hata

Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

    Kama kweli tunajali maadili na haki za watu basi Makonda alipaswa kuwa anaozea Segerea kwa maovu makubwa aliyoyafanya. Lkn bado anapewa cheo huku mikono yake imejaa dhulma na damu nyingi za watu. Ushahidi uko wazi kabisa: Lissu kamtaja hadharani, mwandishi wa magazeti ya Mwanahalisi kafungua...
  2. JamiiForums Tanzania Hata kama unajua ni muhimu kujikumbushia nakuletea - basic driving test

    BASIC DRIVING TEST 1. Taja makundi ya alama za barabarani 2. Taja maeneo ambayo dereva haruhusiwi kuegesha gari 3. Chora mchoro wa alama ya onyo/Tahadhari ikionyesha watu wenye mtindio wa akili wapo eneo hili. 4. Taja matumizi ya taa za barabarani pia eleza kazi ya kila rangi ya...
  3. A

    JamiiForums Tanzania UDSM mnakosa hata Solar power karne hii?

    Mna vitivo vya Uhandisi, sayansi, ICT sheria ila mpaka zama hizi mnakosa Solar power project kusaidia wakati wa mgao? Mbona mnanunua V8/VX kila uchwao? Mnakwama wapi? **Kipi ninajivunia miaka 60 ya kuanzishwa kwenu?
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake hawatunzi siri, hata kama ni mama yako usimwambie siri zako

    Habari za weekend wana Jamiiforums i hope wote wazima kabisa.. Najua watu wengi mpo closed na wazazi wenu ilo ni vizuri sana ni baraka tosha sana kuwa karibu na mzazi unamwambia vitu vyako vingi na ni mshauri kwako hasa hawa wazazi wetu wakina mama. Ila kijana ni marufuku tena ni marufuku...
  5. JamiiForums Tanzania Sio wanawake tu, hata wanaume hupenda kusifiwa

    Kila mtu anapenda sifa (kusifiwa), si wanawake pekee wanaopenda kusifiwa isipokuwa tofauti yao na sisi ni reaction baada ya kusifiwa au kutosifiwa. Mfano, Mwanaume ukimsifia kwakitu fulani utasikia"ah kawaida tu mbona hahh" yaani haipi uzito sana kwa wakati huo lakini amependezwa! Mwanamke...
  6. JamiiForums Tanzania Mwaka wa 3 Barabara Kimara - Kibaha hata street lights tu zimewashinda

    Barabara ya Kimara hadi Kibaha ilijengwa kwa kasi kubwa hadi tukasema shkamoo chama tawala. Oyaoya mara lakutokea likatokea na hapo ndio ikawa mwisho wa mwanzo wenye kasi. Miaka mitatu sasa hata street lights tu za solar wameshindwa kumalizia, mwendokasi wanaisoma namba kwenye foleni na barabara...
  7. JamiiForums Tanzania Wapiga punyeto wanajinadi, wanajilaumu, wamechoka kujichua. Ukweli kuhusu punyeto ni upi?

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ni utafiti ambao, umefanywa na unaendelea kufanywa na watu, ambao ni wahanga wa hiki kitendo(hili janga) ambao either ni wapenzi wa huu mchezo, ambao wamechoshwa na hiki kitendo au wale ambao wanatamani kuacha lakini wameshindwa kabisa kuacha. Makala hii...
  8. JamiiForums Tanzania Mabango yote nchi nzima, sifa zote mitandaoni za Rais Samia, hata kwenye 10 bora kuwa na GDP kubwa hatumo?

    Business Insider Africa presents 10 African countries with the lowest GDP projection for 2023 as the year rounds off. This is according to the International Monetary Fund’s World Economic Output report for October. The IMF's basic case assumes that inflation keeps declining. GDP projections...
  9. JamiiForums Tanzania Tuwe wavumilivu kwa masuala tunayoyapenda na hata kwa tusiyoyapenda pia

    Katika ulimwengu huu na miaka hii ambapo patience intertwines with the passions, muda mwingi tunatamani kusikia yale tu tunayoyapenda kutoka kwa watu, na hata kuna yale tusiyoyatamami mtu ayasikie tunapoona yanasikika tunakosa uvumilivu, muda mwingi tunatamani kuyaondoa mawazo hayo lakini bad...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Wakili Mwabukusi: Wapinzani hawana afadhali yoyote na CCM, ni wabaya kuliko hata CCM

    HAKUNA TOFAUTI KATI YA CCM NA WAPINZANI, NI WALEWALE" MWABUKUSI Upinzani na CCM hawana tofauti, kitendo cha kutaka kuingia kwenye uchaguzi bila katiba mpya ni kwa sababu ya maslahi binafsi na sio maslahi ya Taifa, ndio maana kuna chawa wa chama tawala na huku upinzani nako kuna machawa huku...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

    Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga. == Yaliyozungumzwa ktk video hiyo. Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari...
  12. JamiiForums Tanzania Kama unaomba hivi, imani yako itashuka na utamchoka Mungu mapema

    Maombi ni moja ya njia ya kuondoa wasiwasi na kuongeza imani katikati ya changamoto na sintofahamu za maisha. Lakini kama hujui kuomba vizuri unaweza kujikuta yanakuongezea stress, wasiwasi, hata kushusha imani yako kwa Mungu. Na hii imepelekea watu kucheza miguu miwili. Mmoja kwa Mungu...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Lissu: Mimi na Mbowe ni watu wawili tofauti, lazima tuwe na mitazamo tofauti ya maoni na ndiyo afya ya chama cha siasa. Hatujawahi gombana hata kidogo

    Anasema chama cha siasa kisichokukwa na majadiliano ni chama mfu. Lissu anasema yeye na Mbowe ni watu wawili tofauti ambao wanaweza na iko hivyo kuwa na mtazamo tofauti juu ya kitu kimoja. Na hiyo ndiyo AFYA/UHAI ya chama cha sisasa. Anasema haijawahi kutokea kusuguana /kuzozanana Mbowe My...
  14. JamiiForums Tanzania Marekani hata mjukuu wa Rais analindwa na ulinzi mkali

    Halafu watu wazima wanasema hana mamlaka makubwa --- Secret Service agents protecting Biden's granddaughter open fire when 3 people try to break into SUV Secret Service agents protecting President Joe Biden’s granddaughter opened fire after three people tried to break into an unmarked Secret...
  15. JamiiForums Tanzania Majirani ni maadui sana hata kuliko alivyoelekeza Mwenyezi mungu

    Nije kwenye mada. Nemeona kabisa mubashara jirani ana wivu wa kijinga sana. Cha kushangaza nde mwenye uwezo kifedha kuliko mimi ila anaonesha tamaa za ajabu. Ana magari manne mm nina moja tu. Nina moja kwa sababu nina priority zangu. Ningekuwa na magari hata 7 ningetaka. Kwa kifupi mungu...
  16. D

    JamiiForums Tanzania Makonda anasema hatomsaliti Hayati Magufuli hata kwa bastola, ilihali tayari kashamsaliti kama ifuatavyo

    Katibu mwenezi akiwa ziarani mkoani geita kasema hivi! Yeye siyo mnafiki kama CCM wengine waliomsaliti Magufuli na kumkana, Yeye Paul Makonda kasema Magufuli ndiye kiongozi wake ambaye hatoweza kumsaliti hata kama atawekewa bastola kichwani" HAYO MANENO KAYATAMKA Mbele ya umati, pia kaenda...
  17. JamiiForums Tanzania Dah! Netanyahu amesema kichapo kitaendelea hata kama Israel itabaki yenyewe

    Huku Israel ikiendelea kushambulia hospitali ambapo magaidi ya HAMAS yameweka kama makao makuu yao, waziri mkuu amesema hatositisha mashambulizi hata kama dunia yote itakua dhidi ya Israel, yaani hata maandamano yafanywe mpaka wapi hataocha mpaka HAMAS wauawe wote humo. Israel imesema iko...
  18. JamiiForums Tanzania Kama Seleman Matola yuko Simba, Mtabadili kila kocha hata aje Pep Guardiola

    Si kwa nia mbaya maana nilisema hivi huko nyuma wakati anaondoka madevu simba na leo narudia tena kama matola bado yuko simba mtabadili kila aina ya kocha na hamtafanikiwa ...kama mlimpeleka shule aje kuwa kocha mkuu mtavuna mlichopanda naomba muweke hili kwenye kumbukumbu yaan akija yoyote...
  19. JamiiForums Tanzania Neno la Asubuhi: Kwanini Hata kama hutaki kuwa tajiri ujitahidi usiwe ombaomba?

    Mtu anayemuamini Mungu kuwa ombaomba ni kumdhalilisha Mungu. Wakristo wengi kupinga utajiri kama aliokuwa nao Baba yao wa imani Ibrahim kumewafanya kuwa ombaomba. Wao na wachungaji wao. Ushauri wa leo, ikiwa hutaki kupambana kuwa huru kifedha na upate fedha nyingi za kubaki kugusa maisha ya...
  20. JamiiForums Tanzania Ndumba mama ya Simba iliyofukuliwa uwanja wa Mkapa kipindi cha marekebisho itawagharimu sana, kuchezea uwanja wa karibu wa Uhuru sio suluhisho

    Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kutumika Simba imekuwa ikipata matokeo mabaya, Al Ahly waliokuwa hawatoki salama kwa Mkapa walitoa sare, Yanga imejipigia zake 5, Leo hii umetumika uwanja wa uhuru lakini bado hili sio suluhisho. Kipindi cha marekebisho ya uwanja, Yanga waliwazidi kete Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…