Wanawake hawatunzi siri, hata kama ni mama yako usimwambie siri zako

Mohammed wa 5

JF-Expert Member
Jun 20, 2022
1,215
2,995
Habari za weekend wana Jamiiforums i hope wote wazima kabisa..

Najua watu wengi mpo closed na wazazi wenu ilo ni vizuri sana ni baraka tosha sana kuwa karibu na mzazi unamwambia vitu vyako vingi na ni mshauri kwako hasa hawa wazazi wetu wakina mama.

Ila kijana ni marufuku tena ni marufuku kushare siri zako kwa mwanamke hata kama ni mama yako mzazi usimwambie bora ufe nazo.

Hata mama yako ana mshauri wake utakavyo muomba ushauri wa magumu yako au kumweleza siri zako tambua ujue na yeye ataenda kwa mshauri wake kumweleza kila kitu.

Baba zetu tunajua ni magumu mengi mnapitia kuna muda unashindwa kuvumilia kutunza siri zako ila usimwambie mke wako bora ufe nazo.. Wanawake hawatunzi siri hawa

Note:
Zingatia hilo mkuu wanawake wengi sio watunza siri hata kama anakupenda vipi ukimwambia siri zako au mapungufu yako umeisha.

Sio wanawake wote wako hivyo kuna wengine wana moyo wa kipekee sana 8/10%
 
Hili nakuunga mkono asilimia mia.
 
Hata vitabu vyoote vinasema mwanamke ana siri nyingi na nzito......ogopa sana mwanamke......ingawa akikuamini atakuambiaaa
 
Habari za weekend wana Jamiiforums i hope wote wazima kabisa..

Najua watu wengi mpo closed na wazazi wenu ilo ni vizuri sana ni baraka tosha sana kuwa karibu na mzazi unamwambia vitu vyako vingi na ni mshauri kwako hasa hawa wazazi wetu wakina mama.

Ila kijana ni marufuku tena ni marufuku kushare siri zako kwa mwanamke hata kama ni mama yako mzazi usimwambie bora ufe nazo.

Hata mama yako ana mshauri wake utakavyo muomba ushauri wa magumu yako au kumweleza siri zako tambua ujue na yeye ataenda kwa mshauri wake kumweleza kila kitu.

Baba zetu tunajua ni magumu mengi mnapitia kuna muda unashindwa kuvumilia kutunza siri zako ila usimwambie mke wako bora ufe nazo.. Wanawake hawatunzi siri hawa

Note:
Zingatia hilo mkuu wanawake wengi sio watunza siri hata kama anakupenda vipi ukimwambia siri zako au mapungufu yako umeisha.

Sio wanawake wote wako hivyo kuna wengine wana moyo wa kipekee sana 8/10%
Hii hoja naiunga kwa mikono na miguu yote
 
Kuna namna ya kumwambia mambo sensitive pia ujumbe au Siri hutakiw kuifikisha nzima nzima. Ipindishe kdg.
 
Habari za weekend wana Jamiiforums i hope wote wazima kabisa..

Najua watu wengi mpo closed na wazazi wenu ilo ni vizuri sana ni baraka tosha sana kuwa karibu na mzazi unamwambia vitu vyako vingi na ni mshauri kwako hasa hawa wazazi wetu wakina mama.

Ila kijana ni marufuku tena ni marufuku kushare siri zako kwa mwanamke hata kama ni mama yako mzazi usimwambie bora ufe nazo.

Hata mama yako ana mshauri wake utakavyo muomba ushauri wa magumu yako au kumweleza siri zako tambua ujue na yeye ataenda kwa mshauri wake kumweleza kila kitu.

Baba zetu tunajua ni magumu mengi mnapitia kuna muda unashindwa kuvumilia kutunza siri zako ila usimwambie mke wako bora ufe nazo.. Wanawake hawatunzi siri hawa

Note:
Zingatia hilo mkuu wanawake wengi sio watunza siri hata kama anakupenda vipi ukimwambia siri zako au mapungufu yako umeisha.

Sio wanawake wote wako hivyo kuna wengine wana moyo wa kipekee sana 8/10%
Kwani hujawahi kuwasikia wenyewe wanasema,"yani flani ni mbea utafikiri mwanamke".....
 
Sahihi kabisa

kuna Mheshimiwa mmoja wa UWT alitaka namba ya Mtu muhimu wa Nchi nikamwambia mie sina ila naweza kuipata

yule Mtu nikamwambia nipe namba ya fulani najua unayo akakataa kabisa akasema mwenyewe hataki nitoe namba yake

nikamwambia yule Bi mkubwa kuna jambo lake limemfika kwny kooo, tumsaidie

akaridhia kwa sharti tukiulizwa tusiseme kama tumepata kwake

nikampa yule Mwanamke Mwanasiasa nikiamini anakifua kipana

Laa haulaa kapuyanga yote hadi ya kusema kasema nisikutaje

Jamaa alimkatia simu palepale yule m UWT akamwendea alietoa namba akamuogesha mitusi ya nguoni kwa wasap call

nae alipomalizwa kuongeshwa matusi akanipandia hewani akanipa haki yangu

Mie nimekausha kwa muda nikamuuliza yule niliempa namba …vipi Mheshimiwa alikupa ushirikiano ? hadi leo hajajibu sms

nilitaka aseme sijafanikiwa nimwambie Waganga wa zama hizi ni machawa …tukikupa connection na masharti basi hupaswi kuvunja masharti

Sent from my SM-G9500 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom