LHRC, Hakielimu zaridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya haki za binadamu unaofanywa na Serikali

Jamal Akbar

JF-Expert Member
Oct 9, 2014
413
471
Asasi zisizo za kiserikali nchini zimeeleza kuridhishwa na utekelezaji wa mapendekezo ya utekelezaji wa Haki za binadamu yaliyotokana na baraza la Umoja wa Mataifa la Haki za Binadamu.

Mkurugenzi wa utetezi na Haki kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Fulgence Massawe na Meneja Habari wa Hakielimu Elisante Kitulo wakizungumza kwenye kikao kati ya Serikali, asasi hizo na wanahabari wamesema kuwa katika mapendekezo zaidi ya 200 yaliyotolewa.

Tanzania imeyakubali ya kuyafanyia kazi mapendekezo 108 ambayo ni hatua kubwa ya utekelezaji ikilinganishwa na kipindi cha nyuma​
 
Back
Top Bottom