Wakuu,
Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Lindi. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka.
Kilwa Kaskazini
Francis Ndulane (CCM) - Kura 20,501
Vedasto Ngombale (CUF) - Kura 8,513
Kilwa Kusini -...
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download...
Wanabodi habari ya majukumu?
Nipo naangalia taarifa ya habari ya ITV naona leo hakuna taarifa ya mikutano ya Lissu. Je, leo Mh Lissu hakufanya mikutano?
ITV ni vizuri muwe mnatupa taarifa mapema siku ambazo hakuna taarifa za Lissu tusiwetunapoteza muda, angalau tuwe tunafanya mambo mengine.
ITV ndio ulikuwa TV pekee inayotoa taarifa za mikutano yote ya kampeni kwa uhalisia na uwazi lakini jana, leo na siku moja huko nyuma waliacha kutoa taarifa za mikutano ya Lissu kwanini?
Tuliona hivyo Lissu alivyokuwa Chato, Pemba na leo Kusini.
Tujadiliane nini haswa kwa mabadiliko haya?
John Mnyika: Jitihada za mawasiliano na NEC juzi, jana na leo mpaka muda huu kudhibiti hujuma kwenye uapishaji wa mawakala zimekwama maeneo mengi. Nitazungumza vyombo vya habari HQ saa 8 mchana. Kwa sasa , #PeoplesPower itumike maeneo ambayo hujuma zinaendelea. #SasaBasi.
=====
MNYIKA...
Kama umefuatilia mkutano wa Membe na waandishi wa habari leo utagundua kuwa mheshimiwa Membe hayuko tayari kumuunga mkono mheshimiwa Lissu kwenye kiti cha urais.
Ikumbukwe kwamba kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo mhe. Zitto Kabwe na mwenyekiti wake mhe. Maalim Seif S. Hamad wameshatangaza...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mwenyekiti wa Chama cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharif Hamad kesho Oktoba 20, 2020 atazungumza na vyombo vya habari kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea nchini.
Wapi: Ukumbi wa Ramada Hotel, jirani na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Posta Mpya, Dar es...
Salaam Wakuu,
Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar.
Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza kile atakachoongea niwajuze.
Taarifa zote zitapatikana kwenye hii thread.
Stay tuned.
=====...
Kuna taarifa za awali zinaonyesha kuwa ‘Kachero Mbobezi’ ndugu Bernard Membe ameamua kufanya ‘maamuzi magumu’ na hivyo asubuhi ya leo mida ya saa 4 anatarajiwa ‘kulipuka’ mbele ya Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar.
Je, tutarajie yepi toka kwa hili ‘joka la mdimu’?
A) Atafanya kama Dk...
Mwaka 1992 Tanzania ilitangaza kuwa ni nchi ya vyama vingi. 2020 bado kuna viongozi wanao simama majukwaani na kusema mkichagua upinzani hatuleti maendeleo.
Sifa kubwa ya kiongozi ni kuweza kuwaongoza wale anao wajibika nao kisheria katika mamlaka yake. Kiongozi anaefuata kanuni za haki bila...
MASHINDANO YA SADC KWA WAANDISHI WA HABARI KWA MWAKA 2021
Dodoma, 15 Oktoba 2020
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha umma kuwa Sekretariati ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) imetangaza kuanza rasmi kwa mashindano ya waandishi wa habari...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba Kabudi , amepata ajali eneo la Kihonda, Manispaa ya Morogoro
Mkuu wa Mkoa huo, Loata Ole Sanare amethibitisha kutokea kwa tukio hilo. Na mgonjwa amelazwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro
Nilikuwa nafuatilia habari za BBC London katika television. Cha kushangaza habari ya mlima Kilimanjaro na harakati za nchi kuzima moto katika mlima huo mkubwa barani Afrika ameripoti mwandishi Emmanuel Igunza kutoka nchini Kenya. Nimejiuliza sana kwa nini habari za Tanzania aripoti mwandishi...
Namsikiliza hapa Mawingu 360 jamaa ana nondo sana. Ana data na anazungumza facts kuhusu masuala mbalimbali yanayohusu madini. Ushauri wangu Rais ajae afikirie kumtumia huyu jamaa kuisaidia nchi yetu kwenye sekta ya Habari; ikiwezekana kwenye zile nafasi Kumi za Ubunge huyu jamaa ateuliwe apigwe...
Mdau najua wewe ni shahidi.Kila makao makuu ya mkoa anapopita Mgombea wa CCM na mgombea mwenza kumekuwa na tabia ya kuachisha masomo wanafunzi na kusombwa kuhudhulia mkutano.
Hii sio haki kwani hii ni mikutano ya kichama na inavuruga mwenendo wa masomo yao.
Mwalimu mmoja jana akanitaka kama...
Nimekuwa nikifatilia habari mbalimbali hususani habari za UCHAGUZI KUU NA WAGOMBEA WAKE. nimegundua ni ITV pekee wanaorusha habari sahihi zisizo elemea upande wowote ule(sijui azam).ukikosa habari ya itv inakulazimu kutumia mitandao ya kijamii kupata habari zenye uhakikia zaidi.Baadhi ya vituo...
MKINIPA KURA ZA KUTOSHA OKTOBA 28, NA NIKAWA RAIS NITASIMAMIA ELIMU BORA NA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO "PROF.LIPUMBA"
HANDENI VIJIJINI
Serikali ya umoja wa kitaifa chini ya CUF itahakikisha kuwa watoto wote wa
Tanzania wanakuwa na haki ya kupata elimu bora ya msingi...
Kiukweli kabisa bila wasanii wakubwa na vyombo vya habari vya umma leo kampeni za Magufuli zingekuwa nusu kaputi.
Kiufupi kampeni za Magufuli za mwaka 2020 ni sawasawa na kampeni za Magufuli za mwaka 2015, hotuba ni zilezile yaani hakuna jipya.
Ila Magufuli ameifanya TBC kama TV yake binafsi...
Wote mnakaribishwa .
=======
Akizungumza na wanahabari Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika , ameiomba Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuitaja Kampuni iliyoshinda zabuni ya kuchapisha karatasi za kupigia kura , na njia zilizotumika kuipata na labda na washindani iliyochuana nao
Kwenye nchi nyingi kuelekea kipindi cha uchaguzi, siku ya uchaguzi na hata baada ya uchaguzi kuna mambo mengi hutokea. Mojawapo ya mambo hayo ni mashambulizi/udukuzi ya mifumo ya teknolojia ya habari na mawasiliano na hata database mbalimbali au vitu vingine vinavyohusiana na hivyo.
Mfano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.