Hii style ya Harmonize kuchukua beat na kurudia nyimbo atakuwa ametoka nayo huko alikotoka?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
May 3, 2020
2,416
3,911
Salama wakuu!

Ipo hivi najua kila mtu ashasikiliza ile album yake sasa mle naona kama kuna nyimbo nyingi nyingi kachukua beat mfano wimbo wa "body" harmonize ft burna boy, kachukua beat na neno "Show me the way" wa kwake Papa wemba, tuje wimbo wa Hainistui kachukua beat ya Mr. Nice na huyo hawakukubaliana chochote.

Bado subiri tena bado kuna ule wimbo wa Q Chilla "Mabu" bado tena maneno yamerudiwa mule. Sijamaliza kwanza kuna hii mpya ya Rosa lee kachukua beat tena, mpaka nyimbo ikafutwa kule YouTube,. Bado bado zipo ila tuishie hapo.

Ndio maana nikasema hiyo tabia inawezekana katoka nayo huko alikotoka kama alikuwa hamuoni boss wake akifanya hivyo maana mtoto lazima aige kwa baba, maana anaona jinsi anafanya na mbinu zote anajua😎
 
Harmonize amefanikiwa kutengeneza “kiki” ikaonekana kama ni uhalisia. Watu mnadhani halikuwa hajui kwamba beat ni ya Rosa Ree.
 
Kwani ukiiba au kubaka atalaumiwa mzazi kuwa yeye

Kwani ukibaka au kuiba atakayelaumiwa ni baba yako kwa kuwa utakuwa umeiga hizo tabia kutoka kwake ?
 
Mh kuhusu wimbo wa Mr Nice, My Boo na Bachela mimi sioni kama ni ishu as kusample beat za nyuma inafanywa dunia nzima rejea wimbo wa No Love wa Eminem na Lil Wayne. I'll be missing you wa P Didy, Shauri yako wa Kenzo.

Kurudia maneno pia siyo ishu rejea wimbo wa Rangi ya Chungwa wa FM Academia, Georgina wa FM Academia, Loser wa Raje ila kashirikishwa Lil Wayne na verse yake yote imetoka katika wimbo wa Run Away.

Ishu ni kama hana makubaliano na wenye mali zao.
 
Ndo hivyo
 
Back
Top Bottom