The Palm Tree
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 7,951
- 12,535
Hebu msikilize Bernard Membe hapa kwa makini, neno kwa neno na sentensi kwa sentensi kisha sema umesikia na kuelewa nini...
Mimi bila shaka yoyote naweza kusema kuwa, huyu jamaa na CCM walio "jikoni" lao ni moja, wako kwenye mkakati mmoja lakini haujafikia kwenye ukamilifu wake...
Na kuna uwezekano mkubwa mwaka huu wasifanikiwe kabisa kama ilivyokuwa mwaka 2015 pale walipofanikiwa kumpenyeza Lowassa kwenye kambi ya wapinzani na kuvuruga kila kitu...