Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions) naomba anisaidie

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Aug 28, 2020
2,204
2,083
Habari za leo ndugu zangu,
Naomba mwenye kitabu kinacho elezea utamaduni wa kitanzania anisaidieni. Maana nasearch mtandaoni kwakweli sioni yeyote aliye andika mambo ya maana kuhusu utamaduni wetu.

Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions) naomba anisaidie
 
9781783687466.jpg
51rqe+rpP5L._SX313_BO1,204,203,200_.jpg
 
Habari za leo ndugu zangu,
Naomba mwenye kitabu kinacho elezea utamaduni wa kitanzania anisaidieni. Maana nasearch mtandaoni kwakweli sioni yeyote aliye andika mambo ya maana kuhusu utamaduni wetu.

Mwenye kitabu kinachoelezea utamaduni wa kitanzania (Tanzanians Culture values and Traditions) naomba anisaidie
Kitabu hicho
JPEG_20210424_094840_9163035000275622452.jpg
 
Bila shaka utamaduni wa Tz ni ule tuliojenga ndani ya hii miaka 60 ua uhuru. Huu unapatikanq sana kwenye miji mikubwa, ni upi huo?
 
EllySkyWilly,
Kwa kuwa waTanzania tumepwelea kuchanganya dini za kuja kwa majahazi au merikebu na kudhani ndiyo utamaduni na desturi zetu za kiTanzania na kutekwa hisia zetu kuwa hawa watu wakuja ni wastaarabu "zaidi" wenye upendo na kuwa tukumbatie yao yote na kwa ajili hiyo tunapoteza kila kilicho chetu kitamaduni, mila, desturi, miungu yetu ya asili n.k basi inafaa tumsikilize Prof. Mbele akifafanua uafrika wetu au uTanzania ni nini kitamaduni, mila na desturi.

Africans and Americans - Embracing Cultural Differences - With Guest Prof. Joseph Mbele

The historian and anthropologist Dr. Runoko Rashidi was in the 336 Brixton Road, South London (12 October 2018) and give a groundbreaking lecture on the Afrikan and Arab influences on world civilisation, in the areas of religion, culture, the science, from antiquity to modern times. Dr. Runoko Rashidi is a well known scholar and author of the African diaspora and African world, with several important and classic published books, which serves to educate our people/community and the world (Books: Introduction to the Study of African Classical Civilizations; African Presence in Early Asia; Uncovering the African Past: The Ivan Van Sertima Papers; Black Star: the African Presence in Early Europe; My Global Journeys in Search of the African Presence).
 
Back
Top Bottom