Vigogo wa Gazeti la Tanzania Daima wafika ofisi za Wizara ya Habari na Michezo kwa Majadiliano kuhusu hatima ya gazeti hilo

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
85,566
2,000
Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao .

Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni kutokana na chuki tu za awamu iliyopita , kuna taarifa kwamba mazungumzo kati ya Uongozi wa Tanzania Daima na Waziri yamefikia pazuri .

Lyenda_on_Instagram:_“Leo_Jumanne,_Aprili_13,_2021_nilikutana_na_Waziri_wa_Habari,_Sanaa,_Utam...jpg
 
kathago

Senior Member
Jul 17, 2018
104
250
Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao .

Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni kutokana na chuki tu za awamu iliyopita , kuna taarifa kwamba mazungumzo kati ya Uongozi wa Tanzania Daima na Waziri yamefikia pazuri .

View attachment 1750954

Amina
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
6,632
2,000
Bila sheria kandamizi kufutwa hizo ruti za kwenda kuonana na huyo waziri wanamaliza bure soli za viatu vyao, wakiandika tena kisichowapendeza watawala watafungiwa, hiyo hofu bado ipo, ndio maana juzi interview ya Zitto ITV walikuwa wanatetemeka tu.
 
fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
3,803
2,000
Huyo Dogo Abbas asiwepo nuksi tu huyu dogo ....tulimpigisha deki akiwa njuka ....hana lolote tunamjua msaka tonge tena JK anamlia timing tu alimjibu kwa dharau na kejeli subiri zamu yake yaja
Zamu yake ishafika na yeye anajua ndio maana kaufyata kabisa.
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,734
2,000
Huyo Dogo Abbas asiwepo nuksi tu huyu dogo ....tulimpigisha deki akiwa njuka ....hana lolote tunamjua msaka tonge tena JK anamlia timing tu alimjibu kwa dharau na kejeli subiri zamu yake yaja

PhD yake sijui ni kwanini inampa Jeuri!!!
 
Nyamizi

Platinum Member
Feb 19, 2009
2,546
2,000
Wewe si ulisema umembishia Abbas sasa kiko wapi? Tulikwambia Busara ni kwenda wakajieleze,kutoa mapovu hapa JF hakutawasaidia. Sasa nani mshindi kati ya Kina Abbas na wewe uliyekuwa unatokwa povu hapa.Vi online Tv peke yake ndivyo vimefunguliwa nyinyi wengine kajielezeni kwanza.
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,928
2,000
Baada ya Rais mpya kuamuru vyombo vya habari vilivyofungiwa kwa chuki na husda vifunguliwe , baadhi ya vyombo hivyo vimaeanza kufika wizarani ili kufahamu hatma zao .

Leo ilikuwa zamu ya Tanzania Daima kuonana na Waziri Bashungwa ili kutatua utata kuhusiana na Gazeti hilo kufutiwa leseni kutokana na chuki tu za awamu iliyopita , kuna taarifa kwamba mazungumzo kati ya Uongozi wa Tanzania Daima na Waziri yamefikia pazuri .

View attachment 1750954
Hawa vigogo ni akina nani? hebu ipe maelezo picha yako!
 
Krav Maga

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
4,734
2,000
Itakua ya kwenye magome ya mikorosho
Maana hamna kitu kichwani kwake

Kwenye Yeye kutokuwa na Akili nitakubishia mpaka mwisho wa dunia kwakuwa ninamjua vyema tu.

Japo hata Mimi Generalist huwa ananikwaza na kuniboa, ila Jamaa ( Dkt. Abbas ) ni very Brainy Ndugu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom