Kaulimbiu yoyote duniani huambatana na kuuwa saikolojia ya kitu furani.. KAZI na Bata ni Tamu lakini inauwa saikolojia nyingi ambazo RAIS mbunifu inabidi asema vijana wameamua Kula MAISHA na kuendelea kutengeneza Hela za Manyoka kama nilivyosoma jamiiforum... Ukitaka ujue KAZI na Bata inauwa stress gani ungana na Mie:Hivi Bashiru kasotea PhD si ili aje kuwa na maisha mazuri ? Ndo bata hizo. Sasa hivi mtu unafanya kazi ili iweje ? Si uwe na maisha ambayo ni comfortable ?
Kaulimbiu yoyote duniani huambatana na kuuwa saikolojia ya kitu furani.. KAZI na Bata ni Tamu lakini inauwa saikolojia nyingi ambazo RAIS mbunifu inabidi asema vijana wameamua Kula MAISHA na kuendelea kutengeneza Hela za Manyoka kama nilivyosoma jamiiforum... Ukitaka ujue KAZI na Bata inauwa stress gani ungana na Mie:hii maccm imewaingia! naona yanahaha sasa
watanzania tumechoka, sasa ni Kazi na bata
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaulimbiu yoyote duniani huambatana na kuuwa saikolojia ya kitu furani.. KAZI na Bata ni Tamu lakini inauwa saikolojia nyingi ambazo RAIS mbunifu inabidi asema vijana wameamua Kula MAISHA na kuendelea kutengeneza Hela za Manyoka kama nilivyosoma jamiiforum... Ukitaka ujue KAZI na Bata inauwa stress gani ungana na Mie:Hata mimi nikimaliza kuchomea mageti lazima nikale bata kidogo.
Watanzania tumeishiwa kwelinimeipenda sana kazi na bata maana imevuruga sana wakubwa ofisini sijajua tatizo ni nini. ila aliyebuni kauli mbiu hii saluti kwake
mimi nimeshangaa sana kujipongeza baada ya kazi imekuwa shida. utawala huu unatutakia mema kweli napata taabu sanaWatanzania tumeishiwa kweli
Yaani tumebaki kugombania kazi na bata vs hapa kazi tu.. as if kauli mbiu hizi zinaathiri kazi na mapumziko au starehe binafsi za mtu.
Kwani ukipiga 50000 ya udalali wa vifaa mbali na malipo halali kuna mtu atakuzuia usiende club au bar kunywa na kuondoka na Barmaid. Na kama umepata kazi nyepesi na inalipa utaacha kazi uende bar?
Au unaweza kwenda kutanua wakati huna hela na dili za kuchomelea zimekata?
Ukipata kaz,i ukiwa kazi itawajibika na utasema hapa kazi tu.. ukimaliza kazi ukaona unastahili kupumzika na kujiburudisha basi utasema kazi na Bata.
Nimetoka kapa.sijui IQ yangu ndogo ama vipi.!Kaulimbiu yoyote duniani huambatana na kuuwa saikolojia ya kitu furani.. KAZI na Bata ni Tamu lakini inauwa saikolojia nyingi ambazo RAIS mbunifu inabidi asema vijana wameamua Kula MAISHA na kuendelea kutengeneza Hela za Manyoka kama nilivyosoma jamiiforum... Ukitaka ujue KAZI na Bata inauwa stress gani ungana na Mie:
1: stress ya kujenga kichwa (Elimu)
2: stress ya kujenga nyumba (walijenga hawatakiwi kuzijudge)
3. Kujenga maeneo ya Kula bata mathalani (Clubs, Casino, shopping malls, Maziwa sehemu zenye ukame n.k) -- Yawezekana miradi YENYE ni milioni 100, Kwa [emoji817] Tu
4.Kuwa na Usalama wa chakula (food security). N.k
5. Malipo ya hela ya assurance Kwa wote la sivyo mambo yangu hatakiwi kikuathiri
La sivyo ni kama kilimo Kwanza ukawa kaulimbiu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Maisha ni tight kwa hio hapa ni mwendo wa KAZI na BATA tu mengine Mbwembe tu
2020 Twende na KAZI na BATA tuachane na mbwembwe