halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha hizi za milima moja imetumia Akili Mnemba na Nyingine ni picha halisi

    PICHA A PICHA B
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Mwanaume halisi sharti asulubike: Mwanaume hujifunza na kuimarika kupitia magumu ila Wanawake ni kinyume chake

    Mwanaume halisi hatakiwi kuonewa huruma wala kujionea huruma Kwa sababu Mwanaume makini na mzuri ni yule aliyepitia magumu " the best men suffer". Haipo haja ya kumwambia mwanaume maneno laini kama una nia thabiti ya kumsaidia kuwa bora. Ikumbukwe Mwanaume hujifunza zaidi kupitia ugumu na...
  3. Girland

    JamiiForums Tanzania Vita ya madaraka Makanisani ilivyoanzisha Kanisa halisi kutoka Siloam!

    UMEWAHI kusikia kanisa liitwalo KANISA HALISI LA MUNGU BABA? Wanavaa nguo nyeupe kanisa zima, ibada zao nyingi zinarushwa STAR TV?Hawataji jina MUNGU wala YESU wao wanaita CHANZO HALISI 😁Hapa nakuletea historia fupi ya kiongozi huyo maarufu kwa jina la ELISHA ELIYA MIAKA 1000 (anaandika michuzi...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kama uko serious kuja kinachoendelea Tanzania njoo JF utapata ukweli halisi, wasaidizi wako hawatakwambia ukweli

    Wasaidizi wako ni machawa, watakwambia lile ambalo wanaona utalipenda kulisikia na kulinda interest zao! . Ukweli uko hpa JF! Kuna siku ulisema huwa unapitia hapa, tenga muda kidogo upitie au ikikupendeza fungua akaunti ambayo haitaruhusu reply kutoka kwa contributors
  5. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbona CHADEMA hawajipangi ngazi za chini (grass root) kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa?

    Waziri mwenye dhamana ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa ametangaza kuwa uchaguzi wa Serikali za Mitaa utafanyika Novemba, 2024. Jinsi muda unavyoyoyoma kuelekea uchaguzi huo ninaona kabisa CHADEMA hawajijipanga kabisa kwa Uchaguzi huu. Wenzenu CCM wanapita nyumba kwa nyumba wakiomba kura...
  6. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Maana halisi ya wafanyakazi kwa bidii

    Hii jamii ya hawa watu ni wanafanya kazi kwa bidii kubwa unaweza jiuliza miili yao haina hali ya kuchoka. Ni nini shinikizo lililo nyuma yao katika ufanyaji kazi kwa bidii ya hali ya juu. Si ajabu kuona maendeleo ya kasi isiyoelezeka ya nchi yao hasa katika miundombinu. Wachina ni wafanya...
  7. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya 'Ubaya Ubwela'

    Timu haijashinda Ubingwa wa ligi kuu Misimu mitatu mfululizo lakini Mashabiki hawajawahi ingia bure Uwanjani, bado siku tatu kuelekea Simba day lakini Uwanja ushatapika 1. Simba haikuchukuwa tuzo ya Mashabiki bora kwa upendeleo 2. Makofi kwa Mashabiki wa Simba na Semaji wao
  8. BENEDICT BONIFACE

    JamiiForums Tanzania Tofauti za umri katika mahusiano ya kimapenzi: Nadharia na uzoefu wa maisha halisi

    Katika dunia ya mahusiano ya kimapenzi, tofauti za umri kati ya wenzi ni jambo ambalo linaweza kuleta changamoto na fursa za kipekee. Utafiti wa kina umeonyesha kuwa tofauti hizi zinaweza kuathiri mienendo, malengo, na matarajio ya wahusiano. Nadharia mbalimbali, kama vile Nadharia ya Mwitikio...
  9. akili akili

    JamiiForums Tanzania KWELI Picha ya Lionel Messi na Yamal akiwa mtoto

    Kuna picha inasambaa ikimuonesha Messi akiwa anamuogesha Yamal wakati Yamal akiwa mtoto. Naomba kufahamu ukweli wa ile picha na ilikuwaje Messi akakatuna na Wazazi wa Yamal enzi hizo.
  10. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania KAMA UNATAKA KUJUA MAANA HALISI YA UZALENDO NA NCHI YAKO ANGALIA KWA WAKENYA

    Kiukweli ndani ya Africa mashariki na Kati hakuna nchi yenye wananchi wenye UZALENDO NA uchungu na nchi Yao kama wakenya. Hawa jamaa wamekunywa maji ya bendera sio poa, nchi nyingine MASKINI na zisizo na UZALENDO NA DEMOCRACY ya kweli zinanatakiwa ziangalie WAKENYA. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 🔥🔥🔥
  11. Alphani R Joseph

