haki za binadamu

  1. BARD AI

    RIPOTI: UN yasema 44% ya ukiukaji wa haki za binadamu ulifanywa na Serikali ya Congo DR

    Ripoti hiyo inasema idadi kubwa ya matukio ya ukatili na mateso imetokea katika maeneo yaliyoathiriwa zaidi na migogoro ya kivita ambapo 44% ya mateso yalifanywa na maafisa wa Serikali wakiwemo Jeshi la Polisi na Jeshi la Ulinzi. Ofisi ya Haki za Binadamu pia imesema kwa kipindi cha Juni 1...
  2. BARD AI

    Serikali yakiri kupokea malalamiko zaidi ya 6000 ya Uvunjifu wa Haki za Binadamu

    Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Damas Ndumbaro amesema jumla ya malalamiko ya wananchi kuhusu uvunjifu wa haki za binadamu 6,928 yalipokelewa katika kipindi cha mwaka 2018 hadi 2019. Dk Ndumbaro ameyasema hayo wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 20 tangu kuanzishwa kwa Tume ya Haki za...
  3. beth

    Septemba 15: Siku ya Demokrasia Duniani

    Miongoni mwa misingi muhimu ya Demokrasia ni Uhuru wa Kujieleza, Uchaguzi Huru na wa Haki, na kuheshimu Haki za Binadamu Demokrasia ni pamoja na Vyombo vya Habari kuwa Huru na Wananchi kushiriki kikamilifu katika Masuala yanayogusa Maisha yao. Hii hujenga Jamii yenye kuiwajibisha Serikali...
  4. BigTall

    Hivi wanachofanya Panya Road hakiwahusu Taasisi za Haki za Binadamu? Wapo kimya kama kila kitu kiko poa

    Kwa sasa Dar es Salaam ni kama imeanza kutikisika, haijafikia kiwango hicho lakini kiuhalisia kuna mambo hayako sawa hasa yanayohusu ulinzi. Hawa vijana wa Panya Road sijui niseme wanachekewa au mamlaka hazijapata jibu hasa la kudili nao, wenyewe mamlaka za ulinzi zinajua zinachokifanya. Juzi...
  5. BARD AI

    Ripoti: China ilifanya Uhalifu mkubwa dhidi ya Binadamu

    Ripoti iliyotolewa na Ofisi ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa, imeishutumu China kwa ukiukaji mkubwa wa Haki za Binadamu baada ya kuwaweka kizuizini waumini wengi wa Kiislamu katika mji wa Xinjiang. Mashirika ya kutetea Haki za Binadamu yanaishutumu Beijing kwa dhuluma dhidi ya Wauyghur...
  6. Frumence M Kyauke

    Mange Kimambi anaweza kushtakiwa kwa kosa la kuvunja haki za binadamu ikiwemo udhalilishaji

    Mange Kimambi anaweza kuishtakiwa kwa kuvunja haki za binadamu ikwemo udhalilishaji, ndio maana Instagram waliondoa account yake kwa kosa la kudhalilisha binadamu. Biashara ya kuuza video mtandaoni ni ngumu kwasababu Watumiaji wanaweza kuvujisha kwa kutumia simu nyingine kurekodi video hiyo...
  7. BARD AI

    Wakenya waitaka Uingereza kulipa Tsh. Tril 466 kama fidia ya Ukoloni

    Jopo la raia wa Kenya wamefungua kesi Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu (ECHR) dhidi ya serikali ya Uingereza wakiituhumu kwa unyanyasaji wa kikoloni Kati ya madai yaliyotajwa ni pamoja na wizi wa ardhi ambayo wamedai bado inatumiwa na makampuni ya chai, pia jopo hilo limeilaumu serikali ya...
  8. D

    Wanasheria wa bure wa haki za binadamu kama kazi haiwalipi acheni kuliko kufanya kazi kwa visirani kwa wateja wenu

    Vituo vya msaada wa kisheria vilianzishwa ili kumsaidia asiye na uwezo wa kuajili gharama za wakili wa kujitegemea! Wizara na serikali kwa ujumla! Tazameni upya vituo vya misaada ya kisheria! Wanasheria waliopo kwenye vituo hivyo Wanafanya kazi kwa visirani kama wamelazimishwa! Wako too...
  9. Simon Martha Mkina

    Kuzima intaneti ni kuminya haki za binadamu

    Na Simon Mkina MARA zote serikali zenye kuongozwa na watawala dhalimu duniani, huzima mtandao wa intaneti kwa madai makubwa matano; kuimarisha usalama wa taifa, kulinda uchaguzi, kuepusha vurugu, kuzuia udanganyifu kwenye mitihani na kukwamisha kusambaa kwa taarifa za uzushi. Hata hivyo, madai...
  10. sky soldier

    Fiston Mayele na Litombo Bangala walichomfanyia Inonga ni kumkosea Heshima na kukiuka haki za Binadamu, TFF iingilie kukomesha hii tabia

    Huu ni mpira inabidi uwe fair na haki za binadamu zizingatiwe na hata FIFA wanahimiza sana. Cha ajabu Klabu ya Yanga inajiona ipo juu ya sheria na kufanya kinyume, Inonga baada ya mechi alikuwa anawahi kwenda kutafuta sehemu ya mapumziko lakini ghafla mbele yake akazingirwa na wachezaji wa...
  11. Lady Whistledown

    Marekani yaonesha wasiwasi kuhusu hali ya Haki za Binadamu nchini Rwanda

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Antony Blinken, ametoa wito kwa Rais Kagame kushughulikia Ulinzi wa Kisheria Nchini humo hasa usawa katika usikilizwaji wa Kesi akimrejelea Paul Rusesabagina, anayetumikia kifungo kwa tuhuma zinazodaiwa kuwa zenye msukumo wa kisiasa Paul Rusesabagina...
  12. M

    Rais Biden wa Marekani anapoiona picha hii bila shaka tumbo linakuwa moto

    Hao ni Rais Putin wa Urusi na Rais Ebrahim Raisi wa Iran!!
  13. M

    Umoja wa Ulaya waishitaki Hungary kwenye Mahakama ya Haki za Binadamu kwa kuwanyima uhuru mashoga/LGBT

    Kwa Ulaya hilo ni kosa kubwa sana, yaani kuwanyima uhuru mashoga kuongelea hadharani uchafu wao!! Lakini hili la hangary linashangaza zaidi, iko hivi: Hungary ilipitisha sheria ya kuwalinda watoto chini ya miaka 18 dhidi ya propaganda za mashoga. Walizuia kuongea au kuwaonesha au kuwafundisha...
  14. beth

    Mahakama ya ECOWAS: Zuio la Twitter Nchini Nigeria lilikiuka Sheria na Haki za Binadamu

    Mahakama ya Haki ya Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imesema zuio la Mtandao wa Twitter Nchini Nigeria mwaka 2021 lilienda kinyume na Sheria Marufuku hiyo iliyodumu kwa takriban miezi 7 inatajwa kukiuka Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu, pia uliwanyima Wananchi Haki...
  15. BigTall

    Albert Msando: Wanahabari kuweni watetezi wa Haki za Binadamu, msiegemee upande mmoja

    Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, Albert Msando amewataka wanahabari kuendelea kufanya kazi kwa bidii na ueledi zikiwemo za utetezi wa Haki za binadamu ili kuongeza tija katika kuwahabarisha wananchi taarifa zilizojitokeza na zitakazojitokeza. Msando amesema hayo Mkoani Morogoro wakati akifungua...
  16. Lady Whistledown

    Ethiopia: Wadau wa Haki za binadamu watoa wito kwa wafungwa 9,000 kuachiwa huru Tigray

    Shirika la kutetea haki za binadamu nchini humo limetoa wito wa kuachiliwa mara moja kwa maelfu ya watu wa Tigray wanaozuiliwa katika kambi mbili katika eneo la kaskazini-mashariki la Afar tokea Desemba 2021 kinyume cha sheria. Inaelezwa kuwa ukosefu wa huduma za kimatibabu katika kambi hizo...
  17. K

    Rais Samia neema ilioletwa kurejesha utu na Haki za Binadamu

    May 13, 2022 Rais Samia Suluhu Hassan alikua mgeni katika maadhimisho ya miaka 10 ya kuanzishwa kwa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC). Katika mkutano huo alitunukiwa tuzo ya kutambua mchango wake wa kulinda na kusimamia haki za binadamu na utawala wa sheria ikiwa ni...
  18. BigTall

    Ripoti: Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa Nchini Mali

    Zaidi ya raia wa kawaida 500 wameuawa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na vikundi mbalimbali Nchini Mali kuanzia Januari hadi Machi, 2022. Ripoti ya Umoja wa Mataifa (UN) imeelea kuwa hali ya usalama si nzuri, ikiwa ni ishara kuwa Jeshi limeshindwa kuwa na nguvu ya kudhibiti Nchi hiyo...
  19. L

    Waziri wa mambo ya nje wa China akutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu

    Waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Wang Yi jana alikutana na kamishna mwandamizi wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia mambo ya haki za binadamu Bibi Michelle Bachelet mjini Guangzhou, China. Wang Yi amemkaribisha Bachelet kwa ziara yake ya kwanza nchini China, akisema hii ni mara ya kwanza kwa...
  20. OffOnline

    Safari ya matumaini na Rais Samia juu ya haki za Binadamu na utawala bora

    Pitia hili japisho kwa utulivu kisha niambie kwa umri wako ni Rais yupi amefanya hata nusu ya haya,
Back
Top Bottom