Leo sikuwa nataka kuandika chochote lakini baada ya kusikiliza wimbo wa AllY Kiba hasa kipande chenye maneno "WATEMA BIG G KWA KARANGA ZA KUONJESHWA"
Nimetafakari sana sana nikakumbuka visa vichache sana. Hapo nyuma wasanii walinyimwa kufanya shows mbali mbali kwa sababu mbali mbali...
Tuseme ule ukweli tuu, kitendo cha Mbowe kuwafukuza TBC hakikuwa cha ustaarabu hata. Jamaa walikuwa wanafuata taratibu zao tuu kama kawaida, daily wanalia uhuru wa habari afu wao ndo hivi daaah
Say something!
Ulimwengu wa Wanahabari na Watanzania kwa ujumla ulipigwa na butwaa pale Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mhe. Freeman Alkaeli Mbowe, alipoamrisha waandishi wa habari wa Televisheni ya Taifa (TBC) kuondoka katika mkutano wa ufunguzi wa kampeni za chama hicho...
Huyu ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako kwa tiketi ya CHADEMA akitumia njia mpya ya kujitangaza .
Mytake : Tunaomba radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu nyingi za kampeni , hii ni kwa vile muda wa kampeni ni mfupi na tunazihitaji sana kura zenu
Pwani Real Estate tumekuwa kwa muda wa miaka 4 mfululizo tunazalisha tofali na kuuza material ya ujenzi kwa cash na malipo ya awamu awamu. Lakini kutokana na wateja wetu baadhi kulipia materials kwa muda sasa bila kuyapeleka site, yamefanya tufanye tafiti na kujua chanzo.
Sababu kubwa...
Nasikitika kusema kwamba sera hii sasa inakosa mashiko kabisa kwa hiki kilichotokea leo hii.
Ni ngumu sana kuamini watu wanao pigania Uhuru wa vyombo vya habari kushindwa kuwa wavumilivu na kuviacha vyombo hivyo vifanye kazi kwa Uhuru na utashi wao.
Kama kweli CHADEMA inapigania Uhuru wa...
Salaam Mkuu,
leo Ijumaa tarehe 28 Agosti 2020 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kinafanya uzinduzi wa kampeni za urais wa Tanzania zinazofanyika, Uwanja wa Zakhiem, Mbagala jijini Dar es Salaam.
Tundu Lissu ndiye anayepeperusha bendera ya Chadema kwenye nafasi ya urais na Salumu...
NEC imesema muda wa kutangaza wateule bado kwani kuna mapingamizi yanayoshughulikiwa na kwa mujibu wa ratiba mwisho wa kupokea mapingamizi ni leo 26 Agosti, saa 10.00 jioni. NEC imesema taarifa hizo zinaweza kupeleka uvunjifu wa amani
Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Dk. Wilson...
Ingawaje kwenye sekta ya habari, kuna kanuni moja Kuu kuwa ni lazima waandishi hao wazisake kwa nguvu zote habari zinazouzika, lakini kwa hapa nchini hali imekuwa tofauti sana, kwa vyombo vyote vya habari nchini, ambapo "vimelazimishwa" kutangaza habari za upande mmoja pekee, za Rais Magufuli...
Kichwa cha habari chahusika.
Idara ya habari ya CHADEMA ina matatizo mengi, nikianza kuyataja yote tutajaza ukurasa huu.
Kuna tatizo la kutotoa habari kwa wakati.
Pia wanatoa habari zikiwa zimekatwa-katwa.
Zaidi hawamuandai mgombea kwa maswali anayoulizwa na waandishi wa habari.
In short...
Benard Membe na Makamu wa Rais (wagombea) wa ACT-Wazalendo wamekidhi vigezo vya kuteuliwa na kugombea.
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu Semistolces Kaijage kwa mamlaka aliyopewa, amemteua Bernard Membe kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Omary Mohamed kuwa mgombea wa...
Muda huu Lissu anazungumza na Vyombo vya Habari nchini
Update zaidi kuwafikia
====
Mgombea Urais kupitia chama cha CHADEMA ameelezea ziara yake kwenye mikoa 16 na kufanya mikutano mikubwa na wananchi, amesema vyombo vya habari hasa televisheni hazijaona mikutano hiyo kwa hivyo haikonyeshwa...
Habari zinaenea Yanga jana ilichezea kichapo cha 3-1 ikicheza na wanafunzi wa chuo huko Dodoma. Ilikuwa ni mechi ya kirafiki katika uzinduzi wa wiki ya wananchi.
Hizi habari zi za kweli?
Video hii ni mpango wa Mungu mwenyewe kuitumia ili kuwafundishia waandishi na wamiliki wa Vyombo vya Habari wenye vichwa vigumu kuelewa, endeleeni kuwatenga wengine na kumfagilia mtu mmoja.
Nianze na kuvisikitikia vyombo vya habari hasa baadhi ya TV stations kubwa kubwa hapa nchini na baadhi ya magazeti. Mnafanya ubaguzi kwa kuonesha live coverage kwa matukio ya CCM pekee. Endeleeni na ubaguzi huu iko siku mtasema ukweli.
Tundu Lissu anazunguka mikoani kutafuta wadhamini na...
Habarini wadau,
Jana ni siku ambayo Taifa kulikuwa na activities nyingi, mambo ya siasa majina ya waliopitishwa na chama chao, ila katika ulimwengu wa sports ni ujio wa wachezaji wa Yanga toka DRC lakini pia urejeo wa mtu aliyewahi kuwa CEO wa Simba SC, somebody Senzo.
Basi katika kuperuzi...
Akiwa mjini Tunduma, Tundu Lissu katika harakati zake za kutafuta wadhamini, ameongea na maelfu ya wananchi.
Amezungumza kuhusu hali ya uminywaji wa Vyombo vya Habari nchini, watumishi wa umma kutopewa maslahi yao ipasavyo, kero za wafanyabiashara ndogondogo hususan vitambulisho vya wamachinga...
Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ( NEC) mh Jaji Kaijage amesema baada ya kuhakiki daftari na kuondoa majina yanayojirudia sasa wamebakia wapiga kura 29,188,347
Source East africa radio
My take; Kumbe nyomi ya Tundu Lisu si chochote si lolote.
Maendeleo hayana vyama!
======
Daftari la wapiga...