hatarini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. lost files

    JamiiForums Tanzania Taifa Lipo Hatarini, Kila Mtu Anaona Anaweza Kua Kiongozi.. FAILED POLITICAL CULTURE

    Habari Kwenu wote,..Nani hajastushwa na "Trend" ya Kila Mtu maarufu kuchukua Form ya Kugombea Ubunge??.Ni haki ya Kila Mtu ya kikatiba kuchagua au kuomba ridhaa ya wananchi kuchaguliwa kua Muwakilishi wao.. Lakini Jambo Hilo Lina maana gani?kukua Kwa demokrasia??Muamko wa Vijana??Mimi Nina...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wauza Chipsi wa Stendi ya Mabasi Babati zingatieni usafi wa huduma yenu ya chakula. Mnaweka hatarini afya za wateja wenu (abiria)

    Nilifika Babati kusubiri basi kwa ajili ya kuelekea mkoa fulani, wakati nipo pale nilihisi njaa, niliamua kutafuta sehemu mojawapo wanaopika pale hususan wanaokaanga chipsi ili nile. Nilipokelewa vizuri na kuoneshwa sehemu ya kukaa, niliagiza chipsi, nikaletewa lakini zilikuwa za baridi sana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nimeapply field tangu mwezi 4 bado sijapata field. Naomba usaidizi

    Habari zenu Wana JF. Nimeapply Kwa Ajili ya Field Tangia mwezi wa 4 ila bahati mbaya mpaka sasa sijapata field. Mwenye msaada anisaidie tafadhari Tunaanza field tarehe 21/7 na kumaliza tarehe 12/9 nipo mwaka wa pili UDSM Course ni BCOM IN BANKING AND FINANCIAL SERVICES. Natanguliza shukrani
  4. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuteka, Kuua, Kubaka na Kulawiti Kibiblia ni Dhambi. Kama Makanisa yanafungiwa wa kukemea dhambi basi Ukristo Umeshambuliwa na upo hatarini Tanzania

    Kwa mujibu wa Biblia Takatifu, Kuua, Kubaka, Kulawiti na kuonea watu ni dhambi. Kama nchi yetu imefikia hatua Makanisa yanafungiwa kwa kukemea dhambi kwa mujibu wa Biblia basi tukubaliane kuwa Ukristo unashambuliwa rasmi nchini Tanzania. Huu ni wakati Wakristo wa Tanzania wanapaswa kusimama...
  5. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jimbo la Chato kusini hatarini kudondoa mikononi mwa muhitimu wa darasa la 4 B

    CCM tumewachoka Mmetengeneza jimbo jipyala Chato kusini kwa lengo la ajabu sana. Iko hivi,kuna mgombea mmoja tajiri wa madini ya dhaabu Pascal Lutandura ambaye aliishia darasa la 4 B lakini ana pesa za kutosha ameandaliwa jimbo hilo. Bwana Lutandula ni mjumbe wa NEC taifa,ana network na pesa...
  6. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Unajua watu fulani wako hatarini kupigwa marufuku kukanyaga Marekani?

    Unaweza ukasema, "kwani Marekani ni Mbinguni?" Lakini ukweli ni kwamba wakubwa wengi wanapenda kwenda huko ama kwa ziara rasmi au kwa ajili ya kutumbua hela! Hata mimi kuna siku nitafika USA! Taarifa iliyopo ni kuwa Marekani inalifuatilia sakata la wanaharakati kutoka nchi jirani kudhalilishwa...
  7. Cannabis

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Maisha yangu yapo hatarini, Rais Ruto ametoa amri niuliwe

    Aliyekuwa Makamu wa Rais nchini Kenya Mheshimiwa Rigathi Gachagua amesema maisha yake yapo hatarini akimtuhumu Rais William Ruto kuhusika na tishio hilo. Gachagua amesema alipewa taarifa kuwa maafisa wa serikali wakishirikiana na polisi walipewa amri ya kumuwekea sumu kwa njia hewa akiwa...
  8. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Lissu maisha yake yapo hatarini

    Naona matatizo yanaweza kumtokea Lissu. Lissu anaweza kufanya nini kujiokoa? Hawezi kufanya kitu chochote,kwa sababu yuko gerezani. Lakini fikiria Ile verse katika Biblia,"The outcry against Sodom is very great. I am going there to find out what the heck is going on." Chadema is in chaos...
  9. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki hatarini kuingia mikononi mwa mayahudi. Papa mtarajiwa ni adui kwa wapalestina na rafiki wa Isaac Herzog

    Ule uchuro wa rais Donald Trump wa Marekani wa kuvaa mavazi ya papa wakati wakristo wakiomboleza unaonesha aliufanya kwa malengo maalum kwani unaonekana kujidhihirisha katika ukweli. Kwa mara nyengine mafunzo ya kanisa katoliki yanaelekea kuvurugwa na mafunzo ya kiyahudi na huenda ikawa ndio...
  10. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Walaji wa nyama ya ng'ombe kwa sasa tupo hatarini kufa, kupata kansa ya Koo, Kuvimba kongosho na Figo kupoteza uwezo wake !

