hatarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Makazi ya Wananchi 500 Ubungo - Kisiwani (Dar) yapo hatarini, tunaomba Serikali itujengee mifereji ya kusafirisha maji ya mvua kutoka Barabara Kuu

    Hapa Ubungo, Kisiwani, Wananchi tupo katika hali ngumu sana, maisha yamebadilika kisa Mto Gide, ambao kwa miaka mingi umekuwa ni chanzo cha wasiwasi mkubwa na umekuwa tishio kwa makazi yetu. Nyumba nyingi zimebomoka na kila mvua inaponyesha, hali inazidi kuwa mbaya. Hadi sasa zaidi ya Wananchi...
  2. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania Usalama Wa Wanahabari upo Hatarini Marekani- CPJ yasema

    Ripoti iliyotolewa Jumanne imesema kuwa wakati uchaguzi wa Rais wa Marekani ukikaribia, usalama wa wanahabari haujahakikishwa kwa mujibu wa marekebisho ya kwanza ya Katiba ya Marekani. Wanahabari wa Marekani wanakabiliwa na tishio jipya ikiwemo kushambuliwa na polisi, mashambulizi ya...
  3. BigTall

    JamiiForums Tanzania Jamaa anapasua mawe kwa baruti King'azi A (Kisarawe), maisha ya Watoto na nyumba yapo hatarini

    Nimeona komenti hii kwenye ukurasa wa JF, hili lipoje Wadau wa Kisarawe? Majibu ya DC, soma ~ DC Kisarawe: Mwekezaji anayepasua mawe kwa baruti kusaka madini King’azi A tumemzuia
  4. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania Polisi nao wako hatarini wachukue tahadhari ya maisha yao na familia zao

    Kama kuna watu wanaotakiwa kusoma alama za nyakati vizuri basi watu hao ni polisi wetu. Kwa muda mrefu wamejiweka juu ya sheria kwamba wanaweza kuvamia popote na kumkamata mtu yeyote bila kufuata sheria. Hawatoi vitambulisho, hawawatumii viongozi wa eneo husika, wanatumia, maguvu bila sababu...
  5. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Ngolo Kante hatarini kufirisika,ameoa shangazi wa kizungu mwenye miaka 47

    Waafrica wote akili zetu zinafanana, Ustaadhi Ngolo Kante amevamia mtumbwi wa vibwengo kwa kuoa lishangaji Jude Littler lenye watoto watatu na umri wa miaka 47. Historia ya shangazi huyo huko nyuma sio nzuri Djibril Cisse aliwahi kuwa nae huko nyuma aliambulia kupigwana kitu kizito. Pesa zote...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa nchini vinavyojiendesha kwa mikopo hatarini kusambaratika na kuvunjika kabisa

    madeni makubwa yasiyoeleweka wala yasiyolipika ni miongoni mwa hatari zinazo zengea zengea kwenye korido za miongoni mwa vyama vya siasa vikongwe na visivyo vikongwe kwenye ulingo wa kisiasa humu nchini.. hali hii ya madeni kupindukia, imepelekea kutokua kabisa na meno au sauti ya kukemea...
  7. Alibino

    JamiiForums Tanzania Mtanzania hatarini kuuwawa huko Uingereza

    Balozi wa Tanzania Nchini Uingereza, Mbelwa Kairuki amesema kuanzia jana kuna ujumbe mfupi wa video uliozunguka katika mitandao ya kijamii uliorekodiwa na Raia wa Uingereza mwenye asili ya Tanzania Martina Farrall, akielezea maisha yake kuwa hatarini huko anapoishi Ireland ya Kaskazini. Kwenye...
  8. M

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania Tuitakayo: Dira ya Urejeshaji wa Viumbe vilivyo Hatarini Kutoweka

    Tanzania, pamoja na eneo lake la kipekee la kijiografia kando ya ikweta na eneo kubwa la ardhi ya asili, inasimama kama mwanga wa matumaini kwa urejesho wa viumbe vilivyo hatarini kutoweka. Dira hii inaangazia mpango wa kina wa kulinda, kurejesha, na kuunganisha tena viumbe vilivyo katika hatari...
  9. HONEST HATIBU

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ajira zipo hatarini - tuandae vijana kukabiliana na mabadiliko ya Teknolojia (AI)

    Utangulizi Katika dunia inayoendelea kwa kasi kubwa ya mabadiliko ya kiteknolojia, nchi yetu ya Tanzania inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi. Mabadiliko haya, hasa kutokana na kuibuka kwa teknolojia ya kisasa kama vile akili bandia (AI), yanaweza kubadili kabisa mazingira ya ajira...
  10. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Bagamoyo eneo JKT Mbuyuni hatarini kukatika/ wachimba mawe

