Shunroku Hata (畑俊六, Hata Shunroku, July 26, 1879 – May 10, 1962) was a Field Marshal (Gensui) in the Imperial Japanese Army during World War II. He was the last surviving Japanese military officer with a marshal's rank. Hata was convicted of war crimes and sentenced to life imprisonment in 1948, but was paroled in 1954.
Hii maana yake ni kwamba Ubalozi si lolote wala chochote kwenye maisha ya Tanzania.
Kumvua Ubalozi Dkt. Slaa zaidi ni kumuongezea Umaarufu na heshima kwa jamii yake , ni sawa na kumvisha nishani kwa mapambano Matukufu dhidi ya wezi wa Bandari zetu.
Kama aliyevuliwa ubalozi na Magufuli...
Umaskini ni tafsida !
Unaweza kuitumia kwa ujumla au kwa mtu Mmoja Mmoja ! Tukiwa kama nchi mbele ya mataifa mengine nchi yetu inaitwa maskini.
Hata viongozi wetu wengi wanapotoa hotuba zao mbele ya mataifa yaliyoendelea wanajitambulisha kama nchi maskini ' ukisema hivyo unajumlisha wote...
Kwema Wakuu!
Bado nipo natoa mafunzo Kwa ninyi vijana wa Forex, Watoto wa kubet ambao Maisha yanawachanganya.
Vijana tatuteni Pesa kwaajili ya Wanawake wanaowapenda ili wawaheshimu na kuwatii. Elewa kuwa Pesa haimfanyi Mwanamke akutii (akupende) isipokuwa Pesa inachochea furaha ya mwanamke Kwa...
Nadhani wengi tumetizama movie ya Titanic, ikielezea penzi la vijana wawili na pia kuzama kwa meli hiyo. Inasemekana ina uhalisia kiasi fulani na tukio la kweli la kuzama kwa meli hiyo mwaka 1912.
Jambo la kutafakarisha, imekuwa ikidaiwa kuwa aliyekuwa kapteni mkuu wa Meli hiyo Edward John...
Wasalaam ndugu zangu, aisee ama kweli pombe sio chai.
Juzi Ijumaa katika mazingira yetu ya kazi wakatuzingatia ile posho ambayo tunayoipataga kila ufikapo mwisho wa mwezi, sasa hizi posho zinazaombatana na weekend sio nzuri kabisa ndugu zangu.
Sasa si nikaenda kulewa! Nimeamka Jumaatatu leo...
Ngoja taratibu nianze kuangalia Arusha kuna Rasilimali gani na labda unaweza Kuwekeza katika lipi Ukishirikiana na Wazungu ( hasa Wamarekani ) na Waarabu ( hasa wa Yemen na Dubai ) ili GENTAMYCINE nisije kuwa Namlaumu tu Mtu bure.
Miaka ya nyuma kidogo wakati niko msela alikuja single mama 1 ambaye tulikuwa na mahusiano ya kunyapia nyapia lkn ujio wake kwngu siku hiyo haukuwa kwajili sex kwa maelezo yake, baada ya kufika kwangu.
Mwenzio nimepata ajali nimeanguka na pikipiki nisaidie tu kama una dawa za kutuliza maumivu...
Viongozi wetu wanapatikanaje?
Na tunapimaje uwezo wao wa kuongoza? Je tuna mfumo wa kuwatengeneza? Job Description ya Kuwa Rais, Waziri Mkuu, Spika kwa Tanzania inataka vitu gani?
Nimekumbuka hayo kutoka kwa hawa Nguli wawili. Mwaka 2015 baada ya vikao vya CCM DODOMA, Prof na Mwalimu wangu...
Ni kisa kinachosikitisha sana. Lakini kina uhusiano mkubwa sana na namna viongozi wanavyopaswa kusikiliza maoni ya wanaowaongoza!
Mara nyingine dreva huchoka. Na pia kuna wakati dreva hupata na msongamano wa mawazo.
Hivyo basi kutokana na halu hiyo, wale wanasafiri na dreva huyo hawana budi...
Ifike mahali tuanze kujiuliza hivi ni akili kumiliki simu janja zaidi ya moja tena huku kila moja ikiwa na line 2? Yaani line 4 kwa wakati mmoja?
Hivi hatuoni huu ni uwendawazimu kabisa hasa simu hizo zinapkuwa ni kwa matumizi ya kawaida tu kama vile kuwassiliana na ndugu, jamaa na marafiki...
Ukifuatilia kwa karibu namna gani viongozi wetu wanaendesha nchi hii kwa vyo vyote vile lazima utapata msongo wa mawazo. Kwamba hakuna kitu ambacho sisi Watanzania na hasa Watanganyika tunachoweza kukifanya bila msaada kutoka nje.
Ni kweli hatuna tekinolojia kubwa kufanya mambo makubwa kama...
Eleweni hili na ikiwezekana msipoteze muda kuweka Wagombea akina Lissu na Msigwa sijui na yule wa Tarime au Mbowe mwenyewe.
Labda mkatafute mgombea kutoka CCM, tutawaazima hata yeyote mnaemtaka ili angalau mthubutu lakini kwa wapinzani hawa nao wajua majina yao hakuna mwenye uwezo wa kushika...
Kwenye magumu marehemu wanakumbukwa.
Hivi pamoja na akili zake Magufuli naamini asingeingia ujinga wa kugawa gateway ya nchi kizembe namna hiyo. Na bado naamini mtu mwenye akili timamu kamwe hawezi kugawa bandari ya nchi kizembe kiasi hicho haiwezekani.
Tuanze kugawa bandari ya Zanzibar kwanza...
Ukweli ni kwamba katibu mkuu aliye tenguliwa ni watu tunao waita “no nonsense” yaani hawapendi ujinga ujinga kama alivyokuwa Magufuli. Lakini tabia hii haitoshi kumfukuza mtu kazi ambaye ni mtaalamu wala sio mwanasiasa. Watanzania wanataka maji safi na bora na huyu hajafika hapo kwa bahati mbaya...
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mhandisi Nadhifa Sadiki Kemikimba
Aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Februari 2023. Pia ametumikia nafasi mbalimbali ikiwamo Mkurugenzi wa Idara ya Huduma za Ubora wa Maji.
Mimi gazeti la wamachinga yaani siliewi kabisa yani naonaga tu mapicha picha siwaelewi angalia hili toleo la jana 19/8/2023 walivyolipoti msimamo wa TEC
Kuna aina mbili za mitazamo ya watu juu ya viongozi wa dini:
Aina ya kwanza wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu kamili na wenye ukamilifu wote, kunena mpaka kutenda kwao ni kwa ukamilifu. Hawakosei lolote
Aina ya pili wanawatazama viongozi wa dini kama wanadamu wa kawaida, wanatenda...
Wapo viongozi wengi wa dini wamepinga adharani kwa sauti na maandishi mkataba wa bandari.
Wabunge wetu ni waumini wa viongozi hawa wa dini; lakini pia kielimu hata hawa viongozi wa dini wameenda shule tena kubwa kuliko wabunge walio wengi.
Hoja za viongozi wa dini zinafanya watu wajiulize...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.