hana

  1. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Naitabiria EP ya First Of All ya Diamond Platnumz kuvunja rekodi mbalimbali Afrika

    Ijumaa hii ya tarehe 11, Diamond Platnumz anaachia ep yake ya kwanza tokea aanze mziki... Ep hiyo kaipa jina la FOA (First Of All) ambayo hash tag yake #FOA imejizolea umaarufu kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii Kwa kuangalia mapokezi ya jina tu, basi naamini hii ep itaenda kuacha historia...
  2. Mparee2

    JamiiForums Tanzania GPA ya 5 - Anazurura mtaani; we are not serious!

    Kwa mtazamo wangu tumechelewa kuwatumia wanafunzi wenye ufaulu wa juu (outstanding) kulisaidia taifa. Hivi inakuwaje mwanafunzi kidato cha sita ana point tatu, Chuo kikuu amepata GPA ya 4.8 au kwa wenzetu wa Arts wanapata hadi GPA 5 naye yupo mtaani hana ajira? Labda niunganishe na wale...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini waliokutana Rais Samia Wamemshauri kuifuta kesi ya Mbowe

    Hivi ndivyo Mwananchi walivyoeleza kwenye tovuti yao jioni hii . Hoja hiyo iliwasilishwa mbele ya Rais na Shehe Mkuu (BAKWATA) Mufti Aboubakar Zuberi ======= VIONGOZI WA DINI: BUSARA ITUMIKE KUMALIZA KESI YA MBOWE Viongozi hao wameomba Mamlaka husika kutumia busara na kuangalia namna ya...
  4. GRAMAA

    JamiiForums Tanzania Binadamu hana jipya hapa duniani zaidi ya kuwa ni mfugo unaosubiri kuliwa tu

    Binadamu hana jipya lolote hapa duniani zaidi ya kuwa ni mazao au mifugo inayofugwa na kile kinachoitwa Mungu ili apata chakula kitakacho muhakikishia uwepo wake. Kama unavyoona unafuga ng'ombe,mbuzi,kondoo,kuku,bata n.k ili tu mwisho wa siku upate kitoweo. Pia kama unavyohangaika kulima mazao...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Mageti ya Hospitali yana ulazima gani kulindwa na makampuni ya ulinzi?

    Nimepita katika hospitali kadhaa katika pilika zangu za utafutaji rizki. Nimeona katika mageti mengi ya hospitali za wilaya, mikoa, hasa zile za rufaa za mikoa, vituo vya afya pia, kunakuwa na maaskari ama wawili ama mmoja magetini ambaye yeye kazi yake ni kuuliza unayo barakoa? Wengi wao...
  6. OLS

    JamiiForums Tanzania Serikali: Hatujasaini EPA, Msimamo wetu uko palepale

    Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara imekanusha suala linaloendelea mtandaoni kuwa serikali imepitisha Economic Partnership Agreement(EPA) ambayo imetajwa na wasomi wengi kuwa itasababisha Tanzania kupoteza mapato yanayotokana na Importations kwa takribani 71% in the long run Wizara imesema...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Makonda anaufedhehesha muhimili wa Mahakama; Hana madaraka lakini Mahakama inamtii

    Mahakama ya Tanzania Sijui imekosa nguvu Kwa sababu ya chama au Kwa sababu ya serikali au Jaji mkuu ameshindwa kuwapa Imani waliopo chini yake? Raia anaitwa na Mahakama yupo Kigamboni au Masaki anagoma kufikia mahakani Wala kutuma mwakilishi na uongozi wa Mahakama upo kimya. Hakimu anadai...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha leo, ameshinda na hana mpinzani lakini stage aliyosimamia inapasuka

  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna 'Kiongozi' Mmoja 'anahangaika' sana 'Kujiokoa' na hana 'Amani' hivyo nampa tu huu 'Ushauri' na akitaka asalimike kwa 'Maovu' yake atii niyasemayo

    1. Akiri mbele ya Watanzania kuwa Yeye ni Mpumbavu ( Popoma ) na hana Mpinzani Tanzania, Afrika na Duniani. 2. Akiri kuwa kwa muda wake mfupi tu Madarakani ameua Watu wasio na Hatia kama alivyowahi Kuua aliyekuwa Rais wa Liberia Charles Taylor. 3. Akiri kuwa Yeye ni Mnafiki na siyo Mcha Mungu...
  10. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hana interest na kilimo, wakulima tujifungeni mkanda

