haki

  1. beth

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 2020, Wanaume watakiwa kutonyanyasa Wanawake na kuwanyima haki zao

    Wanaume nchini wametakiwa kutowanyanyasa wanawake kwa kuwadhulumu haki zao, kuheshimu nafasi zao na zaidi kuepuka kuomba rushwa ya namna yoyote pindi wanapohitaji msaada. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe Patrobas Katambi kuelekea kilele cha siku ya Wanawake duniani Machi 8 mwaka...
  2. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Mike Pompeo ni mnafiki na wala si mtetezi wa haki za binadamu

    Huyu Mike hapo jana amesikika akiituhumu mahakama ya kimataifa ya makosa ya jinai (ICC ) ni chombo dhaifu na kisichofaa. Hii yote ni sababu askari wa marekani wanatuhumiwa kufanya ukatiri na ukiukwaji wa haki za binadamu huko Afghanistan na sehemu mbalimbali( Hivyo wanatakiwa wafikishwe Hague)...
  3. Duniahadaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mechi kati ya watani wa jadi, kocha wa timu hasimu anaposisitiza kuwa refa atatenda haki. Je, huwa wanakaa naye kupanga mchezo uweje?

    Mechi hiyo inatazamiwa kuchezwa Oktoba mwaka huu. Ajabu ni kwamba kocha wa mojawapo ya timu mbili hasimu amejitokeza na kuwaambia watazamaji kuwa mchezo utakuwa wa haki tena haki tupu. Maswali yafuatayo yanajitokeza: Amejuaje wakati yeye si referee? Je, huyu kocha ni mpiga ramli? Je, au yeye...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Membe ana haki alikuwa adui yetu jana lakini leo ni rafiki hatuwezi kumkataa akipendezwa kujiunga nasi tutampokea!

    Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema chama chao kina haki ya kumpokea mwanachama kutoka vyama vingine endapo anakidhi vigezo. Mbowe amedai kuwa chama chake kimepata funzo kutokana na kupokea wanasiasa wa vyama vingine hivyo kwa sasa watakuwa makini zaidi. Membe ana haki zote za kujiunga na...
  5. Kajole

    JamiiForums Tanzania Bashiru Ally: Milango kwa wanachama waliofukuzwa kuomba radhi wakasamehewa iko wazi

    CCM wanamuogopa B. Membe? Kwanini kauli hii ya Katibu Mkuu? Nimejiuliza kwanini asingeonywa badala yake wanamfukuza tena wanamtaka ombe radhi na kurudi? "Milango wanachama waliofukuzwa kuomba radhi wakasamemeha iko wazi, mimi tangu nimefika nimeshasaini barua za misamaha ya waliofukuzwa 14...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

    Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania. Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Kabudi: Uchaguzi mkuu utakuwa Huru na Haki kama ilivyokuwa miaka yote Jumuiya ya kimataifa msiwe na wasiwasi

    Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameihakikishia Jumuiya ya kimataifa kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa huru na wa haki hivyo wasiwe na wasiwasi. Prof Kabudi amesema bunge limeboresha sheria ya vyama vya siasa ili kuondoa malalamiko ya mara kwa mara kutoka kwa wanasiasa. Kabudi...
  8. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Je, ni ukiukwaji upi wa Haki za Binadamu unaofanyika Tanzania?

    Ninauliza hili swali ili ndugu zangu kama Watanzania tupate kufahamu hawa jamaa wamarekani ambao huiona nchi yao kama paradiso wametuwekea zuio la kutusua kuingia nchini kwao. Hapa Tanzania kuna ukiukwaji wa haki za binadamu? Na kama upo ni zipi? Kwa mujibu wa Serikali ya US ni kwamba pamekuwa...
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mitindo mbalimbali ya vitenge

    Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi muhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili japo kidogo kwa sasa wadau wameanza kutokelezea na mavazi mengi, huku wakaka na wadada wakipendeza sana na maumbo...
  10. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Wilaya ya Uyui, Jacob Makala: Tenda haki na tatua migogoro ya uongozi mashuleni acha kufunika kombe

