Umegundua nini kuhusu taarifa za habari na vipindi vya TBC?

Inaonekana huwa uangalii TBC1 Tangu mwaka jana walipoanzisha kipindi Cha Aridhio wana sehemu ya Zanzibar.

Usiwaonee.
sijawaonea si nasema ukweli jamani,zamani Zanzibar ili usikie habari za Zanzbar mpaka kiongozi afariki lakini kwa sasa hata Mwinyi akifanya teuzi lazima waripoti.
 
Habari wadau..!
Hii inaitwa kutesa kwa zamu,upepo sasa umechange mambo yote bomba.

Kiufupi TBC walikuwa hawaripoti sana habari za Zanzibar lakini kwa sasa mambo fifty fifty habari za Zanzibar zinapewa nazo airtime tofauti na zamani,zamani Chato ndio ilikuwa haikauki masikioni .
Mlilalamika sana kuhusu mwendazake sasa naona munashuhudia wenyewe hulka ya mwanadamu, yakhe kazi iendeleee eti
 
Watu walisema huwa hawafatilii kabisa kitu inaitwa TBC, sasa watajuaje? ngoja niendelee kusoma comments za wadau nijiridhishe kama kweli hii TBC haifatiliwi.
 
TII bii sii ni maumbwa koko kabisa sijawahi kuwaangalia hao walamba makalio yaani kiufupi hakuna cha maana wanachoweza yani, yule mlevi wa Gongo Ayubu tangu aingie hapo pameharibikaaaaaaaaaaaa, kazi yake kutolea macho videmu tu kuna kimoja kile kichaga cheupe sijui elizabeti nani kanamwendesha kweli kweli jamaa anarukwa roho anaweza hata akaenda msimulia mkewe, they are simply CRAP!
 
Kwani ana mke?
 
sijawaonea si nasema ukweli jamani,zamani Zanzibar ili usikie habari za Zanzbar mpaka kiongozi afariki lakini kwa sasa hata Mwinyi akifanya teuzi lazima waripoti.
Mbona hujiuluzi siku hiz zbc nayo inaongea mambo mengi ya bara mbaka habari nyingi za bara, na kingine jumapili ibada zbc za kikristo wanarusha nyingi mbaka nilistuka hawakuwa hivyo, na nikuambie tu tbc zenji habari zilikuwa zinarushwa kama kawaida ulikuwa hufatilii ila habari kubwa ni zenji kurusha mambo mengi ya bara ndio nashangaa
 
Back
Top Bottom