Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki tuijue

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,705
36,154
Kuna hii Tanzania ambayo utaikuta kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu.
Na kuna Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki ifundishwe mashuleni.
Tafakari haya matukio machache huenda utaiona hiyo Tanzania halisi.
1. Mama mmoja alifungwa miaka 22 kwa kosa la kukutwa na kg 1 ya nyama ya swala.
1703685585697.jpg

2.Kesi ya aliyekuwa mbunge wa CCM imefutwa na DPP haraka ndani ya miezi 3 tu.
1703685601140.jpg

3. Kigogo mmoja aliyekutwa na risasi zimejaa kwenye sanduku, bunduki za uwindaji haramu zisizo na hesabu pamoja na meno ya tembo pasipo halali aliachiwa huru kwa kuambiwa atoe pesa ambayo iko chini ya uweza wake
1696045860930.png
 
Kuna hii Tanzania ambayo utaikuta kuanzia darasa la kwanza mpaka chuo kikuu.
Na kuna Tanzania halisi ambayo viongozi hawataki ifundishwe mashuleni.
Tafakari haya matukio machache huenda utaiona hiyo Tanzania halisi.
1. Mama mmoja alifungwa miaka 22 kwa kosa la kukutwa na kg 1 ya nyama ya swala.
View attachment 2855233
2.Kesi ya aliyekuwa mbunge wa CCM imefutwa na DPP haraka ndani ya miezi 3 tu.
View attachment 2855234
3. Kigogo mmoja aliyekutwa na risasi zimejaa kwenye sanduku, bunduki za uwindaji haramu zisizo na hesabu pamoja na meno ya tembo pasipo halali aliachiwa huru kwa kuambiwa atoe pesa ambayo iko chini ya uweza wake
Unapoishi ktk nchi zetu hizi za ki-Afrika kama Tz, muda wote unatakiwa uwe "Akili kumkichwa."

Ndio maana wenzetu waliopo nje ya Afrika kwenye nchi zenye watu na tawala zilizostaarabika wanasema kwamba " Even Africa is not safe for Africans."
 
Naishi hapa mkuu 👏
Sehemu kubwa ya Afrika sio sehemu salama.
Afrika ni nusu jehanamu
Afrika dakika yoyote kifo kinakuhusu.
 
Ukishakuwa ccm halafu una cheo level ya wilaya mpaka Taifa basi upo juu ya Sheria.

Sema Afrika maskini ndio tabaka la watu wasio jitambua.
 
Back
Top Bottom