    Ndugu zangu hili liwafikie maafisa mifugo kote nchini Yale masindano wanayotumia kuwachoma ng'ombe ni hatari sana kwa afya ya binadamu nimeshuhudia ng'ombe wanachomwa sindano mnadani saa chache kabla ya kwenda kuchinjwa ! Na pia zinachomwa shindano zinapokaribia kusafirishwa na mlaji anaipata...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi Lomakaa Wilaya ya Siha Hatarini Kufungwa

    Dunia iko katika karne ya 21 ambapo maendeleo ya sayansi na Teknolojia kwa sasa yanapewa nafasi kubwa katika kuchagiza maendeleo ya Nchi mbalibali duniani. Tunatambua juhudi kubwa zinazofanywa na Serikali ya awamu ya sita Chini ya Mhe. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan katika kuboresha huduma za...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mali za Zari The Boss Lady hatarini kupigwa mnada. Anashtakiwa na SARS kwa kukwepa kodi ya TSh. Milioni 729

    Mamlaka ya Mapato ya Afrika Kusini (SARS) imechukua hatua za kisheria dhidi ya reality TV star na mfanyabiashara Zarinah Hassan, kwa kukwepa kulipa kodi takriban TSh. milioni 729. Kutokana na deni hilo, mali zake zinadaiwa kuwa hatarini kupigwa mnada ili kufidia deni hilo. Hata hivyo, Zari...
  13. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Rais Trump maisha yake yapo hatarini. Sababu amechagua amani Ulaya na kukataa 'uliberali'

    Kwa ilivyo sasa Raisi Donald Trump maisha yake yapo hatarini mara kumi zaidi ya wakati wa kampeni za kugombea uraisi wa Marekani kwa awamu ya pili. Viongozi wengi wa nchi kadhaa za bara la Ulaya hawataki amani kati ya Ukraine na Russia. Wanataka vita sababu nchi zao nyingi ni maskini wa...
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kama hauoni kitu hapo basi upo hatarini

    Kwenye hii picha unaweza kudhani ni picha ya kawaida tu ila kama itatokea upo zako porini na haujapata kufahamu kuna kitu gani mbele yako basi fahamu muda wako unahesabika. Wapo watakaosema kuwa hapo hakuna kitu ila ukitazama kwa uangalifu utagundua kuna mzee baba ametulia anakupigia mahesabu...
  15. P

    JamiiForums Tanzania UASILI WA WAHADZABE HATARINI.

    Moja kwa moja kwenye mada. Wahadzabe ni kati ya makabila madogo, na yenye utamaduni adhimu kabisa nchini, wamekuwa na mambo yao bila kuingiliwa kwa miaka mingi hivyo tamaduni yao kubaki kama ilivyo, pamoja na ecologia yao. Lakini miaka ya karibuni, wamekuwa wakiingiliwa hasa na wazungu na...
  16. osu2014

    JamiiForums Tanzania Fanya haya unapokuwa hatarini kutekwa?

    Wakuu, Mtaalan kumekuwa na story nyingi sana za watu kutekwa.Wengine wakiwa marafiki wengine ndugu na sisi wengine kusikia kutoka kwa vyombo vya habari kwamba yule au huyu katekwa au hajulikani alipo. Katika pita pita zangu za Maisha hapa duniani niliwahi kufundishwa kanuni nyingi za kujilinda...
  17. M

    JamiiForums Tanzania KERO Maisha ya Wakazi wa Njelela na Ngaranga (Njombe) yapo hatarini wanapotaka kuvuka kwenda upande wa pili, hatuna daraja

    Maisha yetu sisi Wakazi wa Vijiji vya Njelela na Ngaranga vilivyopo Kata ya Mundindi, Wilaya Ludewa Mkoani Njombe yapo hatarini kutokana na Mto Ruhuhu kukosa sehemu ya kuvukia. Inapotokea tunataka kuvuka kwenda kwenye vijiji vya jirani au kama kuna mtu anakuja huku kwetu ni lazima wanaofanya...
  18. Anonymous77

    JamiiForums Tanzania Wanatumia Vyoo vya kukaa hatarini kupasuka Makende

    Inaonekana kwa asilimia 50% ya wanaume wanaotumia vyoo vya kukaa wako hatarini kupasuka makende hii ni kutokana na jinsi vyoo hivyo vilivyo na namna makende ya mtu yanavyokuwa wamening'inia pale anapokuwa uchi bila nguo hii inawaweka wanaume wengi hatarini kupasuka makende hasa pale anapokuwa...
  19. G

    JamiiForums Tanzania Marais wa Marekani Biden na Trump wapo hatarini kukamatwa na ICC kwa kushirikiana na Netanyahu

    Siku ya Leo ICC imetoaa kibali cha kumkamatwa waziri mkuu wa Israel Netanyahu, kiongozi mwengine maarufu aliewekewa kibali cha kukamatwa ni Rais wa Urusi, Putin. ICC ina haki ya kuwakamata washirika wakuu wa Netanyahu ambao ni marais wa Marekani Biden na Trump kwasababu wanatoa ushirikiano...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tanzania hatarini kuondolewa AFCON 2025 baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF)

    Wakuu, Mwandishi wa habari za michezo wa Ghana, Micky Jr ameripoti kuwa, Tanzania inaweza kuondolewa kushiriki michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 nchini Morocco licha ya kufuzu, baada ya kukiuka kanuni za Shirikisho la Soka la Afrika (CAF). Pia, Soma: Full Time: Tanzania 1 -...
Back
Top Bottom