harmonize

  1. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Harmonize - Ahsante Magufuli (Official Video)

  2. H

    JamiiForums Tanzania Harmonize sio poa kutafuta Kiki kupitia kifo Cha Mhe Magufuli

    Huyu kijana sasa hiv naona ameanza kuvuka mipaka ya Kiki sio mbaya kufanya Kiki lakini fanya Kiki za maana kwa namna moja au nyingine zitakazoweza kusaidia kupush kazi zako lakini hii ya kujirecord unalimlilia marehemu Magufuli alafu unapost kwenye account yako ya social media unawakosea heshima...
  3. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Harmonize: Kajala ni mwanamke sahihi kwangu kwa asilimia mia

    Hamornize amethibitisha kuwa anaamini Kajala ni mwanamke sahihi kwenye maisha yake! Akijibu swali la Mwijaku amediriki kutamka kuwa usahihi wa Kajala kwenye mahusiano yake ni 1000% Uzi tayari
  4. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Ngoma bado mbichi kabisa, Harmonize na feminist Gyumi wameandaa maandamano makubwa Wasafi HQ

    Wakati akiweka pini kituo cha polisi, msanii Harmonize amekataa kukubali yaishe kweli uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Harmonize akishirikiana na mwanadada mtetezi wa haki za wanawake na watoto Rebeka Gyumi wameanza kutuma jumbe za kuwaalika watu muhimu katika na wananchi kwa ujumla kushiriki...
  5. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

    Masikini kijana mdogo Rayvanny miaka 30 nyuma ya nondo. Harmo ameonekana kituo cha polisi na ushahidi wote aliofanyiwa binti yake. Picha zinakuja
  6. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Deo Kisandu aingia studio kutoa album, Rayvanny, Harmonize na Darasa matumbo joto

    Mpaka sasa taarifa inayotambaa na kutrend mitandaoni ni inshu ya msanii wa kizazi kipya Don Nalimison maarufu kama Deo Kisandu kuachia album yake iliyopewa jina ANTIBIOTIC ALBAM. Baada tu yakutangaza ujio wa albamu hiyo wachambuzi wakubwa wa muziki waliwaonea huruma wasanii kadhaa wa bongo...
  7. Leak

    JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Msanii Harmonize bado anashikilia rekodi ya Album bora lakini Darasa atatu-suprise mwaka huu kupitia album yake(Slave becomes King)

    VS Wana jamvi Wasalaam Mwaka 2020 umekuwa mwaka wa ushindani mkubwa sana kwenye tasnia ya muziki hasa bongo fleva hapa nchini nah ii imetokana na kuwa mwaka wenye kazi bora sana za muziki wa bongo fleva . Miaka iliyopita kulikuwa na kilio cha wasanii na wadau kuhusu wasanii kutoa album...
  8. U

    JamiiForums Tanzania Post ya Harmonize kuweka rekodi Instagram bongo

    Post ya Harmonize akimtakia heri ya mwaka mpya Diamond Platnumz inaweza kuwa ndiyo post yenye likes na comment nyingi zaidi bongo tangu kuanzishwa kwa Instagram. Mpaka sasa post hiyo ina likes zaidi ya laki na ishirini ikiwa na comment zaidi ya elfu 20 ndani ya masaa 14 tangu ilipo postiwa huku...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Harmonize amshukuru Diamond

    Kupitia Instagram ya Harmonize, Harmonize ameanza mwaka mpya kupitia kuandika ujumbe wake mrefu aliomuandikia Diamond kutoa appreciation yake kwa alichomfanyia mpaka kufika hapo alipo. NB: Kiukweli jamaa kafanya Jambo zuri kama alichokiandika kinatoka moyoni maana watu wa Mtwara hawaaminiki...
  10. Leak

    JamiiForums Tanzania Harmonize amtumia Diamond Platinumz ujumbe wa mwaka mpya kuhusu umuhimu wa wazazi

    Wasalaam wana jamvi Msanii Harmonize kupitia wimbo wake mpya wa "WAPO" AMEMTUMIA salamu za Mwaka mpya 2021 Harmonize amemkumbusha Diamond kuhusu umuhimu wa wazazi wote wawili hasa wakiwa hai kabisa. namnukuu anasema "Kama baba na mama ndo nguzo ya dunia Wapende wote Sio wa kike anacheka wa...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Safi sana Harmonize kwa wimbo mpya wa Wapo

