habari

  1. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea kupitia CHADEMA, Tundu Lissu achukua fomu za Kugombea Urais wa Tanzania ofisi za NEC Dodoma

    Kutoka maeneo mbalimbali kwenye viunga vya mji wa Dodoma, Tundu Lissu leo anachukua Fomu ya Urais. === Tundu Lissu leo kwa Mara ya kwanza anarejea katika mji wa Dodoma akienda kwa ajili ya kuchukua fomu ya kugombea Urais. Ikumbukwe Tundu Lissu mara ya mwisho kuondoka katika mkoa huu ni baada...
  2. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Ni nani wa kuionya TBC kuacha upendeleo?

    NI NANI WA KUIONYA TBC KUACHA UPENDELEO?! TBC inaongozwa na AYUBU RYOBA,huyu ni mhafidhina aliyegeuka kuwa mwimba kwaya. ameharibu sana TBC na kimekuwa chombo cha chama badala ya UMMA. Kumbuka amekuwa akimdanganya mkuu kwamba TBC hakuna matatizo na pia amekuwa akifanya ujanja ujanja ili JPM...
  3. MAHANJU

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari Tanzania acheni upendeleo kwa chama tawala, Mtaligawa taifa? Hivi hamuelewi?

    Nimejaribu kufuatilia jinsi coverage unavyofanywa na hizi local media zetu kuhusu matukio mbali mbali yanayofanywa na chama tawala CCM, hakika inasikitisha. Hakuna balance kabisa kwenye matukio ya kisiasa kati ya chama tawala na Upinzani. Hivi vyombo vimeamua kua upande wa Chama Tawala hata...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, chombo cha Habari cha Umma cha TBC kinapewa maelekezo na watawala wetu wa CCM ya nini cha kutangaza na kipi si cha kutangaza?

    Tupo katika kipindi muhimu sana cha kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, mwishoni mwa mwaka huu. Ni matarajio ya Watanzania wote kuwa vyombo vyetu vya habari vya Umma vitatekeleza wajibu wao kwa usawa bila kupendelea chama chochote cha siasa. Tumeshuhudia chombo cha habari cha television ya Taifa...
  5. Caine Chuhira

    JamiiForums Tanzania Hello wadau wa JF

    Habari zenu wadau wa JF. Naitwa Cain Constantine Chuhira kutoka Kigamboni Dar es Salaam.
  6. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hivi upinzani ukichukua nchi Vyombo vya Habari na Wasanii wa Tanzania watakimbizia wapi nyuso zao?

    Sasa imekuwa rasmi wasanii hasa wanamuziki na tasnia karibu zote nchini wanamuunga mkono Rais. Hii sio dhambi, lakini pale msanii anapoimba nyimbo kupondea upinzani kana kwamba upinzani umeletwa nchini na shetani inashangaza sana. Vyombo vya Habari munadhani CCM itatawala milele? Kwa bahati...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini TBC wanatulazimisha kusikiliza kila dakika Habari ya Libya na Iraq?

    Kuna nini? Kwanini TBC1 wana tangazo moja tu la Historia ya Libya na Iraq, kuna nini huku kwetu, wanatengeneza mazingira au ni kampeni, mwenye uelewa atujulishe maana, kwangu binafsi sina Histora yoyote ya ACT wala CHADEMA kuwateka wanachama wa CCM na kuwaua sina kabisa, huenda wengine wana...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari kwanini mnawakimbia CHADEMA na ACT Wazalendo?

    Leo CHADEMA wameanza mchakato wa kumpata Mgombea Urais ila vyombo vya habari vikubwa nchini havikuripoti live tukio ilo. Kura zimepigwa bado hawakutaka kuripoti, hata ITV ambao Wana breaking news hawakuwa habari yoyote kuonyesha Kuna Jambo linaendelea. Mgombea amepitishwa bado vipo kimya, hata...
  9. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Je, Watanzania tunataka uhuru wa habari?

    Katika ulimwengu wa sheria na mamlaka huwa kuna haki vs wajibu Kila haki ina wajibu. Vivyo hivyo, uhuru wowote una mipaka. Leo ntaka nilete mjadala juu ya uhuru wa habari na iwapo kama taifa tunahitaji media yetu kuwa censored. Mimi sio guru wa maswala ya media ila naamini kwamba Uhuru lazima...
  10. Dam55

    JamiiForums Tanzania Ugomvi na Chuki (BIFU) zinazoendelea kwenye Media zetu zina athari gani kwenye Tasnia ya Habari kwa Tanzania yetu?

