johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Afisa mstaafu wa jeshi la magereza ndugu Mwakibinga amenieleza kuwa kilichotokea pale Segerea kati ya akina Halima Mdee na askari walinzi wa gereza ni sawa kabisa na Gari kugongana na Treni kwenye eneo ambalo Reli imevuka barabara " Railway cross Road"
Vyovyote itakavyokuwa tafsiri ni moja tu uwapo eneo la gereza raia unapaswa kuheshimu na kutii maelekezo yote unayopewa na askari au maofisa magereza na si vinginevyo anasema Mwakibinga.
Hata upelelezi wa matukio ya namna hauwezi kuchukua zaidi ya dakika 30 kwa sababu utaratibu wa Magereza kwa wageni uko wazi kabisa, amemalizia Mwakibinga.
Binafsi bado natafakari hii ya " Railway cross Road" mara nyingi magari ndio huchakazwa chakari na kesi hubebeshwa wao, kweli mwenye nguvu mpishe.
Maendeleo hayana vyama!