Video: Zitto Kabwe akiunga mkono faragha za watu hata kama ni ushoga ulipigwa marufuku kisheria

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Zitto Kabwe akihojiwa na Edwin Odemba katika kipindi cha medani za siasa, amesema anaheshimu faragha za watu wote. Hii ni baada ya kuhojiwa kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anaupinga ushoga.

==

Yaliyozungumzwa ktk video hiyo.

Edwin Odemba alimuuliza Zitto Kabwe kama yupo tayari kuitangazia dunia kuwa anapinga ushoga. Zitto akasema "Nipo tayari kuitangazia dunia kuwa naheshimu faragha za watu". Odemba akabadili swali kwa kusema Zitto anakubaliana na ushoga. Zitto akajibu naheshimu faragha za watu
 
Onngea kidogo, unajuaje kuwa hao unao waheshimu sana duniani hawafanyi hayo? Acha mambo ya faragha yajitetee! Nyamaza, usikjeli
Sijakejeli. Hapana na nazungumzia unnatural offence ambayo imepigwa marufuku kisheria. Hata kama ukifanya faragha ni kosa.
 
Hata huko ughaibuni kwa weupe walianza na hoja ya kutoingilia faragha za watu then baadae wakaja na hoja kutambua mahusiano ya jinsia moja.

Now days wameruhusu mashoga na wasagaji kufunga ndoa na kuanzisha familia.

Sasa hivi wanajuta maana wameshaanza kuwafundisha watoto wadogo mashuleni maswala ya ushoga na kujibadili jinsia.
 
Wanaume wanavuja nyuma kama wanawake wapo breed bana.
 
Back
Top Bottom