halisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BigTall

    Kama Wabunge wanajadili mkataba wa Bandari ambao si halisi, tuambieni mkataba halisi uko wapi?

    NDUGU WATANZANIA, Kama huu sio mkataba wenyewe, watwambie mkataba wenyewe uko wapi. Na kwanini bunge linaacha kujadili mkataba wenyewe linajadili mkataba ambao sio. Viongozi, Bunge, Wapiga debe wao, na madalali wa rasilimali zetu wanasema huu mkataba uliosambaa na uliojadiliwa sio wenyewe...
  2. GoldDhahabu

    Watu walionufaishwa na Usomaji wa Vitabu

    Msomaji wa Vitabu anafahamu jinsi Vitabu vilivyo na umuhimu mkubwa sana katika maisha ya kila siku. Vilikuwa muhimu tokea zamani, lakini katika zama hizi, umuhimu umeongezeka mara nyingi sana. Pamoja na umuhimu huo, kungali kuna idadi kubwa ya Waafrika, Watanzania wakiwemo, ambao hawaupi vitabu...
  3. O

    Eddo Kumwembe: Fei Toto alivyotua CAS kwa kasi isiyohitajika

    INACHOSHA lakini ndio hali halisi. Tunalazimika kumzungumzia Fei Toto, ingawa jana kulikuwa na mechi kubwa zaidi katika historia ya Tanzania iliyotazamiwa kucheza. Siwezi kumlaumu Fei. Haikuanzia kwake. Imeendel Soka la Tanzania lazima liwe na habari tofauti inayomhusu mtu mmoja ambayo...
  4. Brain Kingdom

    Maisha halisi nguzo yake ni ukweli lakini je, kwanini watu hugeuza maisha kuwa ni maigizo?

    Habari JF, Niwashirikishe kwenye chagizo la fikra na fikirishi kiasi, palipo na ladha, raha na utamu unayoweza kuihisi, kuionja, kuitamani, kuusikiia, kuisikilizia, kuipenda au kivyovyote vile nyuma ya pazia kuna uchafu na madudu ambayo hatimae tunapata vitu kama ladha, raha na utamu. Hivyo...
  5. Said Stuard Shily

    Hayati Magufuli pamoja na kuwa hatunae, Malawi wameandika kitabu kuenzi kazi zake

    Professor Malango Chinthenga. Ameandika kitabu kinachojulikana AFRICA MAGUFULI and CHANGE sasa wale Haters/ant- Magufuli mnalo, Legacy ya Magufuli sio Tanzania tu bali Africa nzima na Dunia kwa ujumla huyu mwamba wanamtambuq kwamba Tanzania ilipata Rais Mzalendo na mwana wa Africa aliyependa...
  6. Uhakika Bro

    Je, kutumia jina bandia ni chanzo cha maudhui yasiyo na tija mtandaoni?

    Wazungu wanao huu msemo, "How you do one thing is how you do everything." Na sisi makazini na majumbani tunauishi huo msemo. Ukichelewa intavyuu, mabosi wanahisi hata kazini utachelewa tu, na kazi zako zitachelewa pia. Ukidanganya sana kazini, hata kwenye mahusiano utachepuka sana. Turudi...
  7. Chizi Maarifa

    Kasuku kanionesha tabia halisi ya huyu Jamaa. Kumbe mnafiki sana

    Kuna kipindi nlitaka kufuga Kasuku Mimi nawapenda. But demu wangu wa kipindi hicho alinikataza kabisa. Akisema hawa ndege wana imani imani flani pia. Tulikuwa tukibishana sana. Na anadai wangesababisha hata mimi na yeye tusioane. Hivyo hakutaka kabisa kusikia hizo habari. Kwa kipindi hicho...
  8. Zingzingzing

    Kwa hali halisi ilivyo, Simba anaenda kumpita Yanga kwenye ubingwa NBC

    Yanga anaenda kudraw na Singida, Simba anashinda na Namungo zinabaki point 3, then Yanga anashinda na Dodoma anakuja kudraw na Mbeya city. Simba anashinda na Ruvu shooting, Yanga anadraw tena na Prison, Simba huyo kileleni, mark my words nimekaa pale.
  9. Equation x

    Uchache wa wanaume halisi, unasababisha wadada kugombania mahusiano.

    Siku moja niliamua kuingia mtaani kushangaa shangaa uumbaji wa Mungu katika hii dunia. Baada ya kuchoka kuzurura, nikaamua niingie kiwanja fulani kilichotulia ili niweze kutafakari yote niliyoweza kuyaona katika hii dunia. Katika kuangaza angaza macho, ndipo nilipoweza kumuona mrembo mmoja...
  10. AbuuMaryam

    Serikali mnahalalisha uongo kupunguza watoto wa mitaani huku mkiwanyima haki ya kuwajua baba zao halisi

    Mnabariki uongo na dhulma kwa kumbambikizia mtu mtoto asiye wake kisa tu huyo mtu ana pesa. Sasa nyie serikali na huyo kahaba aliyebambikiza mtakuwa mna tofauti gani? Eti kulinda maslahi ya mtoto mamlaka ya serikali inadanganya matokeo ya DNA na kumbambikiza mtoto kwa asiye baba yake kweli...
  11. Bushmamy

