haki

  1. Ahmed Omar_

    JamiiForums Tanzania Wazanzibari wapenda mabadiliko kutoka utawala wa dhulma kuelekea katika uongozi wa haki na heshima, tutoke tupambane, muda ni sasa!

    Leo ni ujumbe mahsusi kwa Wazanzibari wapenda mabadiliko hususan vijana. Napenda nichukue fursa hii kuwaambia kwamba mabadiliko hayaji ghafla na hayaji katika sahanini. Mabadiliko yanapiganiwa, kwa gharama kubwa na mara nyengine kwa muda mrefu. Ukoloni wa Kireno Zanzibar ulidumu kwa takriban...
  2. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Furaha na haki sawa kwa wote

    FURAHA NA HAKI SAWA KWA WOTE Waasisi wa The Civic United Front(CUF-Chama Cha Wananchi) walikutana katika Ukumbi wa Starlight Hotel, Mjini Dar es Salaam tarehe 20-21 Novemba 1992 walitoa Tamko ambalo ni Utangulizi wa Katiba ya Chama Chetu. Katika Tamko hilo walieleza kuwa:- "Sisi Watanzania...
  3. Mlendamboga

    JamiiForums Tanzania TANZIA Simpasa Eliakim, Mwenyekiti wa kamati ya haki za Bunge 2000-2005 afariki dunia

    Aliyekuwa mbunge wa Mbozi Magharibi na baadaye jimbo hilo kubadilishwa na kuitwa Momba Miaka ya 1995-2005 Eliakim Simpasa amefariki majira ya saa 7 mchana leo hii katika hospitali ya Mkoa wa Songwe. Simpasa ambaye aliongoza kamat ya Haki, maadili na Madaraka ya Bunge atakumbukwa namna...
  4. covid 19

    JamiiForums Tanzania Kwenu Sekritarieti ya Ajira - Utumishi: Fanyieni kazi hili wazo maana ajira za serikali sio bahati na sibu au sandakalawe

    lengo la kuanzishwa kwa kitengo hichi ndani ya utumishi ni kuhakikisha nafasi za kazi zinazotolewa na serikali na taasisi zake zinapatiwa wahusika kwa haki sawa maan binafsi nionavyo ajira sio bahati na sibu au sandakalawe ni haki ya kila mtanzani mwenye sifa sitahiki. Kuna system yenu mnaiita...
  5. Wazolee

    JamiiForums Tanzania Salaam za Eid El-Fitr 2020

    Mwezi umeonekana Kashimil India sasa sijajua wale wa mwezi wa kimataifa kesho watakula idi au watawasubiria Saudi jumapili
  6. F

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai unakosea, Mbowe ana haki ya kuelezea mawazo yake na chama chake, anaowakilisha ni watanzania

    Sijui kama Ndugai anaelewa maana ya kuwa Spika? Anachofanya ni mahaba ya waziwazi kwa kwa Serikali ambayo anashindwa kuyaficha. Kila mwananchi anafahamu function ya Bunge na Mahakama kama taasisi huru (hata wale wanaolipwa pesa na polepole lakini watajitoa akili) Ni jambo la kushangaza kuona...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Ujerumani kupunguza idadi ya nchi inazozipa misaada. Kigezo cha Utawala bora na Haki za binadamu kupewa kipaumbele

    Germany plans a shakeup of its foreign aid, limiting its "partner" list to 60 nations and dropping Burundi and Myanmar. Minister Gerd Müller says knock-out criteria will be corruption, rights abuses and poor governance. Germany is planning to heavily restructure its foreign aid agenda...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kumetangazwa hali ya hatari kimya kimya? Huu utoaji taarifa za Corona ni kinyume cha Sheria. Watanzania tuna Haki ya kupata habari za kweli

    Wanabodi, kila nipatapo fursa, huwa nawaletea zile makala zangu za Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo huwa zinachapishwa katika gazeti la Habari Leo, kila siku za Jumatano. Ili kuepuka kuitwa popote na kuhojiwa kuwa nimesema kitu fulani, yaani statements, makala hizi huja kwa mtindo wa maswali...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Ejipii Mungu anakuona kama haya unayofanya ni haki

  10. Superbug

    JamiiForums Tanzania Inapotokea shida ya kitaifa Serikali in haki zake

    Taifa lolote duniani Kati uhai wake lazima lifikwe na majanga au shida fulani hii ya korona ni mojawapo ila katika ngazi ya kidunia. Haki za serikali nchi inapopatwa na shida ni hizi zifuatazo Kama nionavyo Mimi superbug. Kulindwa Kuheshimiwa Kuvumiliwa Kusaidiwa Kuachwa itende kwa Uhuru...
  11. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa umesema janga la Corona limegeuka kuwa mzozo wa haki za binadamu