    Kwa wadau wote wa Tasnia ya hapabari hapa nchini mnaweza mkalitazama hili na kulijadili kwa mapana huenda likawa na matokeo fulani hasi ama chanya kwenye sekta ya habari hapa nchini. Tumeona matukio mengi tu na niseme labda ni tabia inayochipuka kwa kasi kubwa kwenye sekta ya habari kwa hiki...
  11. Jackmakundi

    JamiiForums Tanzania Natafuta Cement Mixer

    Habari natafuta ''cement mixer'' kwa ambaye anauza au unajua mahali zinapouzwa tuwasiliane 0654553163
  12. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwasiliana na Naibu Waziri wa Habari (Juliana) tangu March 2013 na sina mpango wa kuwasiliana naye hata kwa kufoji mawasiliano

    Taarifa nyingi zinazozagaa kuwa Nina mawasiliano na huyu Naibu Waziri si za kweli na wala sijawahi kuonana naye tangu nilipotoka CHADEMA Desemba 2012. Sina MASLAHI naye na hivyo niwasiliane naye kwa masilahi gani? Na shida gani? Ninauwezo wa kujisimamia kuliko Wabunge wote na Mawaziri wote...
  13. W

    JamiiForums Tanzania Nani analipia gharama za urushwaji wa Matangazo ya Moja kwa Moja (LIVE) kwa Vyombo Binafsi vya Habari?

    Ndugu wanajukwaa salam, ama baada ya salam, niende moja kwa moja kwenye mada. Niliwahi kusikia kurusha matangazo ya LIVE kwa nusu ni shilingi 4 million kunako TV (Japo sina uhakika kuhusu hiyo bei - ila point ya msingi ni kurusha matangazo LIVE via TV kwa saa ni gharama). Sote tunafahamu vyobo...
  14. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Habari huu ndio msimu wa kuvuna pesa za wanasiasa, msiwatangaze bila kulipwa kwanza

    Matangazo ya biashara ni moja ya eneo muhimu kwa vyombo vya habari. Sasa hivi tunaelekea uchaguzi mkuu wanasiasa kutwa watakuwa. Wakiita vyombo vya habari kukitangaza biashara zao za kisiasa wanakogombea. Hilo ni tangazo la biashara. Vyombo vya habari anzeni kuchaji pesa. Wakiwaalika walipe...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tribute to Benjamin William Mkapa: Mchango wa BWM Kwenye Tasnia ya Habari ni "Ukweli na Uwazi"-On The Bench-.Dar 24 Blog.

    Wanabodi . Baada ya kustaafu rasmi uandishi wa habari, sasa mimi nimekuwa ni Mwalimu wa kupika vijana. Karibu. P
  16. Kenyan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru Kenyatta: Wakenya hawapaswi kujilinganisha na mataifa yanayoficha taarifa za COVID-19

    Rais Uhuru Kenyatta amesema Wakenya hawatakiwi kujilinganisha na mataifa yasiyo uhuru wa habari na ambayo yamekuwa hayatangazi taarifa za CoronaVirus Amesema wananchi wanatakiwa kufurahia kuwa Serikali haifichi kitu chochote na imekuwa ikiwaambia wananchi ukweli kuhusu hali ya mlipuko huo...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Magazeti karibu yote ya leo yapuuza habari za ujio wa Lissu

    Nimepitia kurasa za mbele za magazeti ya leo yote haya kuonyesha tukio kubwa la ujio wa TAL isipokuwa Mwananchi pekee. Hii dalili za uoga, mkakati wa wasiojilikana, kuminywa kwa uhuru wa media au? === Maoni ya Wachangiaji
  18. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ukalimani wa Kichina

    Naomba kwa yeyote ambae ana taarifa au kusikia tarifa kampani ya Kichina ndani ya Tanzania hii wanatafuta mkalimani basi naomba a share na mm hizo taarifa. Asanteni. Nambari zangu ni 0626488282 Whatsapp +255779790006 Wechat+255626488282
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Lupaso, Mtwara: Rais Mstaafu, Hayati Benjamin William Mkapa azikwa kwa Heshima

    Historia ya Benjamin Mkapa MFULULIZO WA MATUKIO MBALIMBALI YALIYOTOKEA WAKATI WA MSIBA NA MAZISHI YA HAYATI MZEE BENJAMINI WILLIAM MKAPA WANANCHI WASIMAMA BARABARANI KUAGA MWILI WA RAIS MKAPA Wananchi wa maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam, wameonekana wakisimama barabara kuonyesha heshima kwa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ukiangali Taarifa ya Habari za TV za Kibongo unaweza fikiri zote zinatumia Ripota mmoja kwa kufanana

    Kuanzia Chanel 10, Cloud's TV, Star TV had ITV! Matukio ni Yale Yale, wanaohojiwa Ni walewale!, Ujumbe Ni uleule! Sijui huwa wanaambizana cha kuripoti siku hiyo!? au wote wanatumia repota mmoja !
Back
Top Bottom