habari

  1. JamiiForums Tanzania Nayaandika haya huku moyo wangu unavuja damu. Uchungu mwingi sana

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 1994, Kihanga, huko Iringa Vijijini, kwa mipango yako nilizaliwa, mtoto mdogo mwenye afya njema. Miaka sita mbele hakika nilibadilika hasa, kijana mchangamfu, mchapakazi, mwenye akili nyingi na fuarha tele, wazazi wangu walikuwa ni wenye kujivunia kijana huyu, Ndugu na...
  2. JamiiForums Tanzania Maneno ya mwandishi Ansbert Ngurumo juu ya utawala wa awamu ya tano

    Msikilize Ngurumo
  3. JamiiForums Tanzania Ombi langu kwa DStv wekeni na habari za URUSI kupitia TV yao ya kiingereza ya RT yaani Russia Today

    Kuna tatizo lolote kati ya RT na DSTV? Kama hakuna tatizo naomba mimi Kama mteja mtuwekee na vipindi kutoka Urusi, sisi wengine ni wapenzi wa habari za kimataifa, pia hupenda kufanya ulinganifu wa taarifa. Kwa bahati nzuri DStv mnarusha habari za dunia kupitia CNN,BBC,DW,FRANCE, na TV nyingine...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Aliyewahi kuwa Katibu Mkuu Taifa wa CHADEMA, Dkt. Vincent Mashinji ajiunga na CCM

    Kupitia matangazo ya moja kwa moja yanayoendelea ya channel 10, imemuonesha aliyekuwa Katibu Kkuu wa CHADEMA, Dkt. Mashinji akiingia ofisi hizo akiwa akiwa amevalia nguo za CHADEMA tayari kwa kuijiunga na CCM. Anaeleza baada ya kutafakari kwa kina amebaini CHADEMA haina utayari wa kuleta...
  5. JamiiForums Tanzania Baadhi ya waandishi wa habari wanatia aibu

    Katika hali ya kushangaza mwandishi wa habari wa gazeti la msema kweli ameshindwa kutofautisha matumizi sahihi ya neno AJUZA mpaka kafikia kumwita mwanaume mzee Ajuza. Hii inaonyesha ni jinsi gani tasnia ya habari inavyopoteza weledi wake siku hadi siku.
  6. JamiiForums Tanzania Siku ya Redio Duniani: Je, ni sahihi kwa wasio na taaluma ya habari kutangaza?

    Amani kwako. Dunia inaadhimisha uwepo wa utoaji wa habari duniani kupitia redio na siku ya tarehe 13.02.2020 tunaadhimisha Siku ya Redio. Toa maoni yako juu ya siku hii, ikiwa ni pamoja kuangazia tasnia hii ya redio inayoongozwa na waandishi wa habari: - Kwa sasa imeingiliwa na watangazaji...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hawa wakiamua kuanzisha chama, CCM kwisha habari yake

    Team hii ikianzisha chama au kujiunga na chama chochote kati ya CHADEMA na ACT, basi CCM itabaki na Jiwe! 1. Membe 2. Kinana 3. Makamba 4. Nape 5. Ngeleja 6. Mwigulu 7. Mwele 8. Maria Sarungi 9.Fatma Karume 10. Wakili Jebra Kombole 11. Kagasheki 12. Profesa Mwandosya..... 13. Kigogo@2014 (though...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Hivi habari za vifo vya wenzetu zimepitaje?

    Jumamosi iliyopita watu 20 walikufa wakigombea upako huko Moshi.Mara nikasikia vijana 10 wa JKT wamekufa wakiwa kwenye mafunzo.! Upande wangu wiki hii ilikuwa na pilika nyingi +masuala ya binafsi na uchumi ,nikajikuta sio mfuatoliaji Sana wa habari.Leo nimejiuliza ,mbona haya matukio yamepewa...
  9. JamiiForums Tanzania Madereva: Habari za barabarani leo?