    DOKEZO Arusha: Hali halisi ya masoko yetu msimu wa mvua

    Hapa ni soko kubwa la Kilombero lililopo jijini Arusha. Miaka nenda rudi wafanyabiashara sokoni hapa hulipia ushuru kila siku, lakini ushuru huo hauwasaidii wafanyabiashara hao kwa kuwekewa miundombinu sahihi ya Soko wala mfumo mzuri wa Maji safi na taka. Bali Mfanyabiashara ambae ni...
  12. Rakims

    Wewe ni Mvulana au mwanaume? | Maana halisi ya Umri ni namba

    Wewe ni Mvulana au Mwanaume.? Kuna ukweli mchungu inapokuja kwenye kubadirika kutoka Mvulana kwenda Mwanaume na umri hauhusiani na hilo. Ni ngumu katika kubadirika kutoka Mvulana na kuwa Mwanaume. Lakini pia jamii ya sasa inafanya hili kuwa ni ngumu zaidi. Jamii ya sasa inajaribu...
  13. TODAYS

    Tulipofika: Hawa Siyo Binadamu Halisi, ni Future of AI and Nonprofit Growth in Web 3

    Kuna mjadara unaendelea space kutoka kwa wataalam wa teknolojia bunifu ya akili bandia, nimejiunga kupata kitu na nimelegea kiakili zaidi baada ya kuona mambo yanayokuja. Kwa mfano katika muundo unaokimbia sasa hivi ni Artificial Intelligence (AI) inaweza kufanya kitu unachowaza au kubuni kitu...
  14. Ndondocha mkuu

    Hali halisi ya maisha huku mtaani

    Habari ya jion wana JF, Ni miezi kadhaa tangu niandike uzi wangu mara ya mwisho ndani ya jf, ni katika harakati za kuendelea kupambana na maisha ya mtaani hasa kwa sisi graduates. Nikiwa nimekaa mahali napo patia ridhiki juzi nilipitiwa na dogo ambaye nilimuacha akiwa first year pale SUA akiwa...
  15. Infinite_Kiumeni

    Kwanza Ijue Maana Halisi Ya Kutongoza, Ili Usipate Shida Kujiuliza Unamtongozaje Mwanamke

    Kutongoza sio kusifia tu au kujionesha kiasi gani unaweza kumtunza mwanamke. Wengi huanza kuonesha kumjali mwanamke kwa pesa. Ubaya wake ni kwamba unamfundisha mwanamke ajali pesa yako tu. Na wanawake wengi skuizi wamezoeshwa hivi. Wanawafundusha wanawake uchunaji. Wengine wanakesha mtandaoni...
  16. GENTAMYCINE

    Ni dalili gani za haraka za Kumjua anayeendesha Gari ni Dereva tu (si lake) na Mmiliki halisi wa Gari?

    Kuna Mtu nimepishana nae akiwa katika Harrier matata sana huku akiwa na Mikogo yote (kama ya Watani zangu Wakubwa Wahaya) cha Kushangaza baada ya Nusu Saa nimekutana nae Ubungo anapakia Magunia ya Pumba za Kuku huku akiwa Kavua Shati kutokana na Joto Kali la Dar es Salaam sasa (ambalo TMA...
  17. Pac the Don

    Je, kwa mtazamo huu kuna uzalendo halisi Tanzania?

    Wakuu habarini za Jpili, Tutafakari sote kwa maslahi ya Taifa letu. Upinzani kama upinzani ingawa haujawa on right way ya kushika hatamu but umesaidia sana kuibua kashfa nyingi sana nchini za kifisadi, uhujumu uchumi, ubadhirifu na utendaji mmbovu. Sasa nna swali. Huo upinzani pamoja na...
  18. Dr Matola PhD

    Rais Samia, kuna matapeli wanakudanganya na kukuficha juu ya ukweli halisi wa shida za Watanzania Afrika Kusini

    Mama najuwa unaingia JF, wewe ni muungwana sana kwenye ziara yako South Africa umewaita viongozi wa TACOP kupitia balozi Milanzi kwa niaba ya Watanzania wote wanaoishi Afrika Kusini. Lakini cha kusikitisha viongozi hawa waliowakilisha badala ya kuja kuwakilisha wamegeuka machawa hata suti zao...
  19. Morning_star

    17 Marhkila mwaka ni siku muhimu kwa Watanzania kukumbuka kifo cha Hayati Magufuli

    Pamoja na kwamba taifa letu limewahi kuwa na viongozi katika ngazi ya Urais ambao wameishatangulia mbele ya haki! Kikatiba kumbukizi linalopelekea siku ya mapumziko ni kwa waasisi wa taifa letu (Nyerere & Karume). Hata hivyo siku ya tarehe 17 March kila mwaka, ni siku ya majonzi kwa watanzania...
  20. Lycaon pictus

    Wabantu wengi si wabantu halisi, ni mbilikimo

    Wabantu walisambaa kutoka maeneo ya Cameroon na kuelekea kusini yote ya Africa kama miaka 3,000 iliyopita, yaani miaka 1000 kabla ya kuzaliwa Yesu. Lakini kabla ya wabantu kuja huku kusini, wakazi wa asili wa huku walikuwa nani? Huku kulikaliwa na mbilikimo, wabushmen(San) kama wakhosa wa South...
Back
Top Bottom