Kwanini waandishi wa habari wengi hukaa upande wa Yanga pale Uwanja wa Taifa?

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,630
3,578
Nauliza tu hii imekaaaje?

Mechi nyingi waandishi wa habari wengi na hata pia watu maarufu hukaa upande wa Yanga?

Ambapo huwa mpaka siti za wanaolipia VIP A wanakosa siti.

Pamoja na kutengewa sehemu yao ya kukaa ambayo huwa kama haiwatoshi.
 
Ndio maana wanatoa habari hasi kwa Simba na kuficha habari mbaya za yanga ile penati wangepewa simba na yanga kunyimwa penati ungeshangaa vichwa vyao vya habari.
Utopolo huwa wanapendwa na watu wasio na akili kama hawa waandishi wetu kichwani hamna kitu
Umeongea kwa hasira matokeo yake hujajibu swali

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
 
Nam nitakuuliza swali kwann wapiga picha wengi na wanaochukua video hupenda kukaa nyuma au jiran ya goli la yanga hasa zinappokutana yanga na simba ?

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Nam nitakuuliza swali kwann wapiga picha wengi na wanaochukua video hupenda kukaa nyuma au jiran ya goli la yanga hasa zinappokutana yanga na simba ?

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Mashabiki wa Yanga huwa hawaji kwa wingi(hawajazi upande wao) hivyo kunakuwa na nafasi kubwa kwa wao kufanya shughuli zao tofauti na upande wa Simba hakuna ht sehemu ya kukanyaga
 
Back
Top Bottom