Urais 2020: Msigwa kuongea na waandishi wa habari Jumapili ya Juni 14 mjini Dodoma

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,998
144,329
1591986980371.png
 
Karibu msigwa tunataka ufunike ile hotuba ya Facebook

Mtu anataka Urais anahutubia dkk 30 tu km sio utani ni nini
 
Msigwa baada ya uchaguzi aanzishe biashara ya juice ya miwa,yote maisha bwana.
 
chadema kila mtu ni msemaji wa chama, mwachieni hiyo kazi tumaini makene,kama hatoshi mtoeni
 
Back
Top Bottom