    Uzi huu uwe maalum kwa madereva na wasafiri kujua hali ya barabara ni haki yenu kabla ya kuanza safari ya huko uendako.Tupashane yanayojiri ili tuweze kusaidia safari zetu. Unatarajia kuelekea wapi saa hizi, unahitaji kujua hali ya barabara kama labda kuna changamoto yeyote saa hizi ili kuepusha...
  10. JamiiForums Tanzania Bernard Membe aitwa kwenye Kikao cha Kamati ndogo ya Udhibiti wa Nidhamu CCM

    Kupitia Ukurasa wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter, aliyekuwa Waziri wa zamani wa Mambo ya Nje, Bernard Membe amesema ameitwa Jijini Dodoma kwenye Kikao hicho cha CCM Amesema amepata barua ya kuitwa hapo jana na ataudhuria bila kukosa au kuchelewa kikao hicho kitakachofanyika Februari 06 saa 3...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Tutafakari: Uzuiaji wa mikutano ya kisiasa na sheria ya habari je zimetusaidia chochote ?

    Je kwa mawazo yako hizi sheria za habari ambazo zimekuwa zikilalamikiwa na kusababisha waandishi wa habari na wanasiasa wengi kufunguliwa kesi zimesaidia nchi yetu kwa miaka minne sasa?. Vilevile uzuiaji wa mikutano kwa wapinzani Je imeleta amani yeyote na imesaidia chochote?. Tuliambiwa kufanya...
  12. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali

    Tutawaletea Moja kwa Moja Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Wandishi wa Habari wa Tanzania na wakimataifa Kuhusu Mambo mbalimbali ya Nchi Updates ------------ Mbowe atahadharisha hali ya hatari uchaguzi mkuu, Amlima Barua Rais ------------- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Masuala haya ambayo MBOWE atayazungumzia kwenye mkutano na waandishi wa habari ni hadaa kwa umma.

    Mkutano wa mwenyekiti wa Chadema FREEMAN MBOWE na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika leo Februari 03, 2020 majira ya 5 asubuhi umejaa hadaa na upotoshaji kwa umma, nitafafanua kila jambo kwa hoja. Tume huru ya Uchaguzi. kamati ya Maridhiano Marekebisho ya katiba kuzuiwa kusafiri nje...
  14. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

    Taarifa kwa vyombo vya habari na umma Mkiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe(Mb) atazungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi, J'tatu, Feb. 3, 2020, saa 5 asubuhi, jijini Dar es Salaam.
  15. JamiiForums Tanzania Kilichonishangaza kwenye Taarifa ya habari, ni chombo kimoja kilichorusha habari ya Makonda. Huu ni utaratibu mzuri dhidi ya Mabeberu

    Nimeangalia Taarifa ya Habari iwe ITV, TBC, AZAM TV hakuna habari iliyotangazwa ya Makonda sijui kuzuiliwa kwenda Marekani Huu utaratibu mzuri kesho tena tunategemea kutoona gazeti lolote lililoandika ujinga wa Mabeberu ==== Edit: Azam TV wamei-cover habari hii
  16. JamiiForums Tanzania Dr Hassan Abbas ateuliwa Katibu Mkuu wizara ya Habari Utamaduni na michezo

    Kabla ya uteuzi huu alikuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo. Kabla ya uteuzi huo Dkt. Hassan Abbas...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Habari humu ndani, mimi ni mgeni naomba kukaribishwa

    Habari wakuu
  18. S

    JamiiForums Tanzania Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalamika kuachwa na Hamida

    Kuna clip inamuonesha jamaa anagalagala chini huku akilalaamika kuachwa na hamida ... Huyo jamaa tunamtafuta ,kwa yeyote anaemjua huyo jamaa au mwenye mawasiliano nae tunaomba pls.. NB Hatumtafuti kwa ubaya Mimi ninafanya kazi kwenye media X Lengo la kumtafuta ni kufanya nae Interview...
  19. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Aandika barua ya Kujiuzulu. Rais Magufuli akiwa anahutubia wakati wa ufunguzi wa nyumba za Askari Magereza, amesema kwamba.. Nampongeza sana Meja Jenerali, Kingu ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuwajibika kwamba ametambua. Na...
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta a Business Partner

    Habari wa JF, bila shaka mu buheri wa afya natafuta "Business Partner" ili tufungue kiwanda kidogo cha Waste Recycling (Kuchakata taka) na kuzalisha bidhaa mbalimbali zitokanazo na taka zilizochakatwa kama karatasi, mbolea nk . "Business Partiner" awe na angalau kuanzia 10 mpaka 200 million...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…