    Duniani kote utawala wowote unawekeza nguvu kubwa kwenye kilimo na hata wananchi karibia 78% ni wakulima wanategemea kilimo tu kuendesha maisha yao. Rais wetu nimefuatilia hotuba zake zote kilimo kwake yeye sio kipaumbele kabisa. Anazungumzia ujenzi wa miundombinu kama madaraja, reli ununuzi...
  11. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe anatafuta umaarufu kupitia jina la hayati Magufuli. Watanzania walishampuuza kwa sababu hana msimamo

    Anajua akimchafua Magufuli labda atapata kiki maana sasa wapinzani na wanaCcm kwa ujumla walishamchukia na kumuona ni tapeli la kisiasa lenye kujali matumbo yake. Amejaribu kuonyesha na kuchambua juu ya namna Kabanga nikel ilivyouzea kwa hasara lakini amepuuzwa na wananchi. Zile zama zake za...
  12. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Msimvimbisheni kichwa Mwingira, hana uwezo wa kupambana na Serikali

    Huwezi kushindana na dola yeyote Duniani na ukabaki salama. Mwingira kwa mfano naona watu wameanza kumjaza kichwa eti aendelee kuinanga mamlaka kupitia jukwaa lake la dini jambo ambalo hana uwezo kwalo. Watu kama kina Mwingira huishia kuropoka na mara waonapo mambo yanakuwa magumu kwao huamua...
  13. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hana nongwa na mtu ,ni rais mwenye karama ya uongozi,

    Ndugu zangu rais huyu ukimtazama vizuri kuanzia speech zake na action anazozichukua utagundua kuwa Hana nongwa na mtu, Ila Kuna watu wananongwa na rais.alianza vizuri Sana na hajabadilika ni Yule Yule na Nia yake ni ileile.ya kuwaunganisha watanzania.kutibu majeraha yaliyotokana na mbinyo wa...
  14. Mystery

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia ilikuwa haina "option" nyingine zaidi ya kumwachia Mwenyekiti Mbowe kutoka mahabusu

    Kwa kila mtu anayeifuatilia Kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti Mbowe na wenzake 3 huko kwenye Mahakama Kuu, atagundua kuwa hii Kesi ni ya kubambika, kwa maana ya kuwa Majaji wake wanaopangwa ni wa michongo, mawakili wake walioko upande wa Jamhuri, walio upande wa mashitaka nao ni wa...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama Chairman Mbowe hana kosa mbona Mnyika alimtuma Zitto kwenda kumuombea msamaha?

  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunamsifu Bernard Morrison, ila kwa 75% hana Msaada kwa Simba SC na ni Mzigo, lakini kwa 25% ndiyo huwa anatusaidia

    1. Hakabi akipoteza 2. Anajiona Messi tayari 3. Ana Dharau zilizopitiliza za Mpira 4. Mchoyo (Mbinafsi) 5. Anaharibu Mashambulizi ya Tija 6. Amejipa Mamlaka asiyoyaweza 7. Utoto na Upuuzi vimeshamzoea Klabu iache Kumdekeza na Benchi la la Ufundi limwambie Klabu ( Simba SC ) Kwanza na...
  17. O

    JamiiForums Tanzania Utamfanyaje mwanamke anayekuambia ana mimba wakati hana?

    Wadau maoni muhimu, imagine umekuwa ukiamini unahudumia mimba yako. Kila siku unatoa pesa ya matumizi hadi bajeti za vifaa vya kujifungulia, halafu mwisho wa siku unakuja kuambiwa mimba haikuwepo
  18. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Polepole anakosa sifa hii muhimu ndio maana hakuna anayemzingatia

    POLEPOLE ANAKOSA SIFA HII MUHIMU NDIO MAANA HAZINGATIWI NA WATU Kwa Mkono wa Robert Heriel Kwenye suala la uongozi na utawala ukitaka usizingatiwe Sana yaani upoteze mvuto licha ya watu kukusikiliza, basi kosa sifa nitakayoieleza hivi leo. Ni sifa moja kubwa Sana ambayo hiyo ndio humpa mtu...
  20. kavulata

    JamiiForums Tanzania Cloutus Chama hana thamani hii

    Kuna mbinu zinatumiwa na mawakala wa wachezaji kupandisha thamani ya wachezaji wao. Ni kuzichagiza timu kubwa na pinzani kwa mchezaji wao. Mfano Chama anaongezewa thamani ambayo hana kwa kumhusisha na Yanga na Simba. Binafsi, Chama ni mchezaji mzuri lakini ni WA kiwango Cha Tanzania na Afrika...
Back
Top Bottom