewa na Shirika la Kaiser Health News zinasema zaidi ya Visa 10,000 vilivyothibitishwa vya...
Back
Top Bottom