Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Kamarada Humphrey Polepole kuzungumza na Vyombo Vya Habari kesho Ijumaa Novemba 20, 2020

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,207
4,703
Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi

Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es Salaam

FB_IMG_16058044058436710.jpg


Tafadhali usikose
Tafadhali mjulishe Mwenzako

Tuna Jambo Letu
 
Muda ni kuanzia saa 5 asubuhi
Eneo ni Ofisi ndogo za Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi Lumumba Jijini Dar es salaam

Tafadhali usikose
Tafadhali mjulishe Mwenzako

Tuna Jambo Letu
Naweza kufikiri atakayo yaongelea kesho,kuweka ujazo kwa matukio yaliyozungumziwa na waliowawezesha kufanikisha malengo yao,na matukio yaliyoongelewa leo na yale ya Zanzibar.
 
Back
Top Bottom