WCB lebo ya Diamond imegeuka kuwa kiwanda cha kutoa mastaa katika levo za juu mno,
Kuna waliofata nyayo za kijana lakini hali hairidhishi, kuna lebo kama kings music ya alikiba na konde gang ya harmonize hizi lebo wasanii wake wamekuwa wakipata wakati mgumu kutoboa ikafika kipindi hadi wasanii...
Njooni tujadili kupanda kwa viewers wa nyimbo zake , je ni kweli ananunua viewers.
Nyimbo yake ya sandakalawe ilikuwa na viewers 400k baada ya masaa machache ikawa na viewers 1.5 m
Wimbo wa msanii nguli wa bongo flava Harmonize unaoitwa sandakalawe, umezuiwa youtube kutokana na kile kinachosemwa kuwa ni kukiuka hakimiliki za kampuni ya usambazaji mziki ya EMPIRE. Mpaka sasa haijajulikana ni kipengele kipi cha hakimiliki kilichokiukwa lakini tetesi zinasema ni shutuma za...
Msanii nguli wa muziki wa kizazi kipya Harmonize, ametoa wimbo mpya unaoitwa Sandakalawe, wimbo huo unaonekana kukubalika na kupata views 100,000 ndani ya saa moja, hatua iliyomfanya Harmonize kusema yeye ndio mfalme wa muziki wa kizazi kipya na hatowakumbusha tena na kuacha mitaa iongee.
Tukumbuke kwamba kwa sasa mziki wa bongo ni kama vile siasa za mpira wa Simba na Yanga,hata ije Azam au Gwambina fc au Namungo bado mashabiki wa hizi timu watakua ni wale wale tu watokanao na Simba au Yanga.
Hii ni sawa kwa Muziki wetu umegawanyika kwa team Kiba vs team Diamond,hata wasanii...
Harmonize amekuwa akitamani kutawala soko la mziki Tanzania , amejitahdi Sana Kwa Kias chake ,media kubwa zinampigia chapuo , Baadh ya accont maarufu za wambea Instagram pia zipo nyuma yake. Na kuna watangazaji pia ambao richa ya kuonekana kama wehu eg mwijaku ,lakn hawajali ni kama wamejitoa...
Mdogo wangu Harmonize naona jana umeachia nyimbo ya kumsifu mama, ila sidhani kama umeshausoma upepo wa mama kwa sasa upoje, mdogo wangu mama sio kama mwendazake yaani hapendi kusifiwa sifiwa tena akijua ni zile sifa za kujipendekeza
Mdogo wangu jikite kwenye kazi zako tu isipoteze pesa kabisa...
Wakuu, Jana kuna kitu nimejifunza kwanini Diamond kwenye burudani anasumbua anajiandaa vya kutosha na ukilipaa pesa utapata kulingana na pesa yako.
.....
Nimehudhuria matamasha mengi ya Diamond ukitoaa milioni Moja au Laki5 utapata hospitality ya kutosha.
.....
Wakuu Jana nimehudhuria Tamasha La...
Habari Wana Jf.
Hili alilolifanya Rayvanny naona Yuko sahihi kabisa maana now days Harmonize hasikiki na ndio maana anaangaika mchana na usiku kutafuta Kiki ili aongelewe lakini wapi.
Kiukweli Kama Harmonize ni mkubwa angekuwa na BET au tuzo kubwa yeyote Kama RAYVANNY CHUI.
Pia lingine...
Whoever knows. Is that the case? Ila poa tu, maana hili tangazo lao jipya la SimBanking ni tamu kinoma.
Sasa sijui ni yale maskendo yake ya dudu la yeye au vipi?
Awe makini? Au mnasemaje wadau?
Katika Hali isiyotarajiwa na wengi, C.E.O wa Next Level Music Rayvanny aka vannyboy mtu mbaya amezid kumvuruta mmiliki wa label ya Konde gang Harmonize Mzee wa picha za utupu
Rekodi mbali mbali zinaonyesha jinsi Rayvanny anavyomburuza konde boy kuanzia kwenye mziki mpak kumiliki watoto wa zuri...
Kwa upande wangu naona hili bifu limemuathiri zaidi Rayvanny, nimegundua baada ya kwenda you tube na kuangalia video ya keleb ya Rayvanny, nimesoma comments nikafamu Kuna watu wanetoa negative comments wengi Sana
Hali hii haikuwa hapo mwanzoni. Kwani Rayvanny alikuwa na neutral fan base hata...
Tuachane na mambo ya tuzo, tumpe muda kwanza ila vp katka hz namba
Au WASAFI nako huku wanahusika kwa namna flan kumshusha Mmakonde?
Tusishau wimbo wa mwisho wa Diamond ni waah ila bado list zinakimbizwa na vijana wake.
Swala la kumfananisha Harmo na Mond lipigwe marufuku
Kama kichwa cha habari kinavojieleza.
Msanii ambaye kwa sasa amekuwa akisumbua vichwa vya watanzania kwa habari tofauti ameamua kuchora tatoo ya Hayati Rais Magufuli katika mwili wake.
Hii inaonyesha wazi Harmonize kaguswa sana na msiba wa JPM na kujaribu kumuenzi kwa stail hio ya tatoo...
Star wa Bongo Fleva anaetrend na attitude leo kaenda Nigeria kukamilisha shooting ya video ya nyimbo 2 alizoimba na Burnaboy na Wizkid. Safari ya International ndio kwanza imeanza.
Tukae mkao wa kula.
Kiufupi ni hamna kitu pale zaidi ya kelele nyingi wala huelewi mtu huyu anasema nini. Amejitahidi kiasi chake kufanya hii remix ya wimbo wa Awilo wa miaka mingi ya zamani ila asikate tamaa akazane atafika.
Kuna video Ina trend hivi sasa ikimuonyeeha dada mmoja akililia penzi la Harmonize.
Hi imekuja baada ya siku kadhaa nyuma kulipovuja mtandaoni video zikiuonyesha Mushobozi wa Taifa unaomilikiwa na Harmonize.
Dada amesemaa Yuko tayari kwa lolote lakini sharti ampate Konde Boy.
Aisee katika watu wanavita Kali na haijawah kuwepo ni Harmonize. Fikiria anapambana na fanbase aliehusika pia kuwatengeneza. This is a total war. And trust me a hero have never died in the middle of the movie.
Harmonize is going to win this battle . Just soon ...very soon. Diamond silaha...
Ndani ya masaa 24 tu waah ilipata views 4.2 Milioni
Video hii mpya ya attitude ilitoka juzi mda 20:15, leo muda huu inakamilisha masaa 48 kwa views milioni 3.8
DENI LA VIEWS MILIONI 4.2 YA VIEWS ZA DIAMOND ALIZOFIKISHA NDANI YA MASAA 24 HATIMAE LIMEKAMILIKA BAADA YA HARMONIZE KUFIJISHA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.