    JamiiForums Tanzania SoC04 The mindset of the leader, the vision of Mama Samia

    Nimetumia jina MAMA SAMIA, Sina maana kubwa ya kumtumia kwenye maudhui yangu lahasha , Lakini kama kiwakilishi kuonesha kiongozi wa juu kabisa katika ngazi ya uongozi, Sawasawa na ningetumia jina Joe Baiden Rais wa Marekani, Xi Jinping Rais wa China, Vladimir Putin Rais wa Urusi sawa sawa na...
  12. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Kariakoo: Siri ya Maduka Kufungwa na Hali Halisi Inayowakabili Wafanyabishara

    Leo, wafanyabiashara wa Kariakoo wamesitisha shughuli zao kwa pamoja kwa kugomea kodi na ukaguzi mkali, hatua ambayo imesababisha maduka kufungwa na kuathiri biashara kwa kiasi kikubwa. Mgomo huu unakuja baada ya malalamiko ya muda mrefu kutoka kwa wafanyabiashara kuhusu ongezeko la kodi na...
  13. The Dictator

    JamiiForums Tanzania TAFAKURI: Maana halisi sita (6) za muda. Je, wewe unaelewa nini kuhusu Muda?

    1) Muda u taratibu unaposubiri jambo. 2) Muda u haraka unapokuwa umechelewa kitu/jambo. 3) Muda u hatari sana unapokuwa katika hali ya huzuni. 4) Muda u mfupi mno unapokuwa katika wakati mzuri au furaha. 5) Muda u endelevu unapokuwa katika maumivu. 6) Muda u mrefu unapokuwa huna cha kufanya ama...
  14. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Hii ndio maana halisi ya biashara ya nyoka inalipa

    Mzigo ndio hivyo kama unavyoonekana kilimo cha nyoka kinalipa.
  15. Nelly shayo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha mapato katika hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (haswa kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  16. Nelly shayo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Miundombinu wezeshi ni chanzo halisi cha ukusanyaji na upatikanaji wa kodi hifadhi ya mlima Kilimanjaro (kwa serikali)

    Hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro Tanzania ni moja ya hifadhi kubwa na ya umuhimu zaidi katika nchi ya Tanzania na Afrika kwa ujumla. Hifadhi hii ipo mkoani Kilimanjaro ikizungukwa na wilaya zake zaidi ya tano ambazo ndio inakopita hifadhi hiyo ikiwa na njia zake za kupandia. Wilaya hizo ni...
  17. Mkurya mweupe

    JamiiForums Tanzania Matukio yaliyowahi kutokea katika Maisha halisi ukaamini uwepo wa Mungu

    Ndugu Wana JF, Nataka tushirikishane kuhusu matukio ambayo yaliwahi kutokea yakafanya niamini uwepo wa Mwenyezi Mungu. Mimi binafsi, kama muumini wa dini ya RC, kuna kipindi mdogo wangu aliwahi kusumbuliwa sana na ushirikina. Kwa kuwa imani yangu ilikuwa 50 kwa 50, nilikuwa nampeleka mpaka kwa...
  18. Tyrex

    JamiiForums Tanzania Tabia halisi za Mtanzania

    Tuorodheshe tabia za waTanzania halisi 1 Anakukopa hela kiupole ila ukidai automatically unakua mtu mbaya kwake asiyefaa 2 Kabla hajajua cheo chako au wadhifa wako anakutreat kama takataka ila akisikia wew mtu flan ghafla treatment inabadilika 3 Mkiwa mnamiadi maybe kuonana au mnaonana saa...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Wasabato fahamuni kuwa Yesu ndiyo hekalu halisi lililopo mbinguni haiwezekani akaingia kwenye hekalu lake mwenyewe

    Wasabato fahamuni kuwa Yesu ndiyo hekalu halisi lililopo mbinguni haiwezekani akaingia kwenye hekalu lake mwenyewe Wadau hamjamboni nyote? Mada yangu ni habari ya hekalu la mbinguni na tafsiri yake kama inavyofundishwa na Wasabato Nabii mke wa Kanisa la Wasabato Duniani alidai Yesu Kristo...
  20. Madamboss

    JamiiForums Tanzania SoC04 Wahitimu wa kidato cha sita wanapojiunga JKT watengewe muda wa kuishi kwenye jamii halisi za Kitanzania

    Jeshi la kujenga taifa (JKT) ni moja ya chombo kilichoundwa tarehe 10 Jul, 1963 baada ya nchi yetu kupata uhuru. Lengo kuu ni kuelimisha, kudumisha uzalendo, maadili na nidhamu ya vijana na kuwafanya wawe raia wanaopenda kutumikia na kuiilinda nchi yao. Mara baada ya kumaliza kidato cha sita...
Back
Top Bottom