Harmonize ashutumiwa kuiba wimbo wa "Huo ni Ushamba"

Cannabis

JF-Expert Member
Jan 20, 2014
8,937
25,279
Mwanamziki nguli wa muziki wa Bongo Flava, Harmonize ameshutumiwa na "wasanii wadogo" Lizu Dady na Phamo S kuiba idea ya wimbo wa wimbo wake mpya unaoitwa "huo ni ushamba".

Wasanii hao wanadai walitunga wimbo mapema wanaouita "upimbi", wimbo ambao unaendana wazo pamoja na kiitikio (Chorus). Wasanii hao wameonekana kulalamika na kutaka haki itendeke kwao.

Kumbe jamaa anaiba mpaka taarabu
 
Mnaambiwa mkasajili kazi zenu mapema COSOTA ili hata ukilalamika ushahidi unao,sasa wewe unalalamika maneno matupu hujasajili kazi yako unaonekana muongo.

Ila ungeusajili COSOTA sasa hivi ungempeleka kwa pilato ili upate haki yako.Hapo labda ushahidi waliokuwa nao kwamba nyimbo yao wameiupload Oct 19 na ya Harmo Nov 9.

Ila hii kama angekuwa Mondi ingekimbia sasa hivi ingekuwa page ya 10.👇👇👇👇
Screenshot_20201110-161953~2.png
 
Mnaambiwa mkasajili kazi zenu mapema COSOTA ili hata ukilalamika ushahidi unao,sasa wewe unalalamika maneno matupu hujasajili kazi yako unaonekana muongo.

Ila ungeusajili COSOTA sasa hivi ungempeleka kwa pilato ili upate haki yako.Hapo labda ushahidi waliokuwa nao kwamba nyimbo yao wameiupload Oct 19 na ya Harmo Nov 9.

Ila hii kama angekuwa Mondi ingekimbia sasa hivi ingekuwa page ya 10.👇👇👇👇View attachment 1623451
uyu w chini ni nani?
 
Back
Top Bottom