Mbowe: Membe ana haki alikuwa adui yetu jana lakini leo ni rafiki hatuwezi kumkataa akipendezwa kujiunga nasi tutampokea!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,868
141,804
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema chama chao kina haki ya kumpokea mwanachama kutoka vyama vingine endapo anakidhi vigezo.

Mbowe amedai kuwa chama chake kimepata funzo kutokana na kupokea wanasiasa wa vyama vingine hivyo kwa sasa watakuwa makini zaidi.

Membe ana haki zote za kujiunga na chama akipendacho na endapo atapenda kujiunga nasi hiyo ni haki yake lakini pasiwepo masharti alisema Mbowe

Source Ayo tv

Maendeleo hayana vyama!
 
Amebadili gia angani na kuuza chama kwa Membe tena?

Waliomzomea Hai waliona mbali
IMG_20200305_082705.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Membe abaki ccm apambanie nafasi yake kama mgombea uraisi!!Naona jpm anajiandaa kuachia kiti cha uraisi kwa kumuachia membe!Na kumfukuza Membe ccm ni kumuongezea mtaji wa kisiasa ili akirudishwa ashinde uraisi kwa kishindo!!!
 
Back
Top Bottom