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema janga la virusi vya corona ni mzozo wa kibinadamu ambao unageuka kwa kasi kuwa mzozo wa haki za binadamu. Katibu Mkuu huyo amesema katika ujumbe alioutoa kwa njia ya vidio leo, kwamba kuna ubaguzi katika utoaji wa huduma za umma...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kila mtu kwa nafasi yake tutendeane haki kuhusiana na janga hili la COVID-19

    Haieleweki hawa watu ambao wamependa kusema serikali iko makini au wapo makini kuudhibiti ugonjwa huu wana maana au nia gani na taifa hili. Watu hawa, hawakuweza kuuzuia ugonjwa kuingia nchini wala hawana mpango wowote thabiti uliowazi wa kuudhibiti ugonjwa huu usisambae. Matokeo yake ugonjwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tamko la Makonda Mkuu wa Mkoa Dar halitendewi haki

    Tunashangaa sana sisi wakazi wa huku Mburahati NHC kuna vijana wanakaa katika makundi huku wakivuta bangi na kucheza kamali pamoja na janga hili kubwa huku wahusika hawashughuliki nalo tunaomba serikali iliangalie hili kumekuwa na wimbi kubwa la vijana wanaovuta bangi na kucheza kamali...
  14. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amedhihirisha kuwa ni kinara wa kutetea Haki za Binadamu kwa vitendo kwa jinsi anavyoshughulikia janga la COVID-19

    Hajapanic ametulia, anaangalia hali halisi ya maisha ya watanzania hajakurupuka anawahurumia watu wake ana hofu ya MUÑGU huyu ndiye John mtoto wa Magufuli Waliopiga kelele kuwa anavunja haki za binadamu wamejifunza kwa vitendo sitegemei kusikia tena Mbwa akibweka kuwa kuna uvunjifu wa haki za...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Askofu Shoo asisitiza NEC kusimamia uchaguzi huru, wa haki na wenye ukweli

    Moshi/Mwanza. Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) limeisihi Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kusimamia mchakato mzima wa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani kwa uaminifu, uhuru na haki. Kanisa hilo limesema haki na kweli ikitamalaki katika taasisi au taifa lolote, umoja...
  16. MAGAMBA MATATU

    JamiiForums Tanzania Tumekazia hukumu ila nataka kujitoa, Nitapata haki?

    Habari za Siku ndugu, Mimi ni miongoni mwa tuliofungua kesi ya kudai kampuni,tuko watu 8,kesi imeishahukumiwa tulipwe na zaid ya miez 6 imepita na hatujalipwa,ila mwanasheria wetu kaandaa KUKAZIA HUKUMU, lakin kwa bahati mbaya kukazia hukumu kukatupiliwa mbali kwa makosa madogo ya kisheria...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Wito: CJ Prof. Ibrahim Juma, make a historia kwa Mahakama kutimiza wajibu wake kulinda haki. Tumia Suo Moto kui-check Serikali pia ruhusu Pro Bono

    Wanabodi Samahani. Naomba kuanza na kuomba msamaha kwa kutumia maneno ambayo sio ya lugha ya Kiswahili wala lugha ya Kiingereza bali ni maneno ya lugha ya Kilatini kwasababu sikijui Kiswahili chake, wala Kiingereza chake, ni maneno ambayo yanafundishwa hivyo hivyo. Imani Kubwa na Jaji Mkuu wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askari mstaafu: Walichofanya Mdee na wenzake pale Segerea ni sawa na Gari kugonga Treni kwenye "Railway cross Road"

    Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road" Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu...
  19. StarTimes Tanzania

    JamiiForums Tanzania Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

    Habari zenu wanaJamiiForums Je, una tatizo lolote unapotumia huduma zetu? Unaushauri wowote ili kuboresha huduma zetu? Tafadhali tunaomba utumie thread hii, ili tukusaidie. Tafadhali tunaomba unapokuwa na tatizo ili tukusaidie kirahisi. 1. Utaje tatizo lako 2. Taja sehemu unayoishi 3. Pia...
  20. Superbug

    JamiiForums Tanzania Mwanamama Golda Meir na kisasi cha haki

    MWANAMAMA shupavu waziri mkuu wa Israel wa zamani alisimamia operation moja Kali Sana ya kijasusi iliyoanza mwaka 1972 na kuisha miaka ya tisini takriban miaka 20 . Operation hii iliongozwa na shirika la ujasusi la Israel mossad. Hii ilikuwa ni baada ya wanariadha wa Israel kuuwawa wakiwa...
Back
Top Bottom