Kila mtu anaweza kuwa na neno ukimuliza kuhusu upendo. Toka muda watu wamesha tafafuta maana nyingi za neno upendo lakini bado hakuna anayeweza kuongelea upendo kwa maneno na akaumaliza kama jinsi ulivyo. Kila mtu ataongelea matokeo yake kwa jinsi alivyo ishi na uzoefu wake katika mazingira...
Jinsi ya kujitambua kuwa wewe ni paratrooper msimu huu wa sikukuu za Christmas na mwaka mpya
1. Ni pale vikao vya familia vitakapoanza bila kujali uwepo wako na vikaweza kuendelea hata ukisusa.
2. Ni pale utakuwa mtu pekee atakayehitajika wakitaka kuchinja mbuzi au kufanya shughuli yoyote...
Ukisoma na kutafakari kwa umakini kuhusu Yesu unagundua kwamba alikuwa ni wale watu ambao jamii inawachukulia kwamba wamepinda yani outcast.
Hata wale wanafunzi wake aliokuwa akiongozana nao jamii inaonekaan ilikuwa inawachukulia kama watu wasiokuwa na maadili waliopotoka yani waliopinda.
Ndio...
Tunakumbushwa madarasani pia hata mitandaoni kuwa demokrasia ilianza katika mji ATHENS - Ugiriki ambapo watu wachache wenye busara zao walifanya maamuzi juu ya mustakabali ya mji wao ndiyo maana wengi tunaelezea demokrasia kama ni watu (wachache) wanaongoza walio wengi ila tumewaondoa wanawake...
Badala ya Wanasiasa wa Tanzania kubinafsisha vitu vya hovyo kama hivi, wanabinafsisha Bandari.
Hebu angalia foleni ya wanunuzi wa Mafuta Kyela kama ilivyofumwa na Team ya Chadema inayoratibu Oparesheni 255 Okoa Bandari zetu, inayounguruma Kanda ya Nyasa.
Wachina wana wazo moja kwamba ukitaka kuendelea na kukuza uchumi wa nchi basi lazima kuwe na miundo mbinu mizuri na imara. Wazo hili ndilo lililopelekea China kuziacha nyuma nchi nyingi ambazo hapo awali zilikuwa zinaonekana ziko sambamba na nchi hii katika umasikini. Kupitia ujenzi na...
Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi.
Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na...
Huku viongozi wa Nchi wakiendelea kusafiri na Mamia ya Wapambe kwa gharama za kutisha, huko Kwao Nachingwea hali ndio kama mnavyoiona.
Tunashauri kwamba badala ya viongozi kusafiri na Umati wa Chawa wao , ni vema chawa hao wakapunguzwa ili hela itakayookolewa irekebishe umasikini huu.
Kodi ya mapato au kwa kizungu income tax ni kodi unayolipa katika Faida ya biashara yako.
Je Faida ni ipi kwenye biashara yako?
Faida ni yale mapato ambayo unapata baada ya kutoa gharama zote za uendeshaji.
Makadirilio ya kodi ya mapato ni nini?
Makadilio ni makisio ya kodi kabla ya Kuanza...
Nawasalimu kwa jina la Dp
Ipo hivi hawa wavulana wanaolia lia mbele za wanawake wanatuzalilisha sana, Mwanaume hutakiw kuwa dhaifu mbele ya kiumbe cha kike hata awe na uzuri wa aina gani
Hutakiwi kumuhofia hata kidogo hakikisha tu upo smart mwilini na akili mfukoni pia ila sio muhimu...
Battle hili hapa la walio kuwa kundi moja na baadae kuvunjika na kuunda Tmk wanaume family na Tmk wanaume halisi.
Makundi yote haya mawili yali bahatika kutoa mikwaju mikali way back naweka battle kati ya mikwaju yao maarufu miwili.
Tatu bila ya Tmk wanaume halisi
VS
Dar mpaka...
Dah nmeona video ikimuonyesha Rich Mavoko namna alivyoishiwa mpaka anapiga show za kimaskini
Kuna wanaosema atakuwa anapata pesa Sababu alipofanya show sjui ni mgodini
Lakini Kama kuna pesa wasanii wenzake siwangeenda Pia
Dah inauma sana ,bora wajitokeze watu wamsaidie
TABLE TURNS...
Hello nawasalimu kwa bashasha za ubaharia.
Kama rejea ya kichwa Cha habari ilivyo karibu tuseme machache kuhusu mazuri na maswahibu ya mzamo katika wilaya maarufu sana kwenye UGA wa mahaba wilaya pendwa ya Uvinza.
Binafsi Mimi nyakati za mazingira masafi huwa nainjoy matembezi ya eneo lote la...
Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Abdulrahman Kinana wamemwandikia Barua Saed Kubenea na Gazeti lake la Mwana Halisi wakimtaka kutimiza madai yao mawili ambayo ni 1. Kufuta Kashfa Dhidi yao na Kuomba Radhi 2. Kuahidi Kuacha Kuwakashifu kutokana na...
Picha ya antena za Vodacom, Tigo, Airtel na TTCL zikiwa zimesimikwa kwenye mnara wa Helios baada ya makampuni haya kusaini mkataba wa upangishaji na Helios
I. Utangulizi
Makubaliano ya Kiserikali kati ya Tanzania na Dubai kuhusu uwekezaji kwenye bandari za Tanzania yanaongozwa na Sheria za...
ZOMBIE NA VAMPIRE NI JAMBO HALISI, SIO MAIGIZO KAMA WENGI MUONAVYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Bila Shaka wengi wetu tumewahi kuziona filamu za Mazombi na Vampire, na ambao hamajwahi kuziona basi mnaweza kuzitafuta Baada ya kusoma andiko hili.
Kuna watu huniuliza na kuniona Mbona Huyu...
MABADILIKO KULETA UTAWALA BORA
Mabadiliko, ni hali ya kutoka hatua moja ya chini kwenda juu kuna aina nyingi za mabadiliko ila kuu ni mosi binafsi yaani mtu mmoja mmoja na pili mabadiliko kitaifa nchi kwa ujumla kutokana na hali ya kawaida kwenda kwenye hatua bora, mabadiliko mazuri ni ya...
Rais Mstaafu Joseph Kabila inasemekana hakuwa mtoto halisi(Biological Son) wa Rais Mstaafu Joseph Desire Kabila. Inasemekana jina halisi la Joseph Kabila ni Hypolite Kanambe Kazemberembe akiwa na asili ya Kitusi kutoka nchi ya Rwanda.
Pamoja na machapisho mengi kumtambua Joseph Kabila kama...
MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajiri ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa.
BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho
BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako.
RAFIKI YAKO: Kaka ,fedha yangu lini unanipa? Ni mwisho wa mwezi Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.