    Wimbo mpya wa kufungia mwaka, uliosheeni mashairi mazuri, maudhui ikipambwa na ladha tamu ya sauti iliyoendana vyema na ghunna!! Harmonize wa enzi zile ndiye huyu sasa! Ni aache tu mitifuano mipasho pasho na kundi lile lake la zamani.
  12. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Sarah na Harmonize ndio basi tena

    KAMA ulikuwa unadhani ile ishu ya Harmonize n Sarah juu ya kitendo cha nyota huyo wa muziki wa kizazi kipya kumposti mtoto akidai ni wake imeisha, pole. Kwani wazi ni hatma ya ndoa ya wawili hao imeshikiliwa na uzi mwembamba baada ya Sarah kutangaza kubwaga manyanga na kutoa ruksa kwa Harmonize...
  13. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kumbe Harmonize joka la kibisa! Mkewe aanika wazi kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

    ''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA'' Msanii Harmonize kutoka Konde Gang siku ya jana alimtambulisha mwanaye wa kike ambaye anadai kumficha kwa takriban miezi 19. Harmonize amedai kuficha mtoto huyo ili kulinda mahusiano yake na...
  14. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Harmonize kavuka mipaka. Mlie karibu na huyu mtu mshaurini vizuri

    Kwa akili ya kawaida mwanaume anaejielewa hawezi kufanya haya. Imefika wakati baada ya mazoea ya kusuka "twende kilioni" naona kaanza kuvaa na zile ''hereni kubwa" za akina mama. Muda utaongea. Tuendelee kuwa watazamaji.
  15. Slowly

    JamiiForums Tanzania What went wrong with Harmonize

    Simwelewi huyu mwamba wa Chitoholi, 2 years before he was the fastest rising singer in bongo fleva history , alikuwa fire Sana pale WCB, kichwa chake kilikuwa kimetulia na alitoa mawe Sana , uamuzi wa kutoka WCB ulipokelewa Kwa hsia tofaut na watu , wengi tulimwelewa pia na kumtakia Kila...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Harmonize ashutumiwa kuiba wimbo wa "Huo ni Ushamba"

    Mwanamziki nguli wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ameshutumiwa na "wasanii wadogo" Lizu Dady na Phamo S kuiba idea ya wimbo wa wimbo wake mpya unaoitwa "huo ni ushamba". Wasanii hao wanadai walitunga wimbo mapema wanaouita "upimbi", wimbo ambao unaendana wazo pamoja na kiitikio (Chorus)...
  17. SEASON 5

    JamiiForums Tanzania Harmonize, Huo ni Ushamba

    Huu wimbo mpya wa harmonize kama jinsi alivyouita mimi nimeupenda kwa u comedy wake lakini siuiti wimbo kwangu ni kichekesho na wala si wimbo lakini zaidi kitendo chakumchukua kijana anaefanana na diamond na kumuweka kwenye video Huo ni ushamba mkubwa kwenye hii video. Wasanii idea za video na...
  18. Tripo9

    JamiiForums Tanzania Harmonize na Konde Gang wamteua mkuu wa mkoa wa Dar kama mlezi wao

    Harmonize na konde gang wamteua mkuu wa mkoa wa Dar Mh Abubakar Kunenge kama mlezi wao. Wanapitia njia ile ile aliyopita bwana domo. Sio mbaya lakini.
  19. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Harmonize ahimiza watu wafanye maombi kwa ajili ya Nigeria

    Msanii anayetamba katika soko la Afrika Mashariki anayefahamikwa kwa jina la Harmonize, amehimiza wananchi wafanye maombi kwa Nigeria kutokana na machafuko yanayoendelea hivi sasa. Harmonize ametumia ukurasa wake wa instagram kuwaomba watu wote kuiombea Nigeria. === Hatua hiyo imeonekana...
  20. Majan

    JamiiForums Tanzania Hivi Gwaji boy anamchukuliaje Harmonize

    Amani iwe nanyi. Huwa najiuliza sana ivi Gwajima anamchukuliaje Harmonize .? Kuna ule mstari ktk nyimbo ya harmonize UNO kuna kipande kinasema "NDO LILE GWAJIMA ALILOMPATIA KONDOO" Unooo ooh Ukizingatia Gwaji mwenyewe kwasasa ni MGOMBEA UBUNGE sasa unakuta kwene majukwaa yachama Harmonize...
Back
Top Bottom