Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 19,675
- 59,778
Kikao cha 77 cha kawaida cha Kamisheni ya Afrika ya Haki za Binadamu na Watu kinaanza tarehe 20 Oktoba, 2023, na kinatarajiwa kuendelea hadi tarehe 09 Novemba, 2023.
Washiriki wanajumuisha wawakilishi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika na nje ya Afrika.Jumla ya washiriki 700 wamesajili kutoka kwenye NGOs na washiriki 90 wametoka kwenye Taasisi za Kitaifa za masuala ya Haki za Binadamu.
Kuanzia tarehe 16 Oktoba, 2023, hadi tarehe 19 Oktoba, 2023, jumla ya washiriki 1,283 wamesajiliwa kushiriki kikao hiki. Washiriki hawa wamegawanyika katika makundi mbalimbali kama ifuatavyo: Aina ya Washiriki Idadi ya WashirikiTaasisi za Kiraia (NGOs) 700, Taasisi za Kitaifa za masuala ya Haki za Binadamu (NHRI) 90, Taasisi za Umoja wa Mataifa 4, Taasisi za Afrika za AU 2, Makamishina na Watumishi wa Kamisheni 39, Washiriki URP 150, Wasaidizi na watoa huduma 298.