Naomba kujuzwa kuhusu mikopo

dee official

Member
Oct 15, 2019
8
3
Habari za muda huu wadau

Samahani naomba kuuliza kwa mwenye uzoefu na maswala ya transfer ya mkopo je huchukua muda gani mpaka kukamilika na mnufaika kupatiwa pesa alizopangiwa kwa mwaka husika?

Mimi nimefanikiwa kupata asilimia kidogo sana ya mkopo katika batch number two ila kutokana na matatizo nilishindwa kwenda kusoma chuo nilichochaguliwa nikabaki chuo ambacho kipo mazingira ya nyumban ili kusudi kubana matumizi yaani pesa nitakayoipata kwenye boom niitumie kulipa ada maana nilipewa meals and accommodation pamoja na books and stationery tu.

Hivyo naomba kwa anae fahamu anisaidie kunijuza ili nianze kujipanga kukopa ada ya semester ijayo mapema ikiwa Hela ya matumizi (meals and accommodation) ambayo nilitegemea kuitumia kulipia ada itachelewa Asante.
 
miezi minne pesa urudishwa bodi kama aijasainiwa ikirudi ndo wataanza shughurikia hzo miss allocation mbaka waje kutuma sheet chuo ulichopo miezi 5 hyoo kuwa mpole utasain maboom mawili au matatu kwa mkupuo ila semister ya pili hii ya kwanza potezea pia kama ulipoenda umebadili coz awatokuacha salam wanaweza kukusitishia mkopo wakoo wenzio tunalia sasa
 
Duh sasa kama mwanzo nilichaguliwa kwenye course ya accounting and finance lakini nikahamia chuo kingine nikasoma accountancy pekee it means wataninyima?
 
Back
Top Bottom