Salaam SK- Harmonize bifu hilo kwio

PACHOTO

JF-Expert Member
Dec 30, 2011
1,321
970
Msibani Morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani, kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile M600, sio yeye.

NB: kumbe WCB walikuwa wanafaidika na uwepo wa TEMBO sasa mambo magumu
 
Wbc managers,akili zao wanazijua wenyewe. Bifu la nini wakati Harmonize alishawalipa chao ?Au ndo walitaka waendelee kumnyonya ?Na hivi Magu kadhibiti wauza ganda Sallam ndo hana chake kabisa,na Coronavirus nayo ikaja kupigilia msumari.
 
Msibani morogoro mazishi ya Mke wa Babu Tale, SALAAM SK mmoja wa mameneja wa Diamond akataa mkono wa HARMONIZE, binfsi sijapenda bifu hadi msibani? kama hasira angekuwa nazo Harmonize kwa zile M600, sio yeye. Nb kumbe Wcb walikuwa wanafaidika na uwepo wa TEMBO sasa mambo magumu
Maelezo haya unataka tutoe maoni yetu ? vip tutajua kuwa hii habari ni ya kweli
 
20 Reactions
Reply
Back
Top Bottom