Harmonize, asante kijana umemuimbia mzee wetu kwa hisia

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,638
51,605
Nimesikiliza wimbo wa Harmonize, nyimbo ya maombolezo.

Kwa kweli asante sana kijana wetu, wimbo wako una hisia kali na umenitoa machozi. Kwenye wimbo Kijana kamlilia mzee, anasema kama siyo juhudi za mzee watu wa kusini lile daraja wangelipata wapi.

Kijana kaimba kwa hisia kali kwelikweli. Anaimba jinsi maraisi wenzie, Magufuli, Kikwete na Mwinyi wanavyomlilia.

Rest in Peace Benjamin Mkapa, You are our hero!

 
Kusini kawaachia daraja tu, ye kaendazake Lushoto a=Sijui ni kwa kuwa inaanzia na "LU" na kuishia na "O" kama kwao??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom