haki za binadamu

  1. The Sheriff

    Haki za Mtoto: Ni aibu kuwa bado kuna Watanzania wanaoa na kuoza watoto wakiwa bado tumboni

    Mila zimekuwa nguzo muhimu katika utamaduni wa jamii, zikichangia kudumisha uhusiano na kuleta umoja. Hata hivyo, katika hali fulani, mila hizi zinaweza kuwa chanzo cha madhara makubwa ambayo hayawezi kupuuzwa. Swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalum, Maryam Azan Mwinyi, kuhusu mila ya...
  2. The Sheriff

    Kama sheria zinamnyima mtoto kupiga kura au kuajiriwa, kwanini zimkubalie kuingia kwenye ndoa?

    Sheria katika nchi nyingi, ikiwemo Tanzania, zimeainisha umri wa chini wa miaka 18 kama kipimo cha mtu kutostahili kupiga kura. Dhana hii inatokana na imani kwamba hawajakomaa kifikra na kimawazo vya kutosha kufanya maamuzi ya kisiasa. Kwa mtazamo huu, ni kwamba kuna wasiwasi kuhusu uwezekano wa...
  3. R

    Mtandao wa watetezi wa haki za Binadamu waomba kukutana na Rais Samia kuhusu suala la watuhumiwa wa "Uhaini" wa Mwabukusi et al

    Hayo yamesemwa na Kiongozi wa jopo la watetezi wa haki za Binadamu Anna Hega wakati walipokutana na waandishi wa habari jana. My take: 1. Jambo kubwa kama hili la Uhaini haliwezi kupelekwa mahakamani bila prior approval/ or the President to be informed. Anna Hega, sahau hilo. Lazima Samia...
  4. The Sheriff

    Kuna Umuhimu wa Kujenga Jamii Inayothamini Usawa na Haki kwa Kila Mmoja

    Usawa wa kijinsia unahusisha kutoa fursa sawa na haki kwa wanawake na wanaume katika maeneo yote ya maisha. Hii inajumuisha fursa sawa za elimu, ajira, afya, uongozi, na ushiriki katika maamuzi. Hata hivyo, bado kuna pengo kubwa la kijinsia katika maeneo mengi duniani, na hili linaweza kuwa na...
  5. N

    Klabu ya Simba yatakiwa kuomba radhi kwa tukio linalodaiwa kudhalilisha watu wenye ualbino kwenye tamasha lao

    Chama cha Watu wenye ualbino Tanzania (TAS) na Kituo cha Sheria na haki za binadamu (LHRC), wamelaani vikali kitendo kinachodaiwa kufanyiwa siku ya Augosti 6, 2023 siku ya 'Simba Day' kumtumia mtu mwenye ualbino mithili ya mtu aliyekuwa katika hali ya nusu utupu na aliyevaa nepi ya mkojo...
  6. Li ngunda ngali

    Human Rights Watch: Tanzania inakandamiza Wakosoaji wa Mkataba wa Ubinafsishaji Bandari

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limesema Mamlaka za Tanzania zimewashikilia au kuwatishia takriban watu 22 tangu Juni 10, 2023, wakiwemo waandamanaji, baada ya kukosoa Bunge la Tanzania kuridhia makubaliano ya usimamizi wa bandari za Tanzania Mkataba huo utaruhusu...
  7. The Sheriff

    Usawa wa kijinsia ni msingi wa jamii imara yenye haki na ushirikiano bora wa kimaendeleo

    Kupata usawa wa kijinsia si tu suala la haki za kibinadamu, bali pia ni jambo linalochangia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Katika dunia ya sasa, jitihada za kuleta usawa wa kijinsia zimekuwa kitovu cha mijadala ya kimataifa na jitihada za serikali, mashirika...
  8. J

    LHRC, Hakielimu zaridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya haki za binadamu unaofanywa na Serikali

    Asasi zisizo za kiserikali nchini zimeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya utekelezaji wa Haki za binadamu yaliyotokana na baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu. Mkurugenzi wa utetezi na Haki kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Fulgence Massawe na Meneja...
  9. BARD AI

    Umoja wa Mataifa wafunga Ofisi za Haki za Binadamu baada ya Rais Museveni kukataa kutoa kibali kingine

    Kwa mujibu wa Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN, hatua hiyo inafuatia uamuzi wa Serikali ya Rais Yoweri Museveni kutohitaji kuendelea kwa Makubaliano ya uwepo wa Ofisi hizo nchini humo. Katika taarifa yake, UN imetilia shaka kukosekana uwazi katika Uchaguzi Mkuu utakaofanyika mwaka 2026...
  10. JanguKamaJangu

    LHRC: Vyombo vya Haki Jinai vitekeleze mapendekezo ya tume

    Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC kimetoa witu kwa vyombo vinavyohusika na Haki jinai nchini vianze kutekelezeka Mapendekezo ya Tume hasa Yale yasiyohitaji matumizi ya fedha au kubadilisha sheria. Aidha wamewataka wadau wa Haki Jinai nchini k a kushirikiana na serikali watoe elimu kwa...
  11. Mwl.RCT

    SoC03 Vyombo Vya Habari: Sauti ya Haki za Binadamu

    VYOMBO VYA HABARI: SAUTI YA HAKI ZA BINADAMU Imeandikwana: MwlRCT UTANGULIZI Je, unajua kuwa ufisadi na ukiukaji wa haki za binadamu ni matatizo makubwa yanayoikabili dunia leo? Haki za binadamu ni haki ambazo kila mtu anastahili kuwa nazo bila kujali jinsia, rangi, dini, au hali yoyote...
  12. Roving Journalist

    Maoni ya Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kuhusu tozo za miamala ya simu

  13. N

    Mahakama ya Afrika yaiagiza Tanzania kufanya marekebisho ya sheria inayowapa mamlaka Wakurugenzi wa Halmashauri kusimamia uchaguzi

    Kesi itakayotolewa uamuzi Leo ni kesi iliyofunguliwa na Mwanaharakati Bob Chacha Wangwe dhidi ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo inapinga Vifungu vya Sheria ya Taifa ya Uchaguzi ambavyo vinaruhusu wakurugenzi kuwa wasimamizi wa uchaguzi, ikidiwa kuwa 'makada wa Chama Cha Mapinduzi'...
  14. The Sheriff

    Kuna Haja ya Kutokomeza Kabisa Matukio ya Mauaji Yanayochochewa na Ushirikina Tanzania

    Mauaji yanayochochewa na ushirikina ni tatizo linaloendelea kutokea Tanzania na linahusisha imani na vitendo vinavyohusiana na uchawi na ushirikina. Katika muktadha huu, watu wanaweza kuuawa au kuteswa kutokana na tuhuma za kuhusika na uchawi au kutumia sehemu za miili ya watu kwa madhumuni ya...
  15. The Sheriff

    Serikali na Matumizi ya Programu za Udukuzi na Upelelezi: Ongezeko la Tishio kwa Ulinzi wa Faragha na Haki za Binadamu

    Serikali nyingi duniani zinaongeza matumizi ya udukuzi kufanikisha shughuli zao za upelelezi. Hata hivyo, nyingi hutumia udukuzi huo kwa siri na bila msingi wa wazi wa kisheria. Hata katika kesi ambapo serikali zinajaribu kuweka uwezo huo katika sheria, mara nyingi hufanya hivyo bila kuweka...
  16. The Sheriff

    Watoto Wanaofanyiwa Ukatili Katika Maeneo ya Vita ni Waathirika Wasio na Hatia wa Vurugu za Watu Wazima

    Watu wengi wanafurahia utulivu na amani katika maisha yao, lakini kuna maeneo mengi duniani ambapo vita na migogoro inaathiri maisha ya watu, haswa watoto. Watoto wanaotendewa ukatili katika maeneo ya vita ni waathirika wasio na hatia ambao wanakabiliwa na madhara makubwa ya kiakili, kimwili, na...
  17. The Sheriff

    Adhabu ya kifo ni adhabu ya kikatili inayokiuka Haki ya Mtu ya kuishi

    Tanzania imekuwa na sheria za adhabu, katika Tanzania Bara na Zanzibar, ambazo zinajumuisha hukumu ya kifo kama moja ya adhabu kwa uhalifu, ikiwa ni pamoja na mauaji. Hata hivyo, Tanzania bado ni moja ya nchi ambazo zimefuta adhabu ya kifo katika vitendo, kwani utekelezaji wa mwisho uliorekodiwa...
  18. The Sheriff

    Haki za Binadamu ni Muhimu Kulindwa kwani Zinahakikisha Usawa, Heshima, na Hadhi ya kila Mtanzania

    Haki za binadamu ni msingi muhimu katika maendeleo na ustawi wa jamii. Ukiukaji wa haki za binadamu si jambo la kuchukulia mzaha, na inahitaji tahadhari na hatua thabiti. Katika muktadha wa Tanzania, takwimu zinaonesha umuhimu wa kukabiliana na suala hili kwa dhati. Katika Ripoti ya Haki za...
  19. Calvin Mmari

    SoC03 Natamani viongozi wote wangekuwa na mimi utotoni

    Usichomoe! "Nimekwambia usichomoe kabla haijafika mwisho, aya irudishe alafu upunguze sauti kidogo saivi ni usiku tusisumbue majirani" Muda wote huo baba kwani huchoki? "Hapana hadi ifike mwisho ndo nitakuruhusu uichomoe" Hayo...
  20. JanguKamaJangu

    Arusha: Serikali yakabidhi eneo la ujenzi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu

    Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imekabidhi eneo la ujezi wa Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kwa Mkandarasi ambaye ni CRJE (East Africa) Ltd na Mshauri Elekezi Aru Built Environment Consulting Company Ltd (ABECC) katika eneo la Lakilaki...
Back
Top Bottom