Tunapokea habari kuwa mgombea mwenza wa CHADEMA ndugu Salum Mwalim amepata ajali ya gari nadhani maeneo ya Msalala
====
Tumepata ajali mbaya sana eneo la Msoka Kata ya Ngogwa, Jimbo la Msalala tukitoka kwenye mkutano wa Kampeni jimbo la Msalala tukienda kwenye mkutano wa Kahama.
Kwenye gari...
Vyombo vingi vya habari viliacha kabisa kuandika au kutangaza habari za mikutano ya kampeni ya Tundu Lissu baada ya kuona hawaoni waandike nini kwani hanadi sera
Sasa Kitengo cha habari cha CHADEMA pia wamenyoosha mikono juu wanaeleza tu sana mafuriko ya wanampokea Lissu sio alichosema sababu...
Kuna usummbufu mkubwa na hasara kubwa sana kwa vyombo vya habari na hata kwa Kodi ya serikali Kama chombo Cha habari (redio, tv, gazeti) kitafungiwa japo kwa wiki moja tu.
Kwanini makosa yanayosababisha kituo kufungiwa kwa wiki moja isiwe kulipa hela badala ya kukifungia?.
Kufungia chombo...
Nimepita juzi kwenye Meza ya magazeti nikastaajabu kidogo.
Habari kuu za magazeti yote ni za Mgombea wa CCM.
Rangi ya kijani imetapakaa Meza nzima yani kama ukiangalia kwa mbali unaweza kudhani ni Meza ya muuza mbogamboga.
Nikajiuliza mbona twitter na JF Mpambano ni kama umebalance hivi japo...
Hotuba ya Mkurugenzi Uchaguzi Dkt. Wilson Mahera Charles katika ufunguzi wa kikao cha Tume ya Taifa ya UIchaguzi na watoa huduma ya habari mitandaoni katika ukumbi wa Mikutano wa Mwl. J. K. Nyerere 15 SEPTEMBA, 2020
Wakurugenzi & Wakurugenzi Wasaidizi wa Idara,
Watoa huduma ya habari...
Habari wana JF wa jamvi hili la Ajira. Nina diploma ya Logistics and Transport Management kutoka katika chuo cha usafirishaji (N.I.T), plus Microcomputer course kutoka University of Dar es salaam (U.C.C).
Nina experience ya miaka miwili kusimamia magari na madereva, nina skills za kutosha...
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA(TCRA) YATOA ONYO KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU KUAJIRI WATANGAZAJI WASIO NA TAALUMA.
Mamlaka ya Mawasiliano nchini imetoa onyo kwa vyombo vya habari hususani redio na televisheni kwa kile inachodai kuwa vyombo hivyo vimekua na tabia ya kuajiri watangazaji wasio...
Biashara ya vyombo vya habari kama magazeti, redio na televisheni kwa sasa ina yumba kutokana na uendeshaji wa Vyombo hivyo ambao una walazimisha wamiliki kutoa au kuegemea upande mmoja wakati huko wanako egemea hakuna ruzuku wanayo pata ili kuendesha vyombo hivyo.
Kwa sasa kundi kubwa la...
Kwakweli katika mambo ambayo naona ni doa kubwa katika Nchi yetu kwa mwaka huu wa 2020 na pengine miaka hii mitano yote ya utawala wa Rais Magufuli ni namna viongozi wa dini walivyoufyata mkia mbele ya dola kandamizi. Ukiwatoa viongozi wachache Kama MWAMAKULA na BAGONZA pengine na wachache...
Mgombea Urais kupitia CHADEMA jana Jumatano alifanya "Press conference" na Vyombo vya Habari hapa nchini, akilalamikia kutomfanyia "coverage" yeye akiwa ni mgombea Urais toka chama kikuu cha upinzani hapa nchini, kwa alichokiita ni Hofu, Hofu, Hofu iliyowajaa waandishi wa habari, pamoja na...
Leo, Septemba 9, 2020 - mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Ndg. Tundu A. Lissu anaongea na Wahariri wa Vyombo vya Habari.
Haya ni baadhi ya aliyoyasema:
======
Waandishi mmekuwa mnogopa kuni-cover, nikizungumza mna switch off. Hofu!
> Nazungumza na Vyombo vya Habari vya nje ya nchi kila...
Hili halihitaji shahada ya Biology au Philosophy kulitambua.
Siku hizi kuna Simu nzuri za kisasa, camera za kisasa, drones n.k ambazo unaweza kuzitumia kuchukulia video katika ubora wa hali ya juu na kuzirusha direct kwa hadhira.
Cha ajabu matangazo ya live CHADEMA yanakata kienyeji tu.
Nafasi...
Habarini ndugu zangu.
Naomba kama naweza pata sehemu ya Law firm, nifanye kazi kwa kujitolea kwa kipindi hiki kwani nimemaliza masomo mwezi huu.
Natanguliza shukrani 🙏
Laiti ningepata nafasi kwa Mtu ambaye namvizia sana Kumpata na Kufanya nae 'Mahojiano' kwakuwa naikubali mno 'IQ' yake ningeanza na haya....
1. Ni Kitu gani cha Kimaendeleo unadhani Serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli haijafanya na Yeye akishinda atakifanya?
2. Ni kwanini anahusisha Tukio...
Turn and watch now.
Mgombea Urais wa Chadema Ndugu Tundu Lissu alipata fursa ya kuhojiwa na Mwandishi wa habari Bi. Farhia Middle katika kipindi cha dakika 45 kinachofanywa na kituo cha televisheni cha ITV ambapo aliongea mambo yafuatayo:
Mwandishi wa Habari: Kwanini unataka kuchguliwa kuwa...
TATHMINI YA LEO;
Taarifa ya habari ITV & TBC1.
Nipo Kinondoni Mkwajuni nakunywa bia mahali hapa nilikuja kunywa bia hivi hivi Mwaka 2015, tofauti ya Mwaka huu 2020 watu wamemsikia Lissu wakasema bado Magufuli, Magufuli akaonyeshwa uko Nzega, watu wakasema Lissu anajisumbua asubiri 2025, Mwaka...
Leo tuwapumzishe TBC kidogo. Nimekua nikifuatilia mwenendo wa magazeti ya serikali na nimesikitishwa na upendeleo wa wazi unaofanywa. Kwa msiojua kisheria, Mhariri mkuu (chief editor) wa magazeti ya serikali ni Rais wa Tanzania. Kwa hili, hutakiwi kushangaa kuona habari za kusifu serikali kila...
Leo sikuwa nataka kuandika chochote lakini baada ya kusikiliza wimbo wa AllY Kiba hasa kipande chenye maneno "WATEMA BIG G KWA KARANGA ZA KUONJESHWA"
Nimetafakari sana sana nikakumbuka visa vichache sana. Hapo nyuma wasanii walinyimwa kufanya shows mbali mbali kwa sababu mbali mbali...
Tuseme ule ukweli tuu, kitendo cha Mbowe kuwafukuza TBC hakikuwa cha ustaarabu hata. Jamaa walikuwa wanafuata taratibu zao tuu kama kawaida, daily wanalia uhuru wa habari afu wao ndo hivi daaah
Say something!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.