    Wanabodi habari za asubuhi, Leo naleta malalamiko ya baadhi ya wakuu wa shule za sekondari wilaya uyui! kumhusu Jakobo Makala huyu kama Afisa elimu wa Uyui! Malalamiko makubwa yanatoka kwa Aliekuwa Mkuu wa shule Loya sekondari Ndugu Joseph Nduba! Huyu ndiye alisimamia ujenzi wa sekondari ya...
  11. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania SANOTEP: Rais Magufuli ni miongoni mwa Marais Wachache Duniani wanaoheshimu na kuzilinda haki za binadamu kwa Vitendo

    Kwa Mjibu wa Shirika linaloangaza utekelezwaji wa haki za binadamu Duniani limemtaja Rais Magufuli kama mtetezi wa vitendo wa haki za binadamu huku likijikita kwenye ushahidi wa vipengele vifuatavyo RUSHWA: Katika Serikali na chama, Magufuli amejipambanua kwa vitendo kuwa havumilii Rushwa ba...
  12. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, wenye vituo wana haki ya kuzuia watu kupaki magari kwenye road reserve?

    Hawa wenye vituo vya kujazia mafuta, Unakuta mtu anafanya paving na gardening hadi kwenye mtaro kabisa wa barabarani ambapo ndio kuna road reserve, hivyo si mali yake. Cha ajabu ukienda kupaki gari kwenye hilo eneo anataka akufukuze, leo kuna mmoja nimemnyoosha kisawasawa, nikamwambia aonyeshe...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

    Wanabodi, Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni, Rais Magufuli, kwanza yuko well informed kwa upande wa data za utendaji wa wateule wake wote! kichwani yuko fiti sana katika utunzaji wa kumbukumbu kutoka kichwani, leo katika kuwaapisha viongozi wapya aliowateua hivi karibuni, alikuwa anatiririka...
  14. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Kuwanyima watu haki ya kuishi

    Habari wana JF, Kila nikijaribu kudadavua kauli ya Marekani zidi ya RC Makonda wana maana gani, jibu sipati. Mara najiuliza au kuuwa watu wasio na hatia ndiyo kuwanyima haki ya kuishi. Kama jibu ndiyo hilo, je wale watu waliokufa na wanaoendelea kufa katika nchi kama Iraq, Libya, Somalia...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Zitto akiongoza harakati za kupigania uchaguzi huru na wa haki huko nchini Marekani

    "Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."
  16. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Tuandamane kumpinga Kiongozi Anayedhurumu haki za watu kuishi

    Marekani ni taifa kubwa duniani lililojikita katika kuamini kulinda haki za raia duniani na dunia inakuwa sehemu salama ya kuishi limeshatoa adhabu na kutuonyesha njia. Wanaopinga waje na data, marekani ametuonyesha njia tuchukue hatua dhidi ya kiongozi aliyetajwa na wote wengine watakao...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Haki sawa kwa wote

    Wana jamvi ili limekaaje mimi ni kondakta wa daladala hapa town nimekaa na kutafakari ivi kwanini watumishi wa jeshi wanapanda daladala bila kulipa nauli mini natumai kila mtumishi wa umma ni muhimu serikali ifike maala wanunue magari ya taasisi zao.. ndani ya gari hapa nina wanajeshi sita...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kituoa cha Sheria na Haki za Binadamu mmetuangusha!!

  19. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya msemaji wa wizara ya mambo ya nje USA: Tanzania ni lazima iheshimu haki za binadamu

    Hiyo hapo inajieleza yenyewe anaitwa Morgan Ortagus, kasema bashite kazuiliwa kuingia USA kwa sababu ya kukandamiza upinzani,haki ya kujieleza (alivyo hovyo bashite akashikia kidedea ka issue cha face swap cha Idris sultan na kusababisha nchi nzima tuchekwe mtandaoni). Mishowe msemaji huyo wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

    Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa. Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto. Maendeleo hayana vyama!
Back
Top Bottom