harmonize

  1. mbutamaseko

    JamiiForums Tanzania Toka Harmonize aondoke Wasafi nyimbo za Diamond zimekuwa na tungo za kawaida sana kama sio mbaya. Ni kweli Harmonize alikuwa mwandishi tegemeo?

    Ukifuatilia kwa makini utagundua tu hili. Tazama mashairi ya wimbo kama I miss u wa Diamond unauona kabisa uandishi wa Harmo. Cheki na nyimbo zingine kabla ya harmo kuondoka! Leo unakuja kuimbiwa wimbo kama gere melody mbaya, mashairi ya kawaida sana na ndio maana ulidumu kwa Sikh tatu tu...
  2. sangujoseph

    JamiiForums Tanzania Harmonize ameniangusha kwenye Bedroom video

    By Sangu Joseph . Ninawaza kuwaambia watu nimeiona video ya Bedroom ya Harmonize_tz na hasa nikikumbuka Mzee wangu Jakaya Kikwete alipoteza muda wake kushuhudia uzinduzi wa hii Audio, nadhani kama angejua Video Ingekua hivi ambayo Mimi nimeiona angeagiza usiimbwe pale Mlimani. Afroeast ya...
  3. mayowela

    JamiiForums Tanzania Harmonize bado yuko chini ya Diamond, ni Mbinu za Kibiashara tu

    Hisia zangu zinaniambia Harmonize bado yuko mikononi mwa Diamond ila Umma tunaaminishwa katoka ni game well played ila kuwin kibiashara. Hebu tuone hili, hapo awali Harmonize alipokuwa anatoka Wasafi maneno mengi yalizungumzwa na mameneja wa Diamond, Babu Tale na Sallam SK, Ila Diamond hakuwa...
  4. kid ink tz

    JamiiForums Tanzania Rayvanny afichua siri ya Harmonize kuondoka WCB

    Pamoja na Jina la Harmonize kuwa kubwa ila inaonekana RayVanny kamzidi mkali huyo kwenye mapato. Kupitia Dizzim online jana Rayvany amefunguka vitu vingi juu ya beef la Harmonize na WCB Wasafi. Amefunguka kwa kusema mwanzo alijua mwenye kosa ni Uongozi wa Wcb Wasafi akawa anawalaumu management...
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Sikiliza kionjo cha wimbo mmojawapo kwenye album ya #Afroeast..

    Katika pitapita zangu nmekutana na kionjo cha one of the song in #afroeast album. Aisee a new big artist in Africa and the world is introduced tarehe 14 mwezi Wa 3. Kondeboy anaenda Ku trend kama Burnaboy mwaka jana. Download it
  6. babu M

    JamiiForums Tanzania Show ya Harmonize Mbeya imezuiwa

    Mimesoma kwenye Instagram ya Harmonize ameandika show yake iliyokuwa ifanyike usiku huu imezuiwa. Show hiyo ilikuwa na kibali cha mpaka 6.00 lakini polisi wameizuia. Ameandika bado hajabahatika kujua sababu ni nini! Sikiliza hii clip pia Harmonize akipewa taarifa.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Ni vigumu kuamini lakini Harmonize is the new king of bongofleva. Mbeya wamethibitisha hilo. Afroeast album ndio itayotoa majibu

    Mapokezi makubwa aliyoyapokea mbeya... Yamemshtua sana kijana wetu anaepambana kuukuza mziki Wa bongo fleva. Mji wa mbeya umezizima siyo kawaida... Na hapo unaambiwa ni maandalizi ya kuupokea album. Ya afroeast . 2009 diamondplatinumz alianza hivihivi. Kama matani. Mwishowe akaubeba ufalme....
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Harmonize na Diamond Platinumz ni sawa na cha Fally Ipupa na Koffie Olomide. Afrobeat Album ndo itatoa majibu

    Kwa kawaida msanii anapoondoka kwenye label iliyomkuza, basi lable hiyo hutamani apotee ili iwe funzo kwa waliobaki. Mapesa yote hayo wamempiga, bila hiyana kawalipa lakina kila kukicha wanamshambulia na kumuita msaliti. Kama watanzania wakiamua hakuna kitakachoshindikana. We need more...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Ugumu anaoupitia Harmonize ni kielelezo tosha kwanini sanaa yetu haikui. WCB inaua wasanii nje ya lable yao

    Nimefatilia kwa undani mikiki anayopitia Konde Boy toka ajiengue WCB. Kiukweli hajashuka Kama tunavyolazimishwa tuamini. Kwanza official songs katoa UNO na KUSHOTO KULIA na zote zimefanya vyema you tube. Hainshtui na Hujanikomoa ni bonus track wakati anajiandaa kuachia album yake...
  10. Burnaboy

    JamiiForums Tanzania Somo kutoka kwa Davido na Wizkid: Bifu zina mchango gani kwenye kukuza au kuua wasanii?

