Hivi Gwaji boy anamchukuliaje Harmonize

Majan

JF-Expert Member
Jul 2, 2015
1,165
1,515
Amani iwe nanyi.

Huwa najiuliza sana ivi Gwajima anamchukuliaje Harmonize .?
Kuna ule mstari ktk nyimbo ya harmonize UNO kuna kipande kinasema "NDO LILE GWAJIMA ALILOMPATIA KONDOO" Unooo ooh

Ukizingatia Gwaji mwenyewe kwasasa ni MGOMBEA UBUNGE sasa unakuta kwene majukwaa yachama Harmonize anapita nahuo mstari kama ulivyo tena bila kupunguza neno duh ivi sio kamstari kakumshushia credit Mchungaji kweli?

Ukizingatia ni Mgombea ubunge,
Sasa jana pale Mkapa studium mbele ya Gwajima mwenyewe jamaa kapita nao tena,sasa duh nikavuta picha Gwajiboy alivyomkata jicho Harmonize
 
Wote ni CCM wanawlewana
Hahaa kwahiyo nyuma yajukwaa mazungumzo yao yanakua hivi
Gwaji:- lkn dogo kale kamstari kananiua sana ujue
Harmonize: Hahaa lkn Braza siulishakataa kuwa yule wakwene ile video sio ww?
Gwaji:- Ndio sio mimi
Harmonize:- sasa ndoivo sasa Gwaji ninaemuimba sio Gwaji ww niyule wakwenevideo
Gwaji:- Hahaa Dogo unazingua ujue sasa siungekua unachomekea tu kua ndo lile mwijaku alompatia Menina
Harmonize:- Hahaa hiyo haileti frsh pia kesi bado ipo mahakamani
Gwaji
 
Back
Top Bottom