Harmonize kuja na Carnival akishirikiana na TVE

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Bwana mdogo katangaza kuleta Carnival tarehe 28/11/2020 akishirikiana na TVE

Vitu vya huyu dogo vingi ni vya kukurupuka yaani kama kasikia mtu anatajataja na yeye ana wahi na anasema uwanja wa uhuru na litakuwa la siku tatu. Wasanii watakaopenda kushiriki wajiandikisha kwa BDozen pengine bure au watalipwa

Matamasha mengi huwa yanaangalia nyakati Oct 28 kuna uchaguzi then 28 Nov kuna tamasha kubwa hii ni sawa sawa na tamasha lake la June lililopotea hewani. Vitu vingi kwa msanii huyu haviishi vinapotea hewani hewani

Hawa wanalengo la kumsaidia lkn waangalie sanaaa likibuma watamshusha mazimaaa
 
IMG_20200804_083242.jpg
 
Mbona hakuna shida kwenye Tarehe ya hilo tamasha? Uchaguzi ni octoba na tamasha ni Novemba na itakuwa imepita mwezi mmoja na hata kama kutakuwa na tamasha lingine hiyo haizuiii yeye kutoa burudani
 
Nilisikia Bhaghdad akiongea kufanya kitu kama hiki..kondeboy bhana
 
Mbona kitambo since Harmonize anatoa album alishasema anatamani kuzindua album yake kwa style hii hapo viwanja vya uhuru?

Na kama watu wangekua na mawazo haya, wasafi wasingefanya wasafi festival kwasababu kuna fiesta.
 
Nilisikia Bhaghdad akiongea kufanya kitu kama hiki..kondeboy bhana
🤣🤣🤣🤣🤣 Sioni mbaya akicopy Hilo wazo kwa Bhaghdad Cha msingi akifanye kwa ubora kuliko aliyemcopy isije tu baadae Hilo wazo kiliishia njiani Kama project zake nyingi zilivyoishia njiani
 
Wengine tulishabahatika kuona carnival Brazil, rio
2007 ilikuwa..... Ilikuwa balaaa ndomana mpaka lro uliniambia starehe sjui bata bongo sioni jipya
Wenzenu carnival yao si masihara watu duniani wanahamia huko ohoooo

Ova
 
Mkuu duniani hakuna idea mpya .. Huyo Baghdad mwenyewe itakuwa kadukua hiyo idea somewhere .. Yeye anaweza kufanya yake then na wengine na wao wakafanya yao "
Naelewa..ila mimi nilichoshangaa ni kuwa venue aliyoitaja bhaghdad ni uhuru na tarehe ni hizohizo kama sijakosea..Anyway,kila ya kheri kwake
 
Naelewa..ila mimi nilishangaa ni kuwa venua aliyoitaja bhaghdad ni uhuru na tarehe ni hizohizo kama sijakosea..Anyway,kila ya kheri kwake
Aahghh bwana weee hii Game ya bongo inaendeshwa kwa fitina nyingi sana wee acha tu mkuu
 
Twende mbele turudi nyuma hakuna mwenye chuki na kondeboi coz tamasha lake likiwa kubwa hadi uko kwa wenzetu waka appreciate hio ni sifa kubwa kwa taifa ila, tatizo konde ana mamb meng na yote anataka kuyafanya kwa mmoja mfano ndan huu mwez kamsain skales na bado ibra anahitaj promo na wakat huo ndan ya huu mwez anataka kusain wengine wawili na bado kuna tamasha kubwa na yy hana experience kweny game hii. NB:YETU MACHO MAKE WABONGO HAMCHELEWI KULETA HABARI ZA UCHAWI
 
Bwana mdogo katangaza kuleta Carnival tarehe 28/11/2020 akishirikiana na TVE

Vitu vya huyu dogo vingi ni vya kukurupuka yaani kama kasikia mtu anatajataja na yeye ana wahi na anasema uwanja wa uhuru na litakuwa la siku tatu. Wasanii watakaopenda kushiriki wajiandikisha kwa BDozen pengine bure au watalipwa

Matamasha mengi huwa yanaangalia nyakati Oct 28 kuna uchaguzi then 28 Nov kuna tamasha kubwa hii ni sawa sawa na tamasha lake la June lililopotea hewani. Vitu vingi kwa msanii huyu haviishi vinapotea hewani hewani

Hawa wanalengo la kumsaidia lkn waangalie sanaaa likibuma watamshusha mazimaaa
Kwa mtu anayetujua wamakonde hawezi kumshangaa Harmonize.....sisi ndivyo tulivyo papara nyingi.
 
Bwana mdogo katangaza kuleta Carnival tarehe 28/11/2020 akishirikiana na TVE

Vitu vya huyu dogo vingi ni vya kukurupuka yaani kama kasikia mtu anatajataja na yeye ana wahi na anasema uwanja wa uhuru na litakuwa la siku tatu. Wasanii watakaopenda kushiriki wajiandikisha kwa BDozen pengine bure au watalipwa

Matamasha mengi huwa yanaangalia nyakati Oct 28 kuna uchaguzi then 28 Nov kuna tamasha kubwa hii ni sawa sawa na tamasha lake la June lililopotea hewani. Vitu vingi kwa msanii huyu haviishi vinapotea hewani hewani

Hawa wanalengo la kumsaidia lkn waangalie sanaaa likibuma watamshusha mazimaaa
Yule meneja wake Sebastian Ndege anasemaje kuhusu hilo ?
 
Back
Top Bottom