    Wakuu naona ofis ya mkuu wa mkoa Dar es Salaam au Wilaya ya kinondoni imelala, pale mbele mbuyuni kama unaenda tegeta upande wakushoto karibu na kambi ya J.k.t barabara ya bgamoyo road had kufika mwakani itakuwa imekufa yote au kukatika. Wale wanaochimba mawe wanaikaribia kuikata barabara...
  11. Raghmo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Migahawa na usalama wa afya za walaji. Je, tupo hatarini? Na kipi kifanyike kumaliza janga hili

    source: www.urban municipal council Utangulizi: Migahawa ni sehemu muhimu ya tamaduni ya kula katika jamii zetu, lakini mara nyingi hatufahamu yale yanayotendeka nyuma ya pazia. Wakati tunapofurahia sahani tamu au chakula cha kufurahisha, hatari za usalama wa chakula zinaweza kusahaulika au...
  12. Hizbu Sharifu

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya ndoto ambazo huota ukiwa shuleni

    Habari Nimekua nikipokea maswali mengi kuhusu ndoto ukiwa shule na leo ningependa kutolea ufafanuzi wa ndoto hizi kama ifuatavyo 1. Kwanza kabisa hizi ndoto hukupatia ujumbe jinsi mwili wako unavyoshambuliwa na nguvu za giza 2.Kadri changamoto zinavyokua nyingi shuleni ndivyo jinsi...
  13. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ufalme wa Jordan uko hatarini kufuatia kuongezeka uungwaji mkono wa Hamas. Waandamanaji wamsifu Yahya Sinwar

    Kiwango cha ongezeko la maandamano nchini Jordan kumeanza kutishia ufalme wa nchi hiyo.Wiki iliyopita waandamanaji hao walifurika mitaani na kuzunguka ubalozi wa Israel. Pamoja na kubeba mabango ya kusifia wapiganaji wa Hamas,waandamanaji hao walisikika wakiimba kuwa wao ni wafuasi wa Yahya...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar: Tulikamata wavuta bangi sio wanaokula mchana

    Kamishna Mkuu wa Jeshi la Polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad Kamishna Mkuu wa Jeshi la polisi Zanzibar, CP Hamad Khamis Hamad amesema hakuna sheria inayowaruhusu Polisi Zanzibar kuwakamata Watu wanaokula hadharani mchana wa Ramadhani na kusema chanzo cha msako uliofanyika ni baada ya video...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Eliat kusini mwa Israel hatarini kufungwa kutokana na mashambulio ya Houth

    Bandari ya Eliat kusini mwa Israel inakusudia kuwapunguza wafanyakazi wake zaidi ya nusu baada ya mamlaka ya bandari hiyo kupata ukata mkubwa uliotokana na kukosekana kwa meli zinazotumia bandari hiyo kulikosababishwa na mashambulizi ya wanamgambo wa Houth wa Yemen. Bandari hiyo kikawaida...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Wanasema mimi ni Shetani na pia ninahofia maisha yangu yapo hatarini hapa UK

    Baada ya muda mrefu kunyanyaswa, kubaguliwa, kudharauliwa na mengine mengi. Leo ndio nimedhibitisha kuwa wanaamini mimi DEVIL hapa UK. Niliwahi kufungua huu uzi: Yanayonikuta London (UK) Nilielezea kwa kifupi kwamba nimekuwa nina tumiwa waves ambazo nina hisi kama electrical shocks na sharp...
  17. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Luke Shaw hatarini kuwa nje hadi mwisho wa msimu

    Klabu ya Manchester United inahofu kuwa kuna uwezekano wa kumkosa beki wake, Luke Shaw hadi mwisho wa msimu huu wa 2023/24 kutokana na majeraha yanayomsumbua Shaw alipata majeraha ya misuli ya mguu katika mchezo uliopita dhidi ya Luton. Ikumbukwe kuwa mwanzoni mwa msimu huu beki huyo alikuwa...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Daraja la Boko Magengeni kuelekea Bulumawe lipo hatarini kubomoka

    Mamlaka husika waje walitazame usalama wa daraja dogo linalounganisha mawasiliano kutoka Boko Magengeni na Bulumawe linalopatika Kata ya Bunju ambalo lipo hatarini kubomoka kutokana na mvua kubwa zilizonyesha week 3 zilizopita. Mvua hiyo imesababisha ukingo unaolinda daraja hilo kubombolewa na...
  19. G

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu mojawapo kuu ya kutahiri ni kuweza kutumia condom, Mtu mwenye mkono wa sweta hawezi kutumia condom hivyo yupo hatarini zaidi kupata magonjwa

    Wapo watu akiwamo mgombea urais wa Kenya William Ruto kutetea kwamba hakuna haja ya kutahiri sababu ndivyo tulivyoumbwa Mkono wa sweta na condom ni sawa na kutumia mafuta ya kujipaka mwilini useme upikie chakula Huo mkono wa sweta laba uupige stepla iwe condom
Back
Top Bottom