Dah! Netanyahu amesema kichapo kitaendelea hata kama Israel itabaki yenyewe

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,676
48,452
Huku Israel ikiendelea kushambulia hospitali ambapo magaidi ya HAMAS yameweka kama makao makuu yao, waziri mkuu amesema hatositisha mashambulizi hata kama dunia yote itakua dhidi ya Israel, yaani hata maandamano yafanywe mpaka wapi hataocha mpaka HAMAS wauawe wote humo.

Israel imesema iko tayari kuhamisha watoto waliomo humo na yeyote ambaye yuko tayari kutoka ila kipigo kitaendelea.
Mataifa ya waarabu yanaongea ongea tu, ilhali humu JF wafuasi wa ile dini wanatukana balaa, tusubiri mwisho wake.

======================

Israel's prime minister pushed back Saturday against calls from Western allies to do more to protect Palestinian civilians, as troops encircled Gaza's largest hospital where doctors said five patients died — including a premature baby — after the last generator ran out of fuel.

A cease-fire would be possible only if all 239 hostages held by militants in Gaza are released, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said in a televised address.

The Israeli leader also insisted that after the war, now entering its sixth week, Gaza would be demilitarized and Israel would retain security control there. Asked what he meant by security control, Netanyahu said Israeli forces must be able to enter Gaza freely to hunt down militants.

He also rejected the idea that the Palestinian Authority, which currently administers autonomous areas in the Israeli-occupied West Bank, would at some stage control Gaza. Both positions run counter to post-war scenarios floated by Israel's closest ally, the United States. Secretary of State Antony Blinken has said the U.S. opposes an Israeli reoccupation of Gaza and envisions a unified Palestinian government in both Gaza and the West Bank at some stage as a step toward Palestinian statehood.

For now, Netanyahu said, "the war against (Hamas) is advancing with full force, and it has one goal, to win. There is no alternative to victory."
 
Israel Ikibaki yenyewe hakuna kitu wataweza kufanya, hawana uwezo wa kupigana hata na mungiki wakibaki wenyewe.

Mabwana zao Marekani na Ulaya wakiacha kuwapa silaha na misaada ya kifedha, hakuna kitu tena.

Hehehe vipi na nyie waarabu wote mbona mumeufyata....kuna vitu Israel wanafanya aisei hata mimi japo shabiki wao lakini kwenye baadhi ya mashambulizi siafiki, nilitegemea waarabu mkasirike muamue kujilipua mabomu.
 
Israel Ikibaki yenyewe hakuna kitu wataweza kufanya, hawana uwezo wa kupigana hata na mungiki wakibaki wenyewe.

Mabwana zao Marekani na Ulaya wakiacha kuwapa silaha na misaada ya kifedha, hakuna kitu tena.
Ulumbuke Israel wana ule uchawi( nuclear) nchi za kiarabu mkimvamia anawalipua, inashangaza siku hizi inatembea na kibeg kidogo ambacho anakuwa nacho mlinzi wake, inawezekana kina remote ya kubonyeza kitufe Cha nyuklia.
 
Hana hiyo jeuri ya kupigana vita bila ungaji mkono kutoka kwa wamagharibi.

Netanyau vita ikiisha tu anaenda jera ndio maana anajaribu kurefusha ili kusogeza siku za kwenda jera mbele..
 
Lakini kwa nini wasifate huwo ushauri waliopewa wa kuhamia Kusini mwa Gaza si ni jambo la kuhama tu unaacha wanaume watunishane vifua. Mm naona nao raia wanajitakia tu ww umeambiwa hili ni eneo la vita ondoka bado umeng'ng'ana kubaki unataka nn?
 
Huku Israel ikiendelea kushambulia hospitali ambapo magaidi ya HAMAS yameweka kama makao makuu yao, waziri mkuu amesema hatositisha mashambulizi hata kama dunia yote itakua dhidi ya Israel, yaani hata maandamano yafanywe mpaka wapi hataocha mpaka HAMAS wauawe wote humo.

Israel imesema iko tayari kuhamisha watoto waliomo humo na yeyote ambaye yuko tayari kutoka ila kipigo kitaendelea.
Mataifa ya waarabu yanaongea ongea tu, ilhali humu JF wafuasi wa ile dini wanatukana balaa, tusubiri mwisho wake.
======================

Israel's prime minister pushed back Saturday against calls from Western allies to do more to protect Palestinian civilians, as troops encircled Gaza's largest hospital where doctors said five patients died — including a premature baby — after the last generator ran out of fuel.

A cease-fire would be possible only if all 239 hostages held by militants in Gaza are released, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said in a televised address.

The Israeli leader also insisted that after the war, now entering its sixth week, Gaza would be demilitarized and Israel would retain security control there. Asked what he meant by security control, Netanyahu said Israeli forces must be able to enter Gaza freely to hunt down militants.

He also rejected the idea that the Palestinian Authority, which currently administers autonomous areas in the Israeli-occupied West Bank, would at some stage control Gaza. Both positions run counter to post-war scenarios floated by Israel's closest ally, the United States. Secretary of State Antony Blinken has said the U.S. opposes an Israeli reoccupation of Gaza and envisions a unified Palestinian government in both Gaza and the West Bank at some stage as a step toward Palestinian statehood.

For now, Netanyahu said, "the war against (Hamas) is advancing with full force, and it has one goal, to win. There is no alternative to victory."
KAFIRI UMEAMKA MAPEMA KULETA PROPAGANDA? VIPI WALE MAJASUSI WALIOFANYA KWENDA KUIJIFUNZA KILIMO MSHAWAOKOA?
 
Hana hiyo jeuri ya kupigana vita bila ungaji mkono kutoka kwa wamagharibi.

Netanyau vita ikiisha tu anaenda jera ndio maana anajaribu kurefusha ili kusogeza siku za kwenda jera mbele..
Amka utajikujolea ni nani hyo wa kumfunga Bibi? Yaani ulikoroge ww zen msala umwachie jirani.
 
Back
Top Bottom