Naomba ushauri: Kati ya kozi ya Business administration na clinical medicine ipi bora na ajira zake zinapatikana sana?

kid boe

Member
Jun 16, 2023
26
3
Habari jamani

Naomba ushauri je kati ya kozi ya Business administration na clinical medicine ipi bora na ajira zake zinapatikana sana
 
Kwenye afya ajira zina uhakika ila uwe na moyo wa kuhudumia watu, pesa zije baadae ! Ukiweka pesa kuwa kipaumbele utaiona kazi ngumu maana huko siyo sehemu ya kutajirisha watu. Ukitaka utajiri nenda biashara
well said
 
kwa upande wa maslahi, program za biashara/uchumi zipo vizuri mno

Kwa upande wa ajira, kwa sasa hakuna program yoyote yenye guarantee kubwa maana kuna watu wa afya na walimu kibao mtaani, na hizi ndio program zilizokuwa zina guarantee kubwa.

In short kama una connection kasome biashara ila kama ni single man army kasome hiyo ya afya
 
Nikujibu kwa. Swali la ww kupambanua kt CO na admin wa bsnes nani anahitajika zaidi kwa jamii na mwnye watrja wenhi kika mkoa hyo ndio uichague
 
Kwenye afya ajira zina uhakika ila uwe na moyo wa kuhudumia watu, pesa zije baadae ! Ukiweka pesa kuwa kipaumbele utaiona kazi ngumu maana huko siyo sehemu ya kutajirisha watu. Ukitaka utajiri nenda biashara
anhaa sawa kiongozi nimekupata ..nilkuw natafut njia bora y kuanz nayo nikiend diploma
 
kwa upande wa maslahi, program za biashara/uchumi zipo vizuri mno

Kwa upande wa ajira, kwa sasa hakuna program yoyote yenye guarantee kubwa maana kuna watu wa afya na walimu kibao mtaani, na hizi ndio program zilizokuwa zina guarantee kubwa.

In short kama una connection kasome biashara ila kama ni single man army kasome hiyo ya afya
duuh kimsingi watu wananivuruga san mtaan wengne wanasem niende Afya wengne biashara
 
Business admistration n nzuri na ajira zake ziko bwelele serikalin na sekta binafsi n ww tu
Thanks sana kw ushaur
Kwenye afya ajira zina uhakika ila uwe na moyo wa kuhudumia watu, pesa zije baadae ! Ukiweka pesa kuwa kipaumbele utaiona kazi ngumu maana huko siyo sehemu ya kutajirisha watu. Ukitaka utajiri nenda biashara
anhaa kwahiyo biashara nako kupo vizuri sndy??
 
Bado npo njia panda kati ya kusoma Clinical medicine au Business Administration diploma
 
Business administration msuli mdogo pesa upawa ukipata kazi.

Clinical medicine msuli mkubwa pesa kijiko ukipata kazi.
 
Back
Top Bottom