    Jana nimemsikia presenta mmoja wa radio maarufu akidai kwamba "wasanii wa Nigeria wanaendelea sababu wana UMOJA, hawana ma-bifu". Hata wasanii wanaoheshimika bongo wamekua wakitoa hii hoja. Je, ni kweli wasanii wa Nigeria wana UMOJA? (kwa kuangalia mfano wa Davido na Wizkid).Je, bifu zina faida...
  11. DocJayGroup

    JamiiForums Tanzania Je, Harmonize alifanya uamuzi sahihi kuuza nyumba zake 3 katika harakati za kujitoa WCB? Wewe ungefanyaje?

    Harmonize anapambana ili aweze kuachana kabisa na WCB. Alitakiwa kulipa shs milioni 500 ili aweze kuwa msanii huria na kufanya kazi zake kama yeye mwenyewe. Jambo ambalo linamaanisha kwamba kama msanii huria, fedha yote atakayoipata katika kazi zake za sanaa itakuwa ni yake. Alivyokuwa chini ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Diamond na Harmonize chukueni tahadhari kabla ya maafa

    Ndg zangu amani iwe kwenu! Kwanza sipendi sana kuzungumzia mambo ya wasanii sana maana kwangu mimi mziki ninaoufagilia ni miziki ya zamani. Na wimbo wangu bora kabisa ni wa mzee marehemu Moses fan fan unaoitwa Papa lolo. Lakini kama mtanzania naomba niwape vijana wenzangu hawa tahadhari kwa...
  13. DissDotCom

    JamiiForums Tanzania Diamond na Harmonize wanatuzuga hawajatengana, show zao zina utata

    HABARI ZA KAZI WAKUU, Napenda kutumia muda huu kujadili kuhusu muziki wetu kwa sasa, mahali ulipotoka na unapoelekea... Awli ya yote tuwapongeze wasanii wetu baadhi wanaopeperusha bendera kimataifa. Wengi najua tunajua habari kubwa zilizotikisa kiburudani katika kufunga mwaka ni kuhusu tamasha...
  14. Degelingi_One

    JamiiForums Tanzania Harmonize: A request of a boss is an order

    Wana JF Heri ya mwaka mpya. Usiku wa kuamkia mwaka mpya 2020 msanii Harmonize alikuwa na show kubwa katika mkoa wa Mtwara pale Tandahimba. Pamoja na kupiga show kali iliyojaza watu wengi msanii huyo alisikika akisema Mwakani atafungua radio station "Tandahimba FM". Atakuwa mwenyekiti wa timu...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Producer: Harmonize aombe msamaha

    Producer wa Kenya aliyeibiwa beat na Harmonize amtaka Harmonize aombe msamaha la sivyo atafuta hata audio ya Uno baada ya video kufutwa, pia ataenda mahakamani kudai haki yake.
  16. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kiba anamuogopa Harmonize?

    Habari zenu Ili nijukwaa la celebrities Leo nimeamua nije na hii hoja kwenu.kati ya wasanii ninaowakubali Tanzania kimziki kiba ni mmoja wapo lakini nje ya mziki wake simkubali.Leo wakati nikisikiliza interview ya kiba times fm alinishangaza kiba Kama kawaida yake kwenye interview nyingi...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mtayarisha muziki wa Kenya amshutumu Harmonize kwa kumuibia mdundo katika wimbo wa "Uno"

    Mtaarishaji wa muziki wa Kenya anayeitwa Magix Enga amemshutumu mwanamuziki wa Tanzania Harmonize kwa kumuibia biti alilolitumia katika wimbo wake mpya unaoitwa "Uno". Katika posti yake ya Instagram Magix amemuonya Harmonize kwa kumsisitiza kuuondoa wimbo huo katika mitandao yote ndani ya wiki...
  18. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba, Harmonize wamjibu Diamond kuhusu tamasha la Wasafi Festival

    ALI KIBA ANA MAJIBU YA KIKE, KAMA KUNA UMAFIA ALIFANYIWA NA MOND SI AFUNGUKE??
  19. Kibumbula

    JamiiForums Tanzania Naona wajuaji wameshaanza kulivalia njuga sakata la WCB na Harmonize

    Katika kile kinachoonekana misimamo tofauti juu ya sakata la WCB na Harmonize,tayari wajuaji wameshaanza kumwaga upupu wao kwa WCB. Yetu macho na masikio. ---- Mkataba wa Harmonize, WCB ulivunjika tangu 2016 Harmonize amethibitisha kilichonong’onwa muda mrefu kwamba menejimenti ya Wasafi...
  20. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Mbosso ndiye mrithi wa Harmonize pale WCB

    Hili liko wazi kabisa, wala halihitaji ubishi. Kijana huyu ana cheche na moto haswaa wa kuweza kukamata siti iliyoachwa wazi na Harmonize. Najua matarajio ya wengi ni kwamba Rayvany ndio ataziba hilo gap, lakini nionavyo mimi uwezo wake ndipo ulipoishia. Kama ni kumfikia Harmonize basi alipaswa...
Back
Top Bottom