haki

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mitindo mbalimbali ya vitenge

    Kupendeza ni vile mtu unavyojipanga katika mavazi, na moja ya mavazi muhimu kwa ukanda huu wa Afrika ni vazi la kitenge ambapo naweza sema wanaafrika wamesahau kabisa vazi hili japo kidogo kwa sasa wadau wameanza kutokelezea na mavazi mengi, huku wakaka na wadada wakipendeza sana na maumbo...
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Wilaya ya Uyui, Jacob Makala: Tenda haki na tatua migogoro ya uongozi mashuleni acha kufunika kombe

    Wanabodi habari za asubuhi, Leo naleta malalamiko ya baadhi ya wakuu wa shule za sekondari wilaya uyui! kumhusu Jakobo Makala huyu kama Afisa elimu wa Uyui! Malalamiko makubwa yanatoka kwa Aliekuwa Mkuu wa shule Loya sekondari Ndugu Joseph Nduba! Huyu ndiye alisimamia ujenzi wa sekondari ya...
  3. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania SANOTEP: Rais Magufuli ni miongoni mwa Marais Wachache Duniani wanaoheshimu na kuzilinda haki za binadamu kwa Vitendo

    Kwa Mjibu wa Shirika linaloangaza utekelezwaji wa haki za binadamu Duniani limemtaja Rais Magufuli kama mtetezi wa vitendo wa haki za binadamu huku likijikita kwenye ushahidi wa vipengele vifuatavyo RUSHWA: Katika Serikali na chama, Magufuli amejipambanua kwa vitendo kuwa havumilii Rushwa ba...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Je, wenye vituo wana haki ya kuzuia watu kupaki magari kwenye road reserve?

    Hawa wenye vituo vya kujazia mafuta, Unakuta mtu anafanya paving na gardening hadi kwenye mtaro kabisa wa barabarani ambapo ndio kuna road reserve, hivyo si mali yake. Cha ajabu ukienda kupaki gari kwenye hilo eneo anataka akufukuze, leo kuna mmoja nimemnyoosha kisawasawa, nikamwambia aonyeshe...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

    Wanabodi, Mnyonge Mnyongeni, Haki Yake Mpeni, Rais Magufuli, kwanza yuko well informed kwa upande wa data za utendaji wa wateule wake wote! kichwani yuko fiti sana katika utunzaji wa kumbukumbu kutoka kichwani, leo katika kuwaapisha viongozi wapya aliowateua hivi karibuni, alikuwa anatiririka...
  6. Wakulonga

    JamiiForums Tanzania Kuwanyima watu haki ya kuishi

    Habari wana JF, Kila nikijaribu kudadavua kauli ya Marekani zidi ya RC Makonda wana maana gani, jibu sipati. Mara najiuliza au kuuwa watu wasio na hatia ndiyo kuwanyima haki ya kuishi. Kama jibu ndiyo hilo, je wale watu waliokufa na wanaoendelea kufa katika nchi kama Iraq, Libya, Somalia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Zitto akiongoza harakati za kupigania uchaguzi huru na wa haki huko nchini Marekani

    "Tumefika salama Toronto, Canada. Tunaendelea na ziara yetu ya kimataifa, kuonana na Watanzania wanaoishi nje ( diaspora) na kuzungumza na Serikali za Nchi hizo na Taasisi za Kimataifa ili kuhakikisha kuwa Uchaguzi wa Tanzania unakuwa Huru, wa Haki na unaoaminika."
  8. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Tuandamane kumpinga Kiongozi Anayedhurumu haki za watu kuishi

    Marekani ni taifa kubwa duniani lililojikita katika kuamini kulinda haki za raia duniani na dunia inakuwa sehemu salama ya kuishi limeshatoa adhabu na kutuonyesha njia. Wanaopinga waje na data, marekani ametuonyesha njia tuchukue hatua dhidi ya kiongozi aliyetajwa na wote wengine watakao...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Haki sawa kwa wote

    Wana jamvi ili limekaaje mimi ni kondakta wa daladala hapa town nimekaa na kutafakari ivi kwanini watumishi wa jeshi wanapanda daladala bila kulipa nauli mini natumai kila mtumishi wa umma ni muhimu serikali ifike maala wanunue magari ya taasisi zao.. ndani ya gari hapa nina wanajeshi sita...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Kituoa cha Sheria na Haki za Binadamu mmetuangusha!!

  11. N

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya msemaji wa wizara ya mambo ya nje USA: Tanzania ni lazima iheshimu haki za binadamu

    Hiyo hapo inajieleza yenyewe anaitwa Morgan Ortagus, kasema bashite kazuiliwa kuingia USA kwa sababu ya kukandamiza upinzani,haki ya kujieleza (alivyo hovyo bashite akashikia kidedea ka issue cha face swap cha Idris sultan na kusababisha nchi nzima tuchekwe mtandaoni). Mishowe msemaji huyo wa...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Prof Kabudi: Rais Magufuli na serikali yake hawawabagui wanafunzi wa kike, wote wanapata haki sawa wapinzani wasipotoshe

    Zitto kaumbuliwa mchana kweupe kwa uzushi wake juu ya wanafunzi wajawazito kubaguliwa. Prof Kabudi ataenda UN kuieleza dunia ukweli kutokana na uzushi huu wa Zitto. Maendeleo hayana vyama!
  13. K

    JamiiForums Tanzania Ahadi za Rais Magufuli kuhusu uchaguzi huru na haki hazitekelezeki, ni ahadi hewa kimazingira

    Hivi karibuni Rais Magufuli alipozungumza na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao pamoja na mambo mengine alitoa ahadi ya kufanyika uchaguzi huru na haki mwaka huu wa 2020 jambo lililoleta mjadala sana kwenye jamii. Hii kauli haitekelezeki kwa sasa. Hakuna mazingira ya kufanyika uchaguzi huru na...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika atema cheche kuhusu kauli ya Mwenyekiti wa CCM ya uchaguzi kuwa huru na haki

    Hapa ndio utaelewa kwanini Mh Mbowe ameamua John Mnyika awe Katibu Mkuu wa CHADEMA , yaani anatema madini matupu ! Mnyika amesema: "Sasa nifikishe ujumbe tu kwa Rais Magufuli, ambaye amesema yeye, akiwaambia mabalozi kwamba, uchaguzi wa mwaka 2020 utakuwa uchaguzi huru na haki ujumbe wangu kwa...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Samatta kwenda Aston Villa : Haki za Kimbangulile FC zizingatiwe

    Nakumbuka kwamba Timu ya Kimbangulile FC ya Mbagala ndiyo iliyomlea Mbwana Samatta hadi kufikia kuonwa na vilabu vikubwa , na kuna wakati iliambulia mgawo kwenye mauzo ya Mbwana , sina kumbukumbu kama ni kule TP Mazembe au KRC GENK . Ninaamini kama kuna mgawo wowote wa kisheria basi...
  16. bahati93

    JamiiForums Tanzania Alichosema John Locke kuhusu sheria na haki

    Habari my comrades Kuna maneno mengi sana yanasemwa na mwanadamu kuhusu namna mbalimbali ndani ya jamii zetu, Lakini kuna sentensi zilizosemwa ambazo zitabaki na sisi wanadamu muda wote ambao tutakuwa wakazi kwenye hii sayari yetu ya tatu kutoka nyota jua. Mwanadamu kiumbe ambacho kazi yake...
  17. othiambo

    JamiiForums Tanzania Hivi vitambulisho vya Askari/ Wanajeshi vina kazi gani kwa raia?

    Hali zenu waungwana. Hili swali huwa najiuliza sana na sipati majibu, hivi hawa watu vitambulisho hivi vimekua ndio kimbilio na nguzo ya utemi kwa wananchi? Sababu ya swali langu ni jana kipindi narudi nyumbani kufika kituoni magari hakuna; ghafla ikaja daladala ikitangaza nauli 500 katikati...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dini ya Kiislamu na usawa kwa Mwanaume na Mwanamke: Haki ya Mwanamke katika Elimu | Haki ya kutafuta Elimu

    Chama cha Wanasheria wa Kike Visiwani Zanzibar [Zanzibar Female Lawyers Association (ZAFELA)] kimeandaa chapisho linalozungumzia Haki za Mwanamke linaloitwa "Haki za Mwanamke kwa Mujibu wa Qur'an na Sunnah za Mtume (S.AW)" Katika chapisho hilo, inaelezwa kuwa Uislamu umetoa umuhimu kwa binadamu...
  19. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje mwanamke kudai haki hadharani

    Ni hivi unakuta mwamke anapiga simu kwenye daladala babe mambo mbona hujaja jana namie umeniacha na hamu zangu?? Kweli mkiachwa na wanaume wabaya sasa hapo umesemaje?? Unajiona nivizuri eh kwanini husijiheshimu ?? Wengine mpaka mnaita mashemeji mbele ya kadamnasi shem mbona jana hatukuonana...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania China yatajwa kuwa nchi hatari kwa Haki za Binadamu Duniani

    Shirika la kutetea haki za binadamu lililo na makao yake Mjini New York Marekani Human Rights Watch, limesema China inaweka mikakati ya kuidhoofisha mifumo ya kulinda haki za binadamu duniani kote. Shirika hilo limeyasema haya leo tarehe 15/01/2020 Jumatano katika uzinduzi wa ripoti yake ya...
Back
Top Bottom