Afisa wa polisi akabiliwa na kesi ya kumuua mwandishi wa habari Eric Oloo

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,811
4,533
Wapelelezi wanaochunguza mauaji ya mwandishi wa habari wa TheStar Bw. Eric Oloo wamemhisi Afisa Mkuu wa Polisi Bi Sabina Kerubo kuhusika na mauaji hayo.

Afisa huyo wa polisi, ambaye mwili wa mwandishi wa The Star ulikutwa nyumbani kwake mnamo Novemba 21, alipelekwa mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Siaya, James On'gondo ambaye aliamuru kuwa Afisa huyo aendelee kuwa kizuizini Kituo cha Polisi cha Siaya kwa siku 14.

Katika hati ya kiapo iliyowekwa mbele ya hakimu, wapelelezi wanaoshughulikia kesi hiyo waliomba muda wa nyongeza wa kumshikilia afisa huyo ili kumaliza uchunguzi juu ya mauaji hayo.

Inspekta mkuu Tobias Akumu, anayeongoza upelelezi, alifafanua zaidi kuwa wanakusudia kukabidhi faili ya kesi hiyo kwa Ofisi ya Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (ODPP) Jumanne na mapendekezo yao.

Aidha, katika wiki mbili zilizopita mahakama iliamuru ndugu wawili, Victor Ogola Luta na Franklin Joel Luta, kukamatwa mnamo Novembe 21 na 22 kwa ajili ya uchunguzi zaidi.

Kesi hiyo itaanza kusikilizwa tena mnamo tarehe 10 Desemba mwaka huu

Bwana EricOloo alizikwa Kijijini kwao Uhor katika mji wa Ugunja siku ya Jumamosi.
Aidha, ripoti zinaeleza kuwa vipimo vilionesha kuwa kuwa mwandishi huyo aliuawa kwa kupigwa na kifaa kizito kichwani na tumboni.

Kwa upande mwingine, Viongozi wa serikali wakiwamo Mbunge Opiyo Wandayi wa Ugunja na mwenzake David Ochieng wa Ugenya wamesisitiza kuwa uamuzi wa kesi hiyo unapaswa kufanyika mapema ili waliosababisha kifo cha mwandishi huyo wawajibishwe.

1575351241185.png

Afisa wa Polisi Bi Sabia Kerubo akiwa Mahakamani
Zaidi Soma:

Detectives probing the gruesome murder of TheStar journalist Eric Oloo have arraigned Chief Inspector of Police Sabina Kerubo in Siaya but she was not required to take plea.

The police officer, in whose house the body of The Star correspondent was discovered on November 21, appeared before Siaya Principal Magistrate James On'gondo who directed that she remains in custody at Siaya Police Station for 14 days.

In a sworn affidavit tabled before the magistrate, the detectives handling the case pleaded for additional time to hold the officer so as to conclude investigations into the murder.

Chief inspector Tobias Akumu, who is leading the probe, further disclosed that they intend to hand over the case file to the Office of the Director of Public Prosecution (ODPP) on Tuesday with their recommendations.

AWAITING CHARGES

"We plan to have the file presented to the State counsel on Tuesday and await further directions from them. If the State counsel, upon receiving the file and after going through our recommendations directs that we charge her alongside the other two suspects already in police custody, then we will do so" he said.

The court last week directed that two brothers, Victor Ogola Luta and Franklin Joel Luta, who were arrested on November 21 and 22 respectively, be held for 11 days pending investigations.

They will be arraigned on December 10 to face murder charges.

Mr Oloo was laid to rest in his Uhor village home in Ugunja town on Saturday.

Leaders, among them the MPs Opiyo Wandayi (Ugunja) and his David Ochieng (Ugenya) called for a speedy conclusion of the investigation so that those behind the gruesome murder of the journalist are brought to book.

A post-mortem report revealed that the slain journalist died after being hit with a blunt object on the head and abdomen.

Chanzo: Daily Nation


 
